Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Fungua thread tumjadili Kikwete, hapa tunamjadili Mwenye Heri Dr. Julius K. Nyerere

Mkuu Mwalimu hakuhitaji hata kuitwa Dr.!
Unajua mtu anakuitwa kwa jina au hadhi isiyo rasmi ujue huyo ni mpambe mbaya sana katika maisha!

Yooooooooooooooooote haya ya nini?????, Nyerere hatunae tena, alifanya aliyofanya, alitutoa alipotukuta nakutufikisha alipotuacha,

NADHANI HAYA YOTE YANALETWA NA JAMBO MOJA KUBWA TU
'Nyerere hakuwaendekeza waislam walete mambo yao'....,
 
Ooh, vyema kabisa, kwa hiyo Nyerere hakusingiziwa Udaktari, ni kweli kabisa ni Daktari na umedhihirisa hilo bila ya shaka yoyote. Ukweli kabisa nimeridhika na data ulizoshusha na Nyerere alipewa u Daktari wa heshima na ndiyo maana ni Dr. Nyerere.

Ajabu ni pale watu wanapokejeli u Daktari wa Kikwete. Hauoni kuwa ni "double standard" wakati wote wametunukiwa u Daktari wa heshima?

Upo hapo ulipo?

Ulishamsikia Nyerere akiitwa dokta hadi amekufa. Cha ajabu mwenzetu mmoja analazimisha kuitwa profesa kwa kuwapa wachina gesi bure😅😅😅😅😅
 
Awali ya yote heshima hii ya U-Dr kwenye eneo lipi -ili nijitambue kama ni saizi yangu au lah!

Swali la msingi nani kamsingizia?. Huyo anayemsingizia ndiye atakuwa na majibu!

Huo ni u Dkatari wa heshima kutokea kwangu kuja kwako.

Ni wengi sana wanamsingizia na ukiniuliza ni nani mimi hilo swali siwezi kulijibu, ni gumu sana kwangu lakini, mfano nikianza na namba moja hujawahi kusoma au kusikia kuwa Nyerere "kapigania Uhuru"?
 
Mkuu hata Mkapa hakutaka kuitwa Dr. Hata Mzee Mugabe kabla ya withdrawer ya PhD zake hakupendelea kuitwa Dr.
Hapo penye red umeharibu maana ya ulichokusudia kukileta. Jaribu kurudia upya

Kuitwa mtu Dr. Si kuwa yeye anajiita Dr. bali wapambe wanamuita Dr. Hususan akiwa Daktari wa heshima.
 
Yooooooooooooooooote haya ya nini?????, Nyerere hatunae tena, alifanya aliyofanya, alitutoa alipotukuta nakutufikisha alipotuacha,

NADHANI HAYA YOTE YANALETWA NA JAMBO MOJA KUBWA TU
'Nyerere hakuwaendekeza waislam walete mambo yao'....,

Naam,Nyerere alikemea sana Udini kwa hiyo wale waliopenda kulialia na kudai kuonewa kwa kila Jambo walimwona Nyerere kama adui yao Mkuu.Kuna Mzee Mmoja wa Kariakoo naye ni kulialia tu kila siku na kumlaumu Nyererekama huyu Bibi.
 
STUPID,acha nipigwe ban lakini wewe mwanamke ni MPUMBAVU,huna sifa nyingine zaidi ya hiyo

Punguza ghadhab,usipandishe pressure, hospitali zenyewe za kwetu unazijuwa majanga yake, na Watanzania kuchangia mtu akatibiwe India ni muhali mkubwa sana, sisi ni wepesi sana kuchangiana harusi lakini mtu na afe kwa kuumwa kuchangia ni muhali. Hakuna ataekupiga ban.

Nilipoandika hayo niljuwa kabisa kuna wengi watakuja povu linawatoka kama wewe kwa hasira. Lakini nisome kwa utaratibu na umakini na uone hoja iliyopo si kuwa ni shutuma ni "kusingizia" sijuwi unajuwa maana yake?

Sasa naomba jibu taratibu bila hamaki wala hasira, kuanzia namba moja, kwanini anasingiziwa hicho au kwanini hasingiziwi. Tuelimishe nasi tupate faida badala ya kuja na hasira.
 
Kuitwa mtu Dr. Si kuwa yeye anajiita Dr. bali wapambe wanamuita Dr. Hususan akiwa Daktari wa heshima.
FaizaFoxy hujui wabongo tulivyo? Ukiwa na digrii moja ya Gentleman Pass, ukapata madaraka, Wachina wakikupa PhD ya heshima ya Kichina china LAZIMA ushinikize uitwe Dokta!
 
Last edited by a moderator:
Naam,Nyerere alikemea sana Udini kwa hiyo wale waliopenda kulialia na kudai kuonewa kwa kila Jambo walimwona Nyerere kama adui yao Mkuu.Kuna Mzee Mmoja wa Kariakoo naye ni kulialia tu kila siku na kumlaumu Nyererekama huyu Bibi.

Katika yote saba niliyoyaweka huo "udini" na "kumlaumu" kuko wapi? wewe sasa ndiyo unaongelea "udini" na "kumlaumu" si mimi.

Hebu funguka kidogo kimawazo tujadiliane vyema bila kuingiza mambo ya dini za watu, wewe una dini yako mimi nnayangu, tubaki hivyo hivyo bila kuziingiza hapa. Tujadili yaliokuwepo.
 
Ulishamsikia Nyerere akiitwa dokta hadi amekufa. Cha ajabu mwenzetu mmoja analazimisha kuitwa profesa kwa kuwapa wachina gesi bure

Dawa za kulevya+Meno ya Tembo+Uprof=Ardhi ya Bagamoyo+Gas
 
Naona watu karibu wote mmeamua kumshambulia huyu mama.Bila shaka inabidi ajisahihishe maana Nyerere ni Kipenzi cha Watanzania wenye nia safi na Nchi yao.Huyu ni sawa na Nelson Mandela kwa A.Kusini,Indira Ghandhi kwa India,Kwame Nkurumah kwa Ghana na Thomas Sankara kwa Bukina Faso.Huwezi kuwasema hawa ukabaki salama maana Michango na Mapenzi yao kwa Nchi zao imetukuka.Marais wengine wanakuja,wanajaribu na kupita.
 
Nyerere was reported as saying that he was a "schoolmaster by choice and a politician by accident"

What did you expect from a politician of that level like Nyerere? One needs to be of that level to understand this language.
 
We leta maneno yooooooooooooote..., Nyerere hakuwaendekeza tu....!
 
Are you of "that level"?

I saw this question coming but didn't guess who was going to ask. In short I am not that level and you are also not, so we can't understand and therefore we don't need to challenge Nyerere.
 
Na mimi naongezea;

8- Mlm.Nyerere anasingiziwa kuwa ni Mjamaa /Msocialist- Sio Kweli Mlm.Nyerere hajawahi kuwa Mjamaa na Ushahidi ni kwamba maisha yake yote alikuwa anatumia gari aina ya Mercedes Benz iliyotengenezwa nchini Ujerumani nchi ambayo ndiyo baba wa Ubepari, Pili Mlm.Nyerere alifia Uingereza Nchi ya Kibebepari ingawaje Shuleni alitufundisha siku zote kuwa Ubepari ni Unyama!

9- Mlm.Nyerere anazingiziwa aliunganisha Watanzania kwa Lugha moja ya Kiswahili SIYO Kweli Mlm.Nyerere Kiswahili alikikuta hapa na wakati anazaliwa Kiswahili tayari ndio ilikuwa Lugha rasmi inayotimiwa hapa nchini na hii ni kwa sababu ya Biashara ya Makaravani iliyopita kuanzia Kongo mpaka Bagamoyo, Dini ya Kiislamu, na pia zaidi sana sana Dini ya Kikristo iliyotambua Kiswahili na kukitumia kama Lugha ya kufundishia Mashuleni na Makanisani!
 
Mkuu hata Mkapa hakutaka kuitwa Dr. Hata Mzee Mugabe kabla ya withdrawer ya PhD zake hakupendelea kuitwa Dr.
Hapo penye red umeharibu maana ya ulichokusudia kukileta. Jaribu kurudia upya

Hata hivyo message delivered!

Unajua mtu anayekuita kwa jina au hadhi isiyo rasmi ujue huyo ni mpambe mbaya sana katika maisha!

Sisi wengine tunawaita wanafiki!
 
faizafoxy japo ni kada mwenzagu Wa ccm inaonekana kina Mohammed said mpo wengi sana kwenye hii nchi na behind the scene kuna agenda mbeba. mtu mzima ndio najua ila akili ya kisichana.

Ni vyema sana kuwa umeondoa neno "udini" kwenye post yako hii lakini nnakuomba pia ondoa hiyo "Mohammed Said", si vyema, kama una tatizo na mimi binafsi hiyo ni hiyari yako na kama una tatizo na "Mohamed Said" tafadhali usilihusishe na mimi.

Hebu funguka kidogo kimawazo tujadiliane vyema bila kuingiza mambo mengine. Tujadili yaliokuwepo.
 
Ooh, vyema kabisa, kwa hiyo Nyerere hakusingiziwa Udaktari, ni kweli kabisa ni Daktari na umedhihirisa hilo bila ya shaka yoyote. Ukweli kabisa nimeridhika na data ulizoshusha na Nyerere alipewa u Daktari wa heshima na ndiyo maana ni Dr. Nyerere.

Ajabu ni pale watu wanapokejeli u Daktari wa Kikwete. Hauoni kuwa ni "double standard" wakati wote wametunukiwa u Daktari wa heshima?

Upo hapo ulipo?
Kabwela kanasa kwenye mtego kirahisi sana.

Teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom