Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Ndoto nzito sana!.. duh. Sijui tafsiri yake lakini kama mimi ningekuwa JK bila shaka safari ya Sumbawanga ingeanza leo hii maanake Bagamoyo na Rufiji hakufai tena.
Nawe mwandishi nadhani ipo haja ya wewe kwenda Uzanaki kulitembelea kaburi la mzee nadhani anakwita, mambo yatakunyookea baada ya hapo...
Bao limekamilika.
 
Bin Marium, wee kiboko yaani umesha shtukia? duh chale zako kali!
 
Watu kwa kufunga kamba Bwana.

Inazekana Bin Maryam ukawa na hoja maana ndoto mara nyingine hutokana na mawazo ama imani ya mtu, lakini kama umesoma. Jambo la pili hoja si ndoto, hoja ni je, kuna MANTIKI? Nadhani hapa amekujibu kama sikosei.

Nimejiuliza na kuwauliza watu wa karibu nami kuhusiana na ndoto hiyo, lakini nimepata majibu mchanganyiko ndio sababu hasa nimeamua kuwapa nafasi Watanzania wa Mwalimu Nyerere nao wapate maneno hayo. Sio lazima wayaamini, lakini wapate ujumbe.
 
Haya yote wanayajua na kuyaelewa vizuri tu,isipokuwa masikio yamefungwa ila zaja siku yatafunguka
 
Inazekana Bin Maryam ukawa na hoja maana ndoto mara nyingine hutokana na mawazo ama imani ya mtu, lakini kama umesoma. Jambo la pili hoja si ndoto, hoja ni je, kuna MANTIKI? Nadhani hapa amekujibu kama sikosei.

Nyerere wakati wake alifanya mazuri na mabaya. Je alipofanya mabaya nani alikuwa analia? Mkoloni aliyemtangulia ?

Siku zote kiongozi anapochemsha ni wananchi wenye kupata taabu. Sio jukumu la Nyerere kulia kwani huko aliko sasa hakuna utaifa. Na kama huko peponi kazi yao ni kulia kwa wanaopata taabu dunia basi sasa hivi atakuwa anatoa machozi kwa watu wa Congo Zaire na sio watanzania mlioridhika na status quo.
 
Acheni kufuru na kumkashifu marehemu nyie. Nani anajua alipo Nyerere? Hivi mnafikiri kufa mchezo eeeee !!!!!!!!!!!!. Ngojeni zamu yenu ikifika. Badala ya kumuomba Mungu amsamehe pale alipokosea mnaleta utani
 
Kuna watu wenye vipaji vya njozi. Kuna watu ambao ndoto ya aina fulani ikija basi kuna mtu amefariki. Na kuna watu wanajua wakiota ndoto ya aina fulani lazima wapige simu nyumbani kuuliza kama ni wazima na wanakutana aidha na habari za furaha au na huzuni.

Tangu enzi za mababu na karibu jamii zote za wanadamu kuna watu "waotao"

Kwa vile ndoto hutumia ishara na alama mbalimbali ni vigumu mara moja kuelewa maana yake hata zile ambazo ziko wazi na dhahiri katika picha (symbolism).

Kuweza kuelewa njozi ni lazima mtu uwe na utaalam au kipaji cha kuelewa njozi na ujumbe wake. Wakati mwingine ujumbe wa njozi ni zaidi ya kile kilichootwa.

Kwenye maandiko matakatifu (Biblia na Kurani) ndoto zina nafasi ya pekee. Biblia na Kurani zote zinakubaliana kuhusu ndoto za Yusuph na japo zinatofautiana kidogo katika maana lakini zinakubaliana kuwa Yusuph alikuwa na kipaji cha kutafsiri ndoto. Kwenye Agano Jipya tunakutana na Yusuph mwingine (baba Mlishi wa Yesu) ambaye naye tunaambiwa alionywa na mungu "katika ndoto" amchukue mtoto Yesu na mamaye Misri kumlinda na mkono wa Farao.

Katika Kurani pia tunakutana na jinsi ambavyo Yusuph anamshukuru Mungu kwa kipaji cha ndoto na kuzitafsiri (Yusuph 12:101).

Abu Huraira alisema alimsikia Mtume (SAW) akisema hivi "wakati ukikaribia (yaani ule wa ufufuko) ndoto ya muumini ni kweli mara nyingi. Na ndoto ya ukweli ni ya yule ambaye ni mkweli katika maneno yake, ... na zipo ndoto za aina tatu, ndot ile yenye habari nzuri na inatoka kwa Allah, ndoto mbaya ambayo inaleta maumivu na inatoka kwa shetani, na ndoto ambayo ni mazao ya mawazo ya mtu mwenyewe."

Bila kuingia ndani sana kimsingi ndoto zinatakiwa kupambanuliwa hasa zile ambazo ni nje ya hali ya kawaida. Ni zile ambazo zinakukaa kichwani na kwa hakika unahisi kuna ujumbe.

Binafsi naamini kuwa ndoto aliyoielezea mwandishi inaweza kuwa na pande mbili. Upande mmoja ni uchungu wa mwandishi na kumbukumbu ya Mwalimu ambavyo vimeitengeneza njozi hiyo.

Hivyo, ujumbe mkubwa wa njozi ni kumtia moyo huyo mwandishi kuwa hayuko mbali na Mwalimu kimsimamo hasa anapoangalia hali inavyoendelea nchini.

Hapo ndipo picha ya "Nyerere" inapokuja. Nyerere katika ndoto hii anasimama kama alama ya ubora, kuheshimu madaraka, na kuzingatia miiko ya uongozi. Nyerere wa ndoto siyo yule aliyekufa bali ni yule aliye hai, yaani vile vitu ambavyo tunaamini havipitwi na wakati.

Lakini upande mwingine wa hili ni kuelewa pia kuwa sheria ya kutobadilika kwa nishati (law of conservation of energy) ipo pia. Kwamba energy can neither be created nor destroyed. Hivyo energy iliyoko ndani ya mwanadamu haiwezi kuharibiwa.

Je mtu anapokufa ile energy inakwenda wapi? It can not be destroyed. Sheria hiyo ya kwanza ya Thermodynamic inasema kuwa kitu ambacho kinaweza kufanyika ni kuwa nishati yaweza kubadilishwa kutoka katika hali (form) moja kwenda nyingine bila kuiharibu nishati hiyo.

Kimsingi huo basi mtu anapokufa energy yake exists in one form or another. To some this is the basis of pyschic abilities. Kuna watu ambao kwa sababu fulani wanaweza kutune hizi energies. Na wengine wana uwezo wa kutune wakiwa kwenye ndoto.

So, siwezi kushangaa kabisa kuwa mwandishi akiwa usingizini alikuwa overcame na energy ya Nyerere. It is not far fetched.

Wengi wetu ambao tumepoteza wazazi au ndugu wa karibu kuna ile ndoto moja ambayo ukimuota huyo marehemu basi lazima ufanya jambo fulani au kitu fulani kitatokea. Siyo njozi za kawaida hizo.

Natumaini nimechangia.
 
..i hope jamaa aliyei-rubbish hii ndoto kakuelewa!
 
DsL, ndio maana tuko hapa katika kuelimishana na kupeana ujuzi, lakini pia kukosoana na kuoneshana njia.
 
Uzuri wa ndoto hakuna ujuzi kila kila mtu anaota.. sijui itakuwaje ikitokea siku nikaota Mwalimu kanijia analia anataka Karamagi awe Rais wetu ajae.....
 
Mwanakijiji:

Bado ujachangia. Unachofanya ni ku-perpetuate myth. Facts ziko nje nje na haziitaji ndoto au divine intervetion kuona ukweli wa mambo.

Kama kulikuwepo na energy kwanini haikumstua mwalimu mwenyewe kuwa Mkapa atawatosa?

Na mfano wako wa energy hauna mantiki zaidi ya kuzidisha supersition.

Enegy mwalimu ilikuwa inatokana na chakula alichokula hapa dunia.

Mwacheni mwalimu alale salama, kama mna matatizo ameacha lundo la maarifa na ujanja wa kuondoa walio madarakani.
 
Mkuu JK uliambiwa kuwa Lowasa hafai uongozi na Mwalimu Nyerere.hukusikia.
akawatumia kila Salva rweyemamu na Tido mhando kumfagilia sasa unaona?
toa wote huyo Tido na Salva wote hawana maadili. Tido alikimbia wakati wa Mwalimu hakufai.
 
Back
Top Bottom