Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Labda na mimi nikuulize swali kidogo,hivi hayo unayosema nyerere kasingiziwa ilistahili aambiwe nani unaedhani alistahili kupewa sifa hizo,

Hebu turudi kwenye post namba moja tuanza na point ya kwanza.

Hivi wewe unafikiri ni sifa nzuri ya kumpa mtu aliyeleta Uhuru kwa amani kumsingizia kuwa "alipigania Uhuru"? hauoni hapo unamshusha na unajishusha kuwa tulikuwa hatustahili kuwa huru mpaka "tumepigania"?

Sasa ikiwa unamsinguzia Nyerere "kapigania Uhuru" na hali ya nchi alivyoiacha miaka 27 baadae ikiwa hohehahe si kama unamwambia "ulipigania Uhuru" wakati umeshindwa kutawala? au wewe unaonaje?

Mimi nadhani tumpe sifa yake anayostahili ya kutuletea Uhuru usomi wake kwa amani bila kupigania wala kumwaga damu na tukaagana vizuri na Muingereza kukabidhiana madaraka kwa heshima bila damu kumwagika.

Kama kulikuwa na damu iliyomwagika basi ilikuwa ni ya yale makafara tu aliyokuwa akihudhuria Nyerere na kuchinjiwa mbuzi, ng'ombe, kuku. Au siyo?

Tukubaliane hili la kwanza halafu twende la pili. Au unasemaje?
 
By the way, Mwalimu alisoma Economics, at that time ilikuwa inaunganishwa na history. tafuta biographical note yake kutoka university yake
 
I saw this question coming but didn't guess who was going to ask. In short I am not that level and you are also not, so we can't understand and therefore we don't need to challenge Nyerere.

Ohhh, and now you also know my level. I think that "sentence" kasingiziwa tu. Thats my level.
 
Unaona jinsi Watanzania tunavyokosa mantiki.

Hapa tunachotaka si maswali, kama unayajuwa elezea, ilikuwa hivi na hivi na hivi.

Soma vizuri, hayo ni "kusingiziwa", yanaweza kuwa yote anasingiziwa na si ukweli.

Kama unaujuwa ukweli kuhusu point yooyote katika hayo saba utuelezee.

Unajua chochote kuhusu rhetorical questions?
 
Kwa vile hujui basi ni wewe ndiye unayemsingizia Nyerere ........................... Kwa kukusaidia tu, wakati BOT inaungua Gavana alikuwa Nyirabu!!

Na nani aliezelea u Gavana, kanisome tena.
 
Nina rafiki yangu ni mtangazaji wa TBC, kwenye taarifa ya Habari ya saa Mbili Usiku akamtaja Kikwete bila kumwita Dokta.

Inadaiwa alitaka kufukuzwa kazi. Waliotumwa kuuliza ni kwanini hajatanguliza Dr walisema "Mzee" ALIKASIRIKA SANA. Sasa utaona nani ni punguani

Hizo ni porojo za vijiweni.
 
Angalia hiyo list ya Mwalimu JK Nyerere. Lakini umepata kuona Mwlimu akijitambulisha na hizo zawadi.

Kama huu U-DR tunaweza kupeana na ikawa Utambulisho Rasmi wa Mtu ,kuna haja gani ya kusoma/shule.

Level aliyofikia Kikwete ya kuwa Raisi ni heshima tosha na hanakuna haja ya kuchafua jina lake na U-Dr wa kupewa.
Ataendelea kuwa neo Raisi hata mwisho wa Maisha yake.

U-Dr unafaa wajukuu zake waje wasome kwenye wasifu wake kuwa alipata kutunukiwa U-Dr wa heshima kwenye eneo moja, mbili nk.

Na siyo kuwa wapa muda wajiulize kasomea wapi huu U-Dr na kwenye Fani gani.

Ni vizuri kuishi uhalisia na kwa mfumo wa Kijamii-matumizi majina au hadhi yasiyo sahihi kwa muda usiosahihi kwa mahala pasipo sahihi vinashusha heshima na dhamani ya vitu husika kwenye jamii.





Mimi niliandika juu huko kuwa wewe ni Dr., Jee, ulinituma wewe niandike hivyo?
 
Hivi ndivyo ulivyoandika. Kwamba "Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba". Kama anasingiziwa kuwa hajaiba maana yake ni kwamba aliiba lakini kuna watu ambao wanadai hakuiba, siyo?

La sivyo, una maana gani unaposema "Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba"?

Halafu ukaendelea kwa kuandika "Si kweli". Kisicho cha ukweli ni nini?

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Kama BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu unachodai kuwa kiliibwa ni kitu gani hasa? Majivu ya mabaki ya hiyo BOT au?

Nisome vizuri hiyo point, punguza hasira.

Kwanza, wala sina hasira zozote zile. Pili, nimerudia tena na tena kukusoma na ulichoandika ndicho ulichoandika. Usitake kujifanya ulichoandika hakieleweki.

Nimeandika kama si Nyerere basi ni Mtei na hili la Mtei tulitazame vizuri,

Hapana, umeandika zaidi ya hayo.

