Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Kajifunze kuandika Kiingereza ndio uje nikuelewe unamaanisha nini.

Huo ndio msingi uliowekwa na Nyerere. Hujuwi Kiingereza na nna uhakika hata Kiswahili hukijui.
Sasa nimeanza kuelewa kwa nini ulipata cheo cha @JF ban 1
 
Nyerere ndio msingi wa udikteta unaolisumbua taifa leo, hata lissu,CUF,wananchi wanaumia kwa kuwa Nyerere aliamua kuliachia Taifa Urithi wa Katiba ya kidikteta,in fact,aliwaacha watanzania katika shimo la simba,na sasa simba ana wala

Angekuwa na maono asingeliacha taifa katika hali hiyo,mapungufu makubwa sana
Kweli tupu hujabakisha chochote
 
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.

Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.

Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!

Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?
Hatuenzi madikteta duniani bali alitakiwa alaaniwe kwa udikteta wake
 
Hatuenzi madikteta duniani bali alitakiwa alaaniwe kwa udikteta wake

Nyerere angekua dikteta nchi hii wote tungekua mgambo na hakuna ambaye angeona shule

Nyerere ametawala nchi hii akiwa na mainjinia 9 na daktari 1 wananchi Mil 9 ni rais gani duniani aliweza km yeye ? Alitawala Tanzania nchi ilokua na viwanda duni na uhaba wa barabara Afrika Mashariki, alikua na viongozi ambao akiwepo yeye walikua hawajawahi kuongoza hata kijiji takriban viongozi wote ndio walikua wanajifunza kiongoza wakiwa kazini, Bibi Titi alikua waziri ilhali yeye ni mhitimu wa darasa la 3 ....!

Alijenga Tazara, Chuo Kikuu, Viwanda, Alikuza elimu kwa watu wazima, alitaka
Kila Mtanzania ajue kwamba Umaskini, Ujinga na Maradhi ni adui ... binaadam mafanikio yake huanza na taarifa ukiweza jua kupambana na umaskini kwa kujua ni jambo baya utafanikiwa... viongozi wetu wa leo wanataka kila mtanzania awe maskini ili aweze kununua kura yake, mafanikio ya nchi hii leo hii yameletwa na viongozi waliosoma kwa gharama za serikali ya awamu ya kwanza, yaani Nyerere aliandaa viongozi watakao kuja kuleta maendeleo ya kuonekana kwa macho ... maendeleo makubwa duniani huanza na elimu elimu elimu wakati chuo kikuu cha Dar kilipokua na wanafunzi ;3,000 kulikua na watanzania 7,000 waliokua wanasomeshwa nchi mbali mbali duniani maana yake nini, fedha nyingi za kigeni zilitumika kwenye elimu siyo barabara Nyerere angetaka sifa uchwara angeacha elimu aweke lami halafu sisi wananchi tuwe vibarua hadhi ya kimataifa kama walivyo Wanyasa... Rais Dr. Kamuzu Banda wa Malawi aliona fahari kuwa na mabarabara kuliko wasomi....!!!!!
 
Mh! kwani hiyo misingi mibovu ya Nyerere tulishindwa kuifukia na kuchimba mingine ...

1985 - 1961 = 24 Nyerere
2017 - 1985 = 32 Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magu ...

Huyu mzee mambo mengine tusimbebeshe alijitahidi kiasi chake ... basi tukifanya

32 - 24 = 8 ya kuchimba misingi mipya hali ya kua tunafukia ya zamani ...

Jamani CCM ni ileile na wana CCM ni walewale ... lets change!!!

Hata tuki apply lenear programming kwa labour performance ya CCM kwa learning effect itafikia mahali ongezeko la utendaji litafikia mahali linabaki kua constant ...

