Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Weekend nitaenda walking meditation kwenye msitu uliopo karibu na mto mkubwa, nitachukua mazaga nampango wa kuogelea pia nitavua samaki.
Nimeenda ilikuwa poa sana, nimeogelea lakini sijafanikiwa kupata samaki haha, tutembelee mazingira ya asili aisee mother nature is beautiful and caring.
 
Mim kuna jiwe kubwa sana mithili ya gorofa lipo kijij fulan(inasemekana mwanamalundi aliacha historia pale), napendelea kwenda kule juu kufanya tafakuli na kuona uzuri wa nchi.
 
Back
Top Bottom