Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere aliendeshwa na maaskofu wa Roman Catholic, na ndio maana alishindwa kuondoa kiti chao pale Ikulu.Na inasemekana eti hii nchi aliikabidhi Vatcan.,,Nyerere alikuwa mchuro alitukokota vitani kwasababu ya udini,ndio maana hii ilipiga mweleka wa kiuchumi mwaka 1981-84.

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nyerere katoka madarakani 1984 hadi leo kufeli kwa nchi mnamsingizia Nyerere. Huu ni upuuzi na chuki kijinga haijapata kutokea.
Kuzaliwa masikini au kuzaliwa katika family masikini sio kosa, kosa ni kufa bado ukiwa masikini. Tangu mwaka 1984 baba wa alipong'atuka mpaka leo ni miaka 33 lakini bado tunagalagala kwenye dimbwi la umasikini. Hili sasa ndio kosa.
 
Una uhakika na hili nilipokoleza maana kulingana na faiza foxy na nduguye mwana historia mohamed said waislam ndo waliomuweka JK wa ukweli pale kitini kupitia uhuru wa tanganyika.Nchi haikupiga mweleka kiuchumi kuanzia miaka hiyo ni uwongo wenye upofu,uchumi ulianza kuharibika miaka ya 70 zaidi baada ya vita ya Uganda.
Nyerere aliendeshwa na maaskofu wa Roman Catholic, na ndio maana alishindwa kuondoa kiti chao pale Ikulu.Na inasemekana eti hii nchi aliikabidhi Vatcan.,,Nyerere alikuwa mchuro alitukokota vitani kwasababu ya udini,ndio maana hii ilipiga mweleka wa kiuchumi mwaka 1981-84.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Acha upuuzi wewe umefanya nini ktk nchii hiii?
 
Hawa watu kuanzia mleta mada ni wahuni tu, wakupuuzwa
Wako kwenye kambi ya kulalamika hao, wenzao waliojitambua hao wanatoka. Mkoa wa Kigoma na wote wa huko hawakuwa na lolote huko nyuma zaidi ya kujihisi kupuuzwa na kutengwa, akili zilipowashika, leo nadiriki kusema, sijui nani mkuu ktk biashara kati ya Mkinga na Mchaga ila 5 bora WAHA wa Kigoma wapo: Endelezeni tu fikra za wajinga.

Hizi fikra ndo zinazoziangusha hata timu zetu, simba na yanga, ubinafsishaji umefanyika kuanzia migodi, mashamba, viwanda, mashirika, wao bado tu wanawasikiliza akina Mzimba na Akilimali, hadi leo pasi na mfadhili yanga chali. Ndugu zangu pasi kujitambua hatutatoka, nendeni wilaya ya Tandahimba mkajifunze vitu, kila mtu anaweza, uamuzi wa maisha yetu uko mikononi mwetu, tuache historia za husda na porojo za walio na yao nyuma ya pazia.

Kuna visiwa viko Afrika hadi leo lakini ni sehemu ya Ufaransa, unadhani usultani ungeweka usawa miongoni mwa wazanzibar, kungekuwepo na MAPINDUZI?!!!,,
 
Wako kwenye kambi ya kulalamika hao, wenzao waliojitambua hao wanatoka. Mkoa wa Kigoma na wote wa huko hawakuwa na lolote huko nyuma zaidi ya kujihisi kupuuzwa na kutengwa, akili zilipowashika, leo nadiriki kusema, sijui nani mkuu ktk biashara kati ya Mkinga na Mchaga ila 5 bora WAHA wa Kigoma wapo: Endelezeni tu fikra za wajinga.

Hizi fikra ndo zinazoziangusha hata timu zetu, simba na yanga, ubinafsishaji umefanyika kuanzia migodi, mashamba, viwanda, mashirika, wao bado tu wanawasikiliza akina Mzimba na Akilimali, hadi leo pasi na mfadhili yanga chali. Ndugu zangu pasi kujitambua hatutatoka, nendeni wilaya ya Tandahimba mkajifunze vitu, kila mtu anaweza, uamuzi wa maisha yetu uko mikononi mwetu, tuache historia za husda na porojo za walio na yao nyuma ya pazia.

Kuna visiwa viko Afrika hadi leo lakini ni sehemu ya Ufaransa, unadhani usultani ungeweza usawa miongoni mwa wazanzibar, kungekuwepo na MAPINDUZI?!!!,,
Heshima kwako mkuu

Dada yangu faiza fox ni udini tu unamsumbua,

Anamchukia nyerere kwa sababu ya dini yake hana kingine, apuuzwe tu
 
FaizaFoxy anataka Rais akiwa shindwa wauza ngada aseme sababu ni nyerere. Anataka Rais akiwa na mtoto na mke wauza madawa ya kulevya lawama atupiwe nyerere. Faizafoxy anataka serikali ya magufuli ikishindwa kuingia mkataba WA ujenzi WA reli wenye manufaa Kwa nchi lawama abebe nyerere. Anataka pia mikataba ya kinyonyaji serikali ya kikwete iliyoingia na hao wanaoitwa wawekezaji basis tubaki kumlaumu nyerere.

Acha uongo faizafoxy. Tangia nyerere alipotoka mpaka Leo ni madhaifu na mapungufu ya hao walioingia baada take ndo yamesababisha tubaki hapa. Acha kumtupia lawama marehemu Kwa vitu ambavyo wala havina mashiko

Nyerere ulikuwa na mapungufu yake lakini tuwe tunambebesha lawama stahili.
 
Hizo ni fikra zako na upo huru kwa fikra zako, no matter how doltish they are.
 
He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?
Huyu mama Honestry ana jambo na Mheshimiwa JK Nyerere,Remember haipiti mwaka bila kumlaumu Nyerere,Angetuambia hii mikataba mibovu ya kizayuni iliyopitishwa hivi karibuni ningemuelewa.
Imagine tunahangaika kukusanya kikodi cha Trillioni na point bila kuangalia ni jinsi gani tutaongeza wigo wa mapato hadi kufikia Trillioni tatu hadi nne kwa mwezi,as a result,nchi imekufa ganzi
 
lakini tukubaliane kuwa nyerere hajatufikisha popote na kweli hakuwa na maono. ni kweli alijenga mshikamano wa kitaifa lakini kungine kote alikuwa anaendeshwa na emotions zaidi kul.iko kuangalia ahalisia wa mambo na dunia inakokwenda.
Ni kweli lakini tumuache apumzike alifanya yake lakini wale aliocheka nao Meza kuu wakijikuna visogo ndo hao walilambisha lami nchi hii kujilimbikizia mali nyingi.
 
Nimekumiss dada FaizaFoxy
unatutega,hebu funguka Mama hivi Nyerere kazi si ilikuwa iendelezwe na haya Mafisi ya Lumumba?
lakini walichofanya ni kuleta uchuro bila kupata Majibu,hebu muangalie alie Magogoni,akifanikiwa sana ni flyover na KUFUKIA MASHIMO ya Barabara.
 
Baada ya kusoma michango ya wengi humu nime realize kuwa Nyerere hana kosa lolote na sasa nnaanza kuamini kuwa Nyerere ni malaika kwenye umbo la binadam.
Acha kututega,umekosea kuleta hoja hii,leta ya Magufulina uchumi usiomsaidia mtu wa chini.
 
Mwalimu alifanya yake kwa wakati wake, Leo Hii Tuzungumzie hali ya sasa na uchumi wa sasa na kila hitaji la sasa na mafanikio au mapungufu yaliopo
 
Back
Top Bottom