Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Angalia comments kabla hujatoa hoja, mwalimu aliacha nchi ikiheshimu utawala bora na ikithamini haki za binadamu.
CCM ya leo muharibu mambo halafu mpeleke lawama kwenye kaburi la mwalimu.
 
ecf836f66213b7088b8bbbe1ddc17e27.jpg
He was a visionary leader who loved his people. May Allah rest him in peace forever. Amen
 
Nimeipenda hii. Bila shaka wewe ni mwanahistoria mahiri. Hapo mwisho niongezee. Ukiwa na UHURU na kuheshimika UTU wako,ndipo unaweza ukaleta maendeleo yako na kwa Taifa! Mwl. Nyerere alikuwa sahihi. Hivyo,leo hatuna cha kutufanya tusiwe na maendeleo kwani huo msingi wa uhuru na utu wa mtu,watu,taifa ulishawekwa? Ukiona kiongozi wa leo anaminya uhuru wa mtu au watu fulani,ujue hana nia ya kuleta maendeleo ya kweli kwa watu wake!

Katiba ndiyo inawapa viongozi ubabe.

Tuseme ukweli tu.
 
He was a visionary leader who loved his people. May Allah rest him in peace forever. Amen

Allah wants us to enter into peace, submission, felicity while we are alive, not when we are dead.

When we die it's either hell or paradise. No more entering into peace.
 
Allah wants us to enter into peace, submission, ferocity while we are alive, not when we are dead.

When we die it's either hell or paradise. No more entering into peace.
You may be right. It depends on your belief!
 
Hata Mwl. Nyerere alishasema juu ya hilo kuwa yawezekana katiba ile ile ikapata "fundi" akaitumia visivyo.

Si katiba yake mwenyewe.

Ulikuwepo wakati wa presidential detentions?

Msome Mwijage.
 
Si katiba yake mwenyewe.

Ulikuwepo wakati wa presidential detentions?

Msome Mwijage.
Dada Faizy,mtu akitumia kisu kumchoma mwezie,tutalaumu kiwanda kilichotengeneza kisu? Unakumbuka issue ya "satanic verses"? Je ,Q....tuamini ni mbaya? La hasha!
 
Allah wants us to enter into peace, submission, felicity while we are alive, not when we are dead.

When we die it's either hell or paradise. No more entering into peace.

we unachuki binafsi na Nyerere...shame we kibibi !May Allah forgive you! predominantly you after so called mfumo (kivuli cha waliokimbia umande)...not real Nyerere issues...Wapeleke watoto shule,acha kuwashindisha madrasa mda wote km wewe ulivyokua mototo
 
Baada ya kusoma michango ya wengi humu nime realize kuwa Nyerere hana kosa lolote na sasa nnaanza kuamini kuwa Nyerere ni malaika kwenye umbo la binadam.
 
Nyerere alikuwa sawa,shida tumeipata baada ya kuwa against na Marekani na kuegemea Urusi. Nchi zote zilizokuwa upande wa Urusi ziliyumba baada ya Urusi kuanguka.
Wamerikani wanajua sana vita vya kiuchumi,hapa tumekosa mabilioni yao tumetetereka.
 
Nyerere alikuwa sawa,shida tumeipata baada ya kuwa against na Marekani na kuegemea Urusi. Nchi zote zilizokuwa upande wa Urusi ziliyumba baada ya Urusi kuanguka.

Ukiisoma vizuri post yangu namba moja hayo maoni yako yanadondokea kwenye swali langu la mwisho para ya mwisho au siyo?
 
Wengi wanao nisoma maswali niliyouliza kwenye post namba moja hawajanijibu hata moja, naomba kuyarudia labda hamjanisoma sawa:

1) ...Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au

2) tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

3)...kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni?

4) ...alikuwa hana muono?
 
Baada ya kusoma michango ya wengi humu nime realize kuwa Nyerere hana kosa lolote na sasa nnaanza kuamini kuwa Nyerere ni malaika kwenye umbo la binadam.
asante kwa kukubali ukweli bibi yetu,na ndio maana kanisa katoliki wanafanya mkakati awe mwenye heri!nimeenda nchi za kiafrica kadhaa,kitu cha kwanza nilichojitambulisha nacho ni kwamba natokea TZ ya Mwl. Nyerere in EA,every one was like oooh! OK....We know that wise man,he was brave man,very wise etc.Kua mpole na ukubali matokeo.
 
