Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

Hata makondakta huwa hawapendi abiria wa kawe-mbagala ile asubuhi. Wakiona hamshuki wanaanza kujisemea na dereva leo tumebeba waheshimiwa yaani linapoanzia gari mpaka mwisho wa safari.
 
Hivi wewe ??!!! Banana unaenda kulala ukitokea wapi, seminar ipi, au Kuna stend Gani banana kwamba unasafiri. Au ndio kwamba banana unafasiri kwenda nchi Gani ukalale banana Ili uwahi ndege??
Acha dharau banana hapo uwanja wa ndege kwa miguu tu usipachukulie poa.
 
Invoice ngapi zilitoka?
 
Mbona mimi hapa Kempisky hawajawahi niuliza hivyo? Huwa nalipa zangu mil 2 wananipa room bila hayo maswali
 
Alichomaanisha mleta mada ni usumbufu ktk kupata chumba cha kulala.
60% ya lodge nyingi sn zinafanya hivyo..

Tofautisha mgeni toka mikoani na mgeni mwenyeji wa humu humu mjini.
Hivi mkuu ni lini umekwenda lodge na mabegi mkononi?
Wewe unaleta experience ya kwenda lodge bila hata mfuko wa Rambo mkononi,

Mleta hoja anazungumzia mtu akiwa ni mgeni wa kweli na ana mizigo mkononi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakubalika kupangisha kwa masaa, kosa nj wakikulazimisha ulipe bei ya kulala wakati unatumia nusu saa
 
Sawa boss.
 
... kaingia mitaa ya "wahaya" halafu anataka alale; tabu sana! Kule nasikia unatakiwa umalize shida zako chap umpishe anayefuata bila kupoteza muda. Kama kuna "biashara" nchi hii ziko very sensitive na muda ni huko.
Mtuache wahaya
 
Huu uzi wa kupunguza stress nimecheka sana.
Kuna sehemu inaitwa buguruni malapa mwenye picha tafadhali.
 
Usipende kulala sehemu za hivyo unaenda kuchota mikosi na nuksi tuu... kama una kipato fikia zako hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…