Bilieve me hakuna jipya we need changes jamani ...
 
ni upuuzi kumjadili mtu aliyetoka madarakani 1984 kuwa ndio sababu.kwa hyo miaka 33 mbele mmeshindwa kutatua matatizo yenu,angola na rwanda wametoka vitani recently nao walalamike?upuuzi kwenye ubora wake.stupid fish
 
Alichofanya mwalimu na ambacho ni miujiza huko duniani ni kuweza kuunganisha zaidi ya makabila 125 yenye lugha na tamaduni tofauti kuweza kuongea lugha moja na kuishi kama ndugu...popote penye maelewano kama hayo amani hustawi..hawa unaowatetea wewe leo wanabomoa umoja ule na amani ile kwa kisingizio cha kujenga uchumi...na uchumi unaostawi pasipo na umoja na amani ni uchumi wa vita wenye kujijenga kwenye damu na roho za watu..
 
Ha
Mh! kwani hiyo misingi mibovu ya Nyerere tulishindwa kuifukia na kuchimba mingine ...

1985 - 1961 = 24 Nyerere
2017 - 1985 = 32 Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magu ...

Huyu mzee mambo mengine tusimbebeshe alijitahidi kiasi chake ... basi tukifanya

32 - 24 = 8 ya kuchimba misingi mipya hali ya kua tunafukia ya zamani ...

Jamani CCM ni ileile na wana CCM ni walewale ... lets change!!!

Hata tuki apply lenear programming kwa labour performance ya CCM kwa learning effect itafikia mahali ongezeko la utendaji litafikia mahali linabaki kua constant ...

Bilieve me hakuna jipya we need changes jamani ...
Hajajitahidi chochote dikteta huyo kaachiwa nchi na wakoloni ikiwa nzuri kaiacha hohehahe
 
Hakuna alichounganisha usimpe sifa ambazo hana lini tulikuwa tumetengana kikabila?
 
Binafs huwa namuelewa nyerere kwa 10% tu nyingine huwa cimuelew
 
Hakuna alichounganisha usimpe sifa ambazo hana lini tulikuwa tumetengana kikabila?

Pole sana bwana mdogo. Najua bado unamaji miguuni. Ukiongezea na ugeni wa mwezi mmoja tu humu jamvini. Majibu yako tu yanaonyesha kipi kipo ndani ya cavarium yako.its brain placebo.
 
Wapi uliona kuna kulinganishwa?

Lazima Ulinganifu ufanyike ili kujadili hoja vizuri! Nani aliyewahi kuongoza akiwa na Uzoefu wa kutosha( Ambao Ndugu mtoa hoja unadai Nyerere alikosa) kutoka nchi yoyote ya kiafrika iliyopata Uhuru toka kwa Wakoloni?
 
hakua imara katika mfumo wa kisiasa ,mara communist mara ubepari na hakukua na democracy lazima utayumba.

Elimu yetu ilikua duni kiasi tukashindwa kuzalisha wasomi na wataalam.[/QUOTE
.

Ndugu ungemsoma Nyerere na kumfuatilia Ungemuelewa na ungejua ya kuwa alikuwa Imara katika kila jambo aliloliamini
 
Naam dada FaizaFoxy , mbona hutaki kuwa mkweli ndugu yangu?, Tanganyika ilikuwa tofauti sana na Kenya, Uganda na hata Zanzibar, Zanzibar ilikuwa ni nchi iliyokamilika kwa maana kila kitu kilikuwa kwenye mstari

Nyerere aliikuta Tanganyika iko hovyo na mgawanyiko usio wazi wa Kikanda, Kikabila, Kielimu, nk. Kwa kweli alikiwa na vitu vingi vya kufanya na kugusa, Tanganyika imepata uhuru huku kuna baadhi ya watu wanatembea uchi, wakati Zanzibar haikuwa hivyo
So Nyerere kama Binadamu hawezi kukosa mapungufu, lakini mapungufu yake ni machache na sioa fatal kama mazuri yake

Nakuunga Mkono Ndugu Kituko.
Nyerere hakuwa Malaika,alifanya makosa kama kiongozi,kama jinsi viongozi waliofuatia baada yake,walifanya makosa pia na kama vile viongozi wote ulimwenguni wanavyolaumiwa kwa kushindwa kufanya hili na lile.
 
Back
Top Bottom