Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Nyerere ndio msingi wa udikteta unaolisumbua taifa leo, hata lissu,CUF,wananchi wanaumia kwa kuwa Nyerere aliamua kuliachia Taifa Urithi wa Katiba ya kidikteta,in fact,aliwaacha watanzania katika shimo la simba,na sasa simba ana walaNchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Wewe ni wa 1001Si mchezo. Dada FaizaFoxy , nayaheshimu mawazo yako. Ndiyo maana nimekuwa mchangiaji wa 1000 wa mada yako.
FaizaFoxy, mwache Mw. apumzike, mkiona alifanya makosa sahihisha, msonge mbeleNchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Ndio maana nimekuwa nikiwaambia washabiki wa serikali tatu kuwa likipitishwa hilo tu inabidi tujiulize Nyerere tunamuenzi kwa kipi maana Ujamaa na Kujitegemea tulishaupungia mkono siku hizi tunajivunia misaada na ubepari. Ndio maana tunaona vyama vinavyoahidi mabadiliko vikipokea rundo la pesa toka Ujerumani za kuendesha shughuli zake. Nyerere alihamasisha vyama viendeshwe na michango ya wanachama.
Umoja wa kitaifa ndio kilichobaki ambacho kwa kuleta serikali tatu tunakuwa tumeshauvunja rasmi umoja huo.
Uongozi kwa maslahi ya Umma siku hizi unaonekana ni ushamba na ujinga, uongozi siku hizi ni kwa maslahi binafsi hata wagombea Urais wanaweka vigezo kuwa wahakikishiwe pesa iwapo watashindwa uchaguzi la sivyo hawashiriki!
Je, legacy gani ya Nyerere itabaki?
Kumbe hata enzi za JK kila kukicha ilikuwa bora ya jana???? hii post ya 2013 say it all.😛😛 watanzania washasahau hili kweli siku hazigandi na kulalamika ni party and parcel ya maisha yetu.....kazi ipo😀He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?
And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?
Anza kusahihisha wewe maana naona tayari umeyaainisha.Bila kukubali na kuliainisha hilo kosa utalirekebisha vipi?
Nyerere hakuwa na manpower kama tuliyonayo leo, kiasi kwmb the most learned individual kama Profesa leo unaweza ukamtoa uwaziri na akakaa pembeni. Kipindi hicho ilikuwa haiwezekani. Nadani kipindi hicho Form Four aliyekuwa anafanya kazi Benki Kuu akiiba, inabdi umtoe tu Benki Kuu halafu umpeleke tena Shinyanga ili akawe Mkuu wa Mkoa, ukimfukuza moja kwa moja wewe unapata hasara kubwa zaidi kuliko yule uliyemfukuza. Hayo ndiyo mazingira aliyofanya nayo kazi Mwalimu. Nadhani kipindi hicho Profesa anayefanya makosa ilibidi tu ahamishiwe Ikulu ili awe karibu zaidi na Mwalimu na aweze kuwa monitored vizuri akiwa anafanya kazi Ikulu, lakini siyo kufukuzwa kazi. Leo una wasomi wamejaa hadi una ujasiiri wa kumfukuza hata Profesa? Jaribu kulinganisha situtaion hizi mbili. Mwalimu alifanya kazi nzito na katika mazingira magumu mno!Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
pumbavu huo ni mtazamo wa kiliberali na nyinyi ndo mlishiriki kuliua azimio!Hilo ni kosa kubwa sana kati ya makosa yaliyowahi kufanywa na kiongozi wa nchi. Usilitaje wala usilikumbushe.
Ni miaka mingi sasa nikiwa naipuuzia hii hoja yako.Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Hoja nzuri sana hii,
Kimsingi siasa yetu imebadilika. Siasa za siku hizi zinahitaji kiongozi kuinvest kwenye kupendwa na watu.
Mwanasiasa wa leo can not afford too many enemies, anatakiwa kujenga kundi la "marafiki". Hapo ndipo mambo yanapoharibika, kwa sababu kwenye urafiki kuna "kuvumiliana" na kuoneana aibu. Nakumbuka Nyerere alisema mtu akienda Ikulu inabidi awaambie marafiki zake kuwa Ikulu ni mahala patakatifu, that is not practical today kwa sababu bila kuwa na hao marafiki watakaompigania hata Ikulu mtu hawezi kuiwaza. Kuwageuka marafiki hao baada ya kuingia Ikulu is a political suicide.
Nyerere hakuhitaji "kambi" ndani ya chama ili aendelee kuwa kiongozi ili ashinde uchaguzi. Siku hizi bila kuwa na "kambi" mgombea haambulii kitu.
Vilevile viongozi siasa wa leo wanapatwa na changamoto zaidi ya maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
Kwahiyo si sahihi viongozi hawa kuwafananisha kwa kutumia jedwali. By the way, kifalsafa hawa wote ni viongozi wa mfumo uleule. Mfumo wetu wa uongozi tangu Uhuru kimsingi haujabadilika.
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe.
Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kambarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?
Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?
Tujadili.
Salama Bibi!?Wapi uliona kuna kulinganishwa?