Hakuna blames wala lawama kwa Nyerere, hilo la lawama ni swali langu juu hapo, soma maswali yangu vizuri, nnayarudia hapa:
Wengi wanao nisoma maswali niliyouliza kwenye post namba moja hawajanijibu hata moja, naomba kuyarudia labda hamjanisoma sawa:
1) ...Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au
2) tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
3)...kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni?
4) ...alikuwa hana muono?