Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Kuna jamaa yangu mmoja Msukuma aliamua kuomba na akafanikiwa kupewa na kuanza kuimiliki. Alikuwa vizuri kiuchumi. Sasa tangu uncle Magu amechukua nchi jamaa uchumi umeyumba na pesa hana tena. Amebakiwa na bastola kutoka Zchec na hana cha kulinda.

Kweli nimeamini Pesa hailindwi kwa bunduki bali PEN.

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Duh!!
 
Ufukara na kumiliki silaha haviendani. Ukiwa na nyumba yako na ukajenga shemu salama ya kuhifadhi silaha yako, hutatakiwa kutembea nayo mpaka kwenye harusi, bar na sehemu nyingine ambazo hazina umuhimu. Wabongo wengi silaha inakuwa mzigo kwao kwa sababu wanajipa jukumu la kuandamana nayo masaa yote. Unakuta mtu hata kwenda chooni na kujisaidia ni shida, ukichukuwa changudoa ni shida etc. Kwa nini usitengeneze safe corner chumbani kwako uwe unaiweka muda ambao hakuna ulazima kwa kuibeba?
✔✔✔
 
Hapa na Mimi nahitaji kujua kwa mfano umekutana na vibaka njiani wakati uko na safari yako ya usiku halafu ukawapiga risasi na kuwajeruhi au kuua kabisa sheria inasemaje?je utaachwa huru kwa vile wale ni vibaka au utapata kesi ya kujibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna kesi ya kujibu lakini lazima uripoti police kwa sababu ni tukio la kiharifu ili taratibu za kipolisi zifanyike. Ukikimbia police wakija hawatajua kuwa marehemu alikua jambazi watajua ni raia mwema kauwawa. Pia risasi ulizotumia lazima uzitolee maelezo Police kwani ukiachwa huru unaweza kutumia vibaya risasi na wengine hukodisha kwa waharifu silaha zao.
 
bro naona hii yakwako haina changamoto toka uimiliki,kiroho safi irudishe

WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I GAVE YOU POWER- NAS

Damn! Look how muh-fuckers use a nigga
Just use me for whatever the **** they want
I don't get to say shit
Just grab me, just do what the **** they want
Sell me, throw me away
Niggaz just don't give a **** about a nigga like me right?
Like I'm a f... I'm a gun, shit
It's like I'm a motherfuckin gun
I can't believe this shit...
Word up... (word up)
I seen some cold nights and bloody days
They grab and me bullets spray
They use me wrong so I sing this song 'til this day
My body is cold steel for real
I was made to kill, that's why they keep me concealed
Under car seats they sneak me in clubs
Been in the hands of mad thugs
They feed me when they load me with mad slugs
Seventeen precisely, one in my head
They call me Desert Eagle, semi-auto with lead
I'm seven inches four pounds, been through so many towns
Ohio to Little Rock to Canarsie, livin harshly
Beat up and battered, they pull me out
I watch as niggaz scattered, makin me kill
But what I feel it never mattered
When I'm empty I'm quiet, findin myself fiendin to be fired
A broken safety, niggaz place me in shelves
Under beds, so I beg for my next owner to be a thoroughbred
Keep me full up with hollow heads
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Always I'm in some shit, my abdomen is the clip
The barrel is my dick, uncircumcised
Pull my skin back and cock me, I bust off when they unlock me
Results of what happens to niggaz shock me
I see niggaz bleedin runnin from me in fear, stunningly tears
Fall down the eyes of these so-called tough guys, for years
I've been used in robberies, givin niggaz heart to follow me
Placin peoples in graves, funerals made cause I was sprayed
I was laid in a shelf, with a grenade
Met a wrecked-up tech with numbers on his chest that say
Five-two-oh-nine-three-eight-five and zero
Had a serial defaced, hopin one day, police would place
Where he came from, a name or some sort of person to claim him
Tired of murderin, made him wanna be a plain gun
But yo I had some other plans, like the next time the beef is on
I make myself jam right in my owner's hand
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Yo, weeks went by and I'm surprised
Still stuck in the shelf with all the things that an outlaw hides
Besides me it's bullets, two vests and then a nine
There's a grenade in a box, and that tech that kept cryin
Cause he ain't been cleaned in a year, he's rusty as clear
He's bout to fall to pieces, cause of his murder career
Yo, I can hear somebody comin in, open the shelf
His eyes bubblin, he said, "It was on"
I felt his palm troubled him shakin
Somebody stomped him out, his dome was achin
He placed me on his waist, the moment I've been waitin
My creation was for blacks to kill blacks
It's gats like me that accidentally, go off, makin niggaz memories
But this time, it's done intentionally
He walked me outside, saw this cat
Cocked me back, said, "Remember me?"
He pulled the trigger but I held on, it felt wrong
Knowing niggaz is waiting in hell for 'im
He squeezed harder, I didn't budge, sick of the blood
Sick of the thugs, sick of wrath of the, next man's grudge
What the other kid did was pull out, no doubt
A newer me in better shape, before he lit out, he lead the chase
My owner fell to the floor, his wig split so fast
I didn't know he was hit, it's over with
Heard mad niggaz screamin, niggaz runnin, cops is comin
Now I'm happy, until I felt somebody else grab me
Damn
 
Hauna kesi ya kujibu lakini lazima uripoti police kwa sababu ni tukio la kiharifu ili taratibu za kipolisi zifanyike. Ukikimbia police wakija hawatajua kuwa marehemu alikua jambazi watajua ni raia mwema kauwawa. Pia risasi ulizotumia lazima uzitolee maelezo Police kwani ukiachwa huru unaweza kutumia vibaya risasi na wengine hukodisha kwa waharifu silaha zao.
Kwa huu usumbufu aisee bora nibaki bila silaha au nitumie silaha za jadi Kama wamasai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi sana,na hii hali ya kukosa pa kuitumia ndio imepelekea baadhi ya watu kama marekani kuitumia kuua raia wenzao wasio na hatia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto"
KWANGU HII NI FIX TU, KWA WALIOKO KWENYE NDOA WATAKUBALIANA NA MIMI. MIAKA 10 MKE WAKO HAJAWAI KUIONA? UNAILAZA WAPI? KUWA SERIOUS KIDOGO MZEE MWENZANGU BASI
Je kama anailaza yard au ccm tunakolaza magari[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom