Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Kweli binadamu wako wa aina nyingi mleta mada nae ni spice ya aina yake
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.


7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?


Swali lini iliungua ?
Nani alikuwa Governor ?
Je ulishiriki kwenye huo mjadala hapo chini niliourejea?



FaizaFoxy
16th November 2014 06:48
#25


[h=2]
icon1.png
Re: Nini/Nani aliiunguza BOT?[/h]



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 30, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]2[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
Nyirabu.jpg
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Mr. Charles Nyirabu[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1974 to 1989[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]
Mtei.jpg
[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]Mr. Edwin I. Mtei[/TD]
[TD="width: 210, bgcolor: #EEEEEE"]From 1966 to 1974[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



"Unfortunately, the Bank of Tanzania Headquarters building was destroyed by the fire of 1984, leaving only the empty brickwork and concrete structure. The meticulous, local hard woodwork inside partititioning, including the exquisite Mninga and Mvule furniture and Elimo Njau's Mural, and all the records and documents were engulfed in that inferno. A Golden Sword hanging in the Governor's Office, presented to me on the occassion of the official opening of the building by Jonathan Frimpong Ansah, Governor of the Bank of Bank of Ghana, and a life-size portrait of President Nyerere I had commissioned the artist Raithatha to prepare, were also reduced to ashes" - Edwin Mtei, the first Governor of BOT, 'From Goatherd to Governor: The Autobiography of Edwin Mtei' page 104.
 
Hivi:"punguani wahed" maana yake nn? FaizaFoxy

Nyie kina Faiza na Rtz, na wengineo km ninyi ndio mnaofanya CCM na |Kikwete wachukiwe na kuonekana km ni kweli Kikwete ndio amekuwa anachochea vurugu za kidini. Kikwete ananmchukia sana Mwalimu kwa sababu alimwengua kwenye nafasi ya kugombea urais 1995. Ndio maana wafuasi wa \kikwete km kina Faiza na Ritz wanamtetea sana |Kikwete dhidi ya Nyerere. Hili linapandikiza chiki miongoni mwa watatnzania na kufanya CCM ichukiwe zaidi kwa sababu kikwete ni mwenyekiti wake na amehusishwa na mambo mengi ya udini!

Nakumbuka kikete baada ya kuwa rais alikuwa anamefer Nyerer km Mzee Nyerere n sio baba waTaifa km ilivyozoeleka.
 
Huyu faiza lazima watakuwa shetani au ubongo umechanganyika na mavi over. Aya sasa baada ya kusingiziwa wewe umepata faida gani au hasara gani? Dini yako inasemaje kuhusu marehemu? Au kwa kuwa ni mkristo maana wewe ni Mtanzania ambaye unatamani taifa hili lote wawepo waislamu tu.punguza muwasho tujadili mambo ya msingi mfano kwa nini Tsh ya Tanzania inashuka thamani?
 
FaizaFoxy, naona unajibu kila kitu ila hili la Mtei kuunguza bank naona unalikwepa. Umemsingizia mzee wa watu kwa ajili ya chuki binafsi. Umejuzungusha kote kumbe mlengwa alikuwa Mtei!!?
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana wanawake wa kitanzania wenye confidence ya namna hii... Yaani kawajaza wanaume kama mia wenye panic 100% lakini ye amerelax tu.
This turns me on.. Nimetokea kukupenda FF.
 
FaizaFoxy, naona unajibu kila kitu ila hili la Mtei kuunguza bank naona unalikwepa. Umemsingizia mzee wa watu kwa ajili ya chuki binafsi. Umejuzungusha kote kumbe mlengwa alikuwa Mtei!!?

Labda sijaliona tu na sijajibu kila kitu, nnapitia kidogo kidogo wacha kiherehere.
 
Napenda sana wanawake wa kitanzania wenye confidence ya namna hii... Yaani kawajaza wanaume kama mia wenye panic 100% lakini ye amerelax tu.
This turns me on.. Nimetokea kukupenda FF.

Kupendwa ni jadi yangu.

Na mi nnakupenda, sina sababu ya kumchukia yeyote ndani ya JF.

Lakini hiyo kuwa turned "on"! angalia usichafuwe screen yako.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Na mimi naongezea;
8- Mlm.Nyerere anasingiziwa kuwa ni Mjamaa /Msocialist- Sio Kweli Mlm.Nyerere hajawahi kuwa Mjamaa na Ushahidi ni kwamba maisha yake yote alikuwa anatumia gari aina ya Mercedes Benz iliyotengenezwa nchini Ujerumani nchi ambayo ndiyo baba wa Ubepari, Pili Mlm.Nyerere alifia Uingereza Nchi ya Kibebepari ingawaje Shuleni alitufundisha siku zote kuwa Ubepari ni Unyama!

9- Mlm.Nyerere anazingiziwa aliunganisha Watanzania kwa Lugha moja ya Kiswahili SIYO Kweli Mlm.Nyerere Kiswahili alikikuta hapa na wakati anazaliwa Kiswahili tayari ndio ilikuwa Lugha rasmi inayotimiwa hapa nchini na hii ni kwa sababu ya Biashara ya Makaravani iliyopita kuanzia Kongo mpaka Bagamoyo, Dini ya Kiislamu, na pia zaidi sana sana Dini ya Kikristo iliyotambua Kiswahili na kukitumia kama Lugha ya kufundishia Mashuleni na Makanisani!


Anasingiziwa na nani?
 
Nyerere aliendelea kujiita mwalimu hata baada ya urais, 'tumpate wap tena mtu kama yule??'

Alikuwa Mwalimu kweli, hajajipachika na wapo wanaomuita Dr. Nyerere, ushahidi:

Dr Julius Nyerere was...

Chanzo: 2014 Ubuntu Honour Award to Dr Nyerere - National Heritage CouncilNational Heritage Council

Ndiyo maana hutiweza kusikia yeyote mwenye PhD za kutunukiwa akajiita "mimi Dokta Nyerere" au "mimi Dokta Kikwete", sisi wapambe ndiyo tuwapamba hivyo lakini si wao.

Na anaefikiria kuwa kuna mtu anajitamba kwa kujiita "mimi Dokta fulani" basi huyo atakuwa ni punguani wa hali ya juu kabisa.

Halafu hili la udokta nimelijibu juu huko: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...iwa-mengi-sana-post12680049.html#post12680049
 
Back
Top Bottom