Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,654
Asa utaki nn utaki nichukue cheo changu 😹Sitak 😂😂
Asa utaki nn utaki nichukue cheo changu 😹Sitak 😂😂
Mwanamke unajua pub kuliko mm chibaba chako😂😂😂Asa utaki nn utaki nichukue cheo changu 😹
Hongera mkuukaribu! Binti Sayuni03 nipo hapa $£BUL€N! PUB nakunywa juice.
hahahaha au kingash sijui, pale QB bwana daaaahUtakuwa QB wewe
Hongera mkuuNipo Canada Sina vibe si unajua ugenini
Chibaba umenikataa 😹💔Mwanamke unajua pub kuliko mm chibaba chako😂😂😂
Mm naonjoi kikiwa natafut punda walopoteaLeo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Si ndio 😂😂Chibaba umenikataa 😹💔
baba mishangazi ya nn tenaSasa natoka matako bar nahamia mishangazi bar😂😂🔥🔥
Kimara auHavana lounge mbezi apa
Safi
😁😁😁Mm naonjoi kikiwa natafut punda walopotea
nyumbani unafanya nini binti yanguNyumbani, tumepoa na familia
The life of this world is shot enjoyment. But here after is lasting forever..So Akili mkichwa wewe andika utumbo tu.Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Sawa mkuuThe life of this world is shot enjoyment. But here after is lasting forever..So Akili mkichwa wewe andika utumbo tu.
Aah chimamaaaa changu 😂😂 sio naenda kuchukua mishangazi ila baa ndo inaitwa mishangazi bar 😂😂Chi
baba mishangazi ya nn tena
Nshakua jealous tyr chibaba💔Aah chimamaaaa changu 😂😂 sio naenda kuchukua mishangazi ila baa ndo inaitwa mishangazi bar 😂😂