Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Ni vigumu kumpata nyerere mwingne
Mungu ailaze mahali pema pepon mtakatifu nyerere
Tujitaidi kuwalea watoto wetu ktk misingi ile ya kiutu, kufanya hivyo tu ndo kuwarithisha maisha bora na kheri peponi kama patakuwepo. Watu wanadhani uchumi ndo jambo kuu ktk familia na jamii, si kweli, UPENDO na FURAHA ndo kila kitu, wako wapi akina Gadaff na Libya yake bana. UPENDO ndo Mungu, let it leads the way, kiuchumi, siasa, jamii, tamaduni nk yote yafanyike kwa UPENDO. Nyerere the great aliishi hivyo.
 
Wachangiaji wengi wanatoa taswira nzuri, wanazijua KWELI kamwe si wakuburuzwa. Hapa nazidi kupata picha, wapo watanzania nje ya dini zao, kabila zao, kanda zao, uzanzibar na ubara wao,mivyama yao, nk. WAO NI WATANZANIA KWA DHATI YA MIOYO YAO. TENA ZAIDI YA YOTE, WAO NI WAAFRIKA WEUSI, WANAJITAMBUA NA KUJITHAMINI, kifikra, kiakili na kivyovyote vile. Mungu mrehemu hayati wetu, ibariki Afrika.
 
hivi faiza wewe ni mmoja wa wale mabikira 72?

Mbona kidogo sana hao mabikira?

Wale manowaita masista (nun) siyo mabikira wale?

Halafu huwa nnawaona wote wana pete za ndoa,wameolewa na nani anaependa mabikira? Wote wale hushangai?
 
Kujadili mambo yaliyofanywa Na MTU ambaye hayupo lwo ni sawa Na kujadili jinsi ya kuirekebisha nyumban iliyokwisha anguka.

we should think about future of the Nation and not a died person
 
Kujadili mambo yaliyofanywa Na MTU ambaye hayupo ilo ni sawa Na kujadili jinsi ya kuirekebisha nyumban iliyokwisha anguka.

we should think about future of the Nation and not a died person
 
Mbona kidogo sana hao mabikira?

Wale manowaita masista (nun) siyo mabikira wale?

Halafu huwa nnawaona wote wana pete za ndoa,wameolewa na nani anaependa mabikira? Wote wale hushangai?
Kanisa
 
Mkuu unayajua mashitaka aliyoyatoa Lucifer kwa Sir God? Kuanzia hapo utamjua baba wa demokrasia, vyama vingi, haki za binadamu, Uhuru mbalimbali, nk. Hapo ni kisiasa tu, ila ina mazao yake hata kiuchumi, eg free trade nk. Shikamoo shetani, you are so greetoo.

Nimekusogeza kdogo kwenye katafakari katakako kusogeza karibu na kuzijua KWELI nyingi. Tafakari.
So the devil is Great!! Bila shaka wewe pia unaunga mkono Nyerere kuwa mtakatifu right!?
Mifumo yoote ya kiutawala iliyopo Duniani sio ya ki Mungu, kuanzia tawala za kifalme, Kidicteta na hata tawala za kidemokrasia. Na kama unatafuta excuse ya kumlinda mtakatifu wako yuo just know kuwa hakua na afadhali zaidi ya wengine.
 
Nina swali mojantu kwako bibi yangu Faiza Foxy hivi ccm imeshindwa kurekebisha makosa ya nyerere mpaka leo...? mfano kama Nyerere alipendelea upande fulani yaani mpaka leo ccm mnashindwa kulirekebisha kweli? Kama ni mfumo je haufumuliwi kweli? Kama ni elimu upande fulani ulinyimwa..haiwezekani kirekebisha kweli? Kama haiwezekani basi Nyerere hakua tatizo bali Ccm hii !!!
Good
 
Tanzania toka tupate uhuru hadi leo hatujapata Rais anaemfikia hata nusu ya Kikwete kwa ubora.
Dada Faizy, nakubali ni bora,ila siyo katika mambo yote! Binafsi nilimpenda sana katika mambo mawili. 1 Ustaarabu 2. Kumwamini mtumishi wa umma aliyemteua. Mengine utajazia. Baya japo siyo sana,kuruhusu Mawaziri kuwa Wajumbe wa Bunge maalumu la Kutunga Katiba mpya. Hawa ndo chanzo cha kuvuruga mchakato,waliingia kutetea maslahi ya serikali iliyohitaji kukosolewa ili kujenga mambo mapya!
 
Mbona kidogo sana hao mabikira?

Wale manowaita masista (nun) siyo mabikira wale?

Halafu huwa nnawaona wote wana pete za ndoa,wameolewa na nani anaependa mabikira? Wote wale hushangai?
Leo unechemka... kwanza hakuna bikra pale pili zile pete ni rozari zichunguze vizuri utakuta zina msaraba.. na sanamu ya issah bin mariam...au YESU KRITU mtoa majini na mapepo...
 
Na hilo ndo pungufu lake kubwa, halafu liko kwa waislamu wote. Mtume hakuwa hivyo kabisaaa, ktk moja ya mafundisho yake amewasisitiza ktk baadhi ya mambo wakibishana wawafuate Wakristu wakawabainishie, mfano mambo ya "nyakati na vipindi",. Hawa wa leo sijui hata wamerogwa, hawaelewi lolote.

