Jmujun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 965
- 525
Bado tunashangazana watanzania, huyu jamaa kwa kiasi chake alijitahidi, lakini pia alibana sana, na Tanganyika haina faida ya kutangulia kupata uhuru kabla ya nchi nyingine,Si kweli.
Jina la Nyerere linalipa Tanzania, hata Diamond katumia picha yake.
Nyerere ni Rais wetu wa kwanza, msomi, mpigania Uhuru Afrika, Mtakatifu.
Baada ya kupitia maoni ya wachangiaji humu naanza kuamini kuwa alikuwa ni malaika katika umbo la binadamu. Hana makosa.
Oook, tuachane na wafu. Mimi binafsi sina faida ninayoiona ambayo ni matunda yake huyu mnayemwita mwasis,
Lakini mbali na hayo hiyo haina maana kwamba waliofuata