Kwani Nyerere aliposhindwa kuweka misingi walifuata walindwa nini kuiweka??
mkuu ukikosea kujenga msingi wa nyumba yako na imefika kwenye hatua ya kupauliwa na mpauwaji umempa bati mbao na misumari je unategemea atavunja kuta kuurekebisha msingi au atapiga bati namaisha yaendeleee!?
 
Angalia comments kabla hujatoa hoja, mwalimu aliacha nchi ikiheshimu utawala bora na ikithamini haki za binadamu.
CCM ya leo muharibu mambo halafu mpeleke lawama kwenye kaburi la mwalimu.
Mkuu umenena! Halafu point zingine kama kufa kwa miundombinu na viwanda si kosa la mwalimu, nia ktk vyote ilikuwa njema. Hawa wasomi aliowasomesha na kuwakabidhi kuviendesha. Wanajulikana, vyama vya ushirika wameviua, viwanda, treni nk eti lawama tumtwishe mzee, sio fair.
 
Hata Mwl. Nyerere alishasema juu ya hilo kuwa yawezekana katiba ile ile ikapata "fundi" akaitumia visivyo.
Hata sababu zinazotolewa kwanini Tanzania ilijumuisha Bill of rights mwaka 84, moja inayotolewa ni hofu ya Hayati kwa viongozi wajao badala yake.

Lakini kama utamfatilia vyema, hata baada ya vyama vingi, Nyerere bado alihitaji hiyo demokrasia ipanuliwe zaidi hata wagombea huru waruhusiwe. Zama zake walikuwepo pia. Huyu mzee alifiti mifumo yote, aliijua yote ila kwake ujamaa na kujitegemea ulikuwa bora zaidi. Na ni ukweli mtupu.
 
Si katiba yake mwenyewe.

Ulikuwepo wakati wa presidential detentions?

Msome Mwijage.
Detention na deportation ACTs zilikuwa sheria nzuri sana za kudili na wapinzani kuliko kuwafunga jela. Lazima tukumbuke nchi ilikuwa inapitia yapi ktk kuitekeleza falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea, sera ya Uhuru na udugu wa kiafrika nk, upinzani haukutakiwa hapo.
 
Safi sana, ndiyo maana falsafa hiyo ndiyo tunayo hadi leo.

Unazidi kuniaminisha kuwa Nyerere ni malaika kwenye ubo la binadam.

Eeeh bwana wewe ni kichwa cha ajabu, you are a genious.
 
Nyerere alikuwa sawa,shida tumeipata baada ya kuwa against na Marekani na kuegemea Urusi. Nchi zote zilizokuwa upande wa Urusi ziliyumba baada ya Urusi kuanguka.
Wamerikani wanajua sana vita vya kiuchumi,hapa tumekosa mabilioni yao tumetetereka.
Haya watu hawataki kuyasikia kabisa, ndo maana mi nilitaka wanitajie hayo makosa. Wamesha sahau kushushwa kwa zao la mkonge, kupuuzwa kwa kahawa yetu, na mengineyo. Wameshasahau, hatua kubwa iliyopigwa ktk nyanja ya viwanda, elimu, Huduma za maji,
Nyerere alikuwa sawa,shida tumeipata baada ya kuwa against na Marekani na kuegemea Urusi. Nchi zote zilizokuwa upande wa Urusi ziliyumba baada ya Urusi kuanguka.
Wamerikani wanajua sana vita vya kiuchumi,hapa tumekosa mabilioni yao tumetetereka.
Haya watu hawataki kuyasikia kabisa, ndo maana mi nilitaka wanitajie hayo makosa. Wamesha sahau kushushwa kwa zao la mkonge, kupuuzwa kwa kahawa yetu, na mengineyo.

Wameshasahau, hatua kubwa iliyopigwa ktk nyanja ya viwanda, elimu, Huduma za maji, vijiji vilivyopangiliwa, uimarishaji wa ushirika. Hata nyumbu hawaitaji, elimu ya watu wazima, vituo vya utafiti wa mazao nk, Nia ilikuwa njema sana.
 
Back
Top Bottom