Nadhani hata elimu zao haziko huru, mi nimejifunza imani na madhehebu mengi ya Kikristu, eg sabato na mashaidi. Ukianza mafunzo nao, we kana vyote kuwa si sahihi, uwepo wa Mungu, Biblia, YESU nk wao ni kukuthibitishia kiaje ni ukweli. Nadhani uislamu hawana hii silabasi ni kukariri tu, vilaza sana, hawako huru.
Aliwabeba sana hawa watu. Alitaifisha shule za makanisa ili wapate elimu lakini hilo hawalioni na wala hawataki kuliona. Tenda wema nenda zako! Rest in peace mwalimu!
 
So the devil is Great!! Bila shaka wewe pia unaunga mkono Nyerere kuwa mtakatifu right!?
Mifumo yoote ya kiutawala iliyopo Duniani sio ya ki Mungu, kuanzia tawala za kifalme, Kidicteta na hata tawala za kidemokrasia. Na kama unatafuta excuse ya kumlinda mtakatifu wako yuo just know kuwa hakua na afadhali zaidi ya wengine.
Hivi wanao home unawapa full demokrasia na Uhuru? Hii ni kanuni ya ASILI ya utawala, mtawaliwa afuate ya mtawala.
 
Aliwabeba sana hawa watu. Alitaifisha shule za makanisa ili wapate elimu lakini hilo hawalioni na wala hawataki kuliona. Tenda wema nenda zako! Rest in peace mwalimu!
Hawa jamaa wana laana ya kulalamika na kujiona hawafai, inawaumiza sana. Nadhani hii dini ilibuniwa ili wajinyanyue na kujiona hawafai
 
Hivi wanao home unawapa full demokrasia na Uhuru? Hii ni kanuni ya ASILI ya utawala, mtawaliwa afuate ya mtawala.
Aisee!! unashangaza sana. kwani kukiwa na demokrasia na uhuru ndio kunakua hakuna sheria na katiba? Nyumbani kwangu kuna sheria, taratibu na katiba. Na kila mtu anafuata hizo sheria kwa mfano mimi siwezi kutoa adhabu kupitiliza au kumpiga yeyote bila kosa, na siwezi kulala nje ya nyumba bila maelezao yanayo ingia akilini.
 
So the devil is Great!! Bila shaka wewe pia unaunga mkono Nyerere kuwa mtakatifu right!?
Mifumo yoote ya kiutawala iliyopo Duniani sio ya ki Mungu, kuanzia tawala za kifalme, Kidicteta na hata tawala za kidemokrasia. Na kama unatafuta excuse ya kumlinda mtakatifu wako yuo just know kuwa hakua na afadhali zaidi ya wengine.
Halafu tumeshawaomba mtuorodheshee makosa aliyoyatenda Nyerere, yatajeni hata ya utotoni hadi hospitali alikofia. Yatajeni hapa, inawezekana wengine hatuyajui. Pia inawezekana nanyi kwa kuyokuelewa kwenu vyema ama kukaririshwa na wapinzani wa ule utawala pasi kusumbua kichwa mnayahubiri. TUTAJIENI, YEYOTE AYAJUAYE AYATAJE.
 
Aisee!! unashangaza sana. kwani kukiwa na demokrasia na uhuru ndio kunakua hakuna sheria na katiba? Nyumbani kwangu kuna sheria, taratibu na katiba. Na kila mtu anafuata hizo sheria kwa mfano mimi siwezi kutoa adhabu kupitiliza au kumpiga yeyote bila kosa, na siwezi kulala nje ya nyumba bila maelezao yanayo ingia akilini.
Hukunielewa kabisa, nadhani ni ktk post zote. Hivi unajua unapomkosoa Nyerere kwa mfumo wa kiutawala, unajua mnakijua mnachokimaanisha? Ujamaa ni mfumo mbaya na ubepari ni mfumo bora, ndo mnachosema kama hamjui.

Sasa hiyo mifumo mnaijua vyema yote? Ujamaa na uchumi, kisiasa, utawala, kijamii, sera za ardhi ktk ujamaa, shule nk. Pia ubepari na uchumi siasa utawala, kijamii ardhi, elimu nk. Mkishaijua vyema ndo unapata nafasi nzuri ya kukosoa.

Kuhusu lile nililo husisha na utawala wa Mungu, nia yangu ni kukuonesha tu kuwa hii muitayo demokrasia na Uhuru wa aina mbalimbali ni zao la Lucifer. Ndiye mpigania haki za viumbe wa kwanza, ndiye mwanzilishi wa mfumo wa vyama vingi na kutaka utawala uwe na vikomo. Je alifanya vyema, kwahiyo nyuma ya pazia nilitaka ujue waasisi haya mambo huwa na nayo.

Hivi nchi za magharibi zinawapenda sana? Kwanini hufadhili vyama vya kisiasa wala si kuleta madawa bure hospitali?
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Mkuu wenye maono ni wewe, Sizonje na Bashite. Chuki zako kwa Mwalimu Julius Nyerere, zinakufumba macho kuto kuona yanayoendelea sasa, kupotea kwa Ben, kutekwa kwa msanii wa muziki na wenzake, kuwekwa kwa viongozi madarakani wenye veti vya kufoji. Wewe kila kukicha ni Mwalimu Nyerere. Mzee wawatu ameisha kufa, hivi ki bibi kwenye dini yako hakuna kipengele cha kuheshimu binadamu waliotangulia