Nyerere hakuna mali ayoacha kama tujuavyo,

Ile nyumba ya Msasani si mali? Vitu vilivyokuwemo kwenye hiyo nyumba si mali? Ile nyumba ya Butiama si mali? Labda ni wewe tu na wenzako wenye mitizamo kama yako ndo 'mnaojua' kuwa Nyerere hakuacha mali.

Mtei Jee? kama mtumishi wa umma wa enzi hizo mali kazitowa wapi?

Hilo mwulize yeye. Si bado yuko hai....
 
Hivi mtu unapata faida gani kumsimanga marehemu....mtu ambaye hakusikii wala hakuoni...mtu ambaye hataguswa na maneno yako kamwe....kuendelea kumjadili au kumsimanga marehemu...ambaye ni mwanadamu kama sisi...ni kuupoteza muda ambao ungetufanya turekebishe pale ambapo tunahisi alikosea kama mwanadamu na kuyaenzi yale mazuri aliyotuachia....

Mbona anatajwa kama mtu mhadilifu na serikali yako na wana-mkoti maneno yake mengi kumbe hawawezi timiza ata moja na wewe hulalamiki?....Hapa tunapata historia ya mambo ya J.K.Nyerere ambao hatujui lolote kuhusu yeye.....Mfano mimi sikujua majina haya ya MHIMBILI na SEWA HAJI kama yalikuwa ya watu....wakati sasa yanatumika kama majina ya hosptal na wodi mahali hapo....mleta mada endelea shusha nondo plz.
 
Nani kaongelea u gavana wa Mtei? hivi mnachosoma huwa hamuelewi?

Umekosa jibu,umeishiwa hoja!Una maana gani kusema kama si Nyerere ni mtei?kwanini asiulizwe Mwinyi?Na yeye si alikuwepo?Udini utakudhuru mfia dini wewe bibi!Ukikosa hoja unakimbilia kanisome tena!
 
kweli wewe bibi huna cha kupoteza ndo maana unaongea uzushi tu. ninde kapumzike kwa amani(rip)
 
Hivi ndivyo ulivyoandika. Kwamba "Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba". Kama anasingiziwa kuwa hajaiba maana yake ni kwamba aliiba lakini kuna watu ambao wanadai hakuiba, siyo?

La sivyo, una maana gani unaposema "Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba"?

Halafu ukaendelea kwa kuandika "Si kweli". Kisicho cha ukweli ni nini?



Kama BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu unachodai kuwa kiliibwa ni kitu gani hasa? Majivu ya mabaki ya hiyo BOT au?



Kwanza, wala sina hasira zozote zile. Pili, nimerudia tena na tena kukusoma na ulichoandika ndicho ulichoandika. Usitake kujifanya ulichoandika hakieleweki.



Hapana, umeandika zaidi ya hayo.



Ile nyumba ya Msasani si mali? Vitu vilivyokuwemo kwenye hiyo nyumba si mali? Ile nyumba ya Butiama si mali? Labda ni wewe tu na wenzako wenye mitizamo kama yako ndo 'mnaojua' kuwa Nyerere hakuacha mali.



Hilo mwulize yeye. Si bado yuko hai....

Sasa jibu na hili, mbona unalikwepa swali?

BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?
 
Umekosa jibu,umeishiwa hoja!Una maana gani kusema kama si Nyerere ni mtei?kwanini asiulizwe Mwinyi?Na yeye si alikuwepo?Udini utakudhuru mfia dini wewe bibi!Ukikosa hoja unakimbilia kanisome tena!

Hayo ya udini unayaleta wewe, ni wapi nimetaja neno dini au dini ya mtu kwenye post yangu?

Mkishindwa hoja ngao yenu ni "udini". Aulizwe Mwinyi wakati Mtei ndiyo juzi juzi kaongelea BOT kuunguwa? Au ulikuwa hujuwi hilo?
 
Huo ni u Dkatari wa heshima kutokea kwangu kuja kwako.

Ni wengi sana wanamsingizia na ukiniuliza ni nani mimi hilo swali siwezi kulijibu, ni gumu sana kwangu lakini, mfano nikianza na namba moja hujawahi kusoma au kusikia kuwa Nyerere "kapigania Uhuru"?

Hebu jibu hoja, Uliona wapi Nyerere anajiita DK? Japo kwa IQyake alistahili hata kujiita Prof. aliona haina haja kwani mwenye akili anajulikana tu hata bila hizotitle. Nia yako wewe si nzuri hasa baada ya kupitishwa hili lisheria lenu hili!
Mmemsingizia vingi mwalimu. Eti alizuia TVs ili yeye tu ndioanaonekana ana akili. Haya sasa hivi mna uhuru na mainformation kibao mbona hatuoni mambo ya maana?

 
No.4.inaonyesha ulivyo mpumbavu.nan kakwambia daktari mpaka asome sayansi.rais wako jk anaitwa Dr...kasoma pure science?......
 
Back
Top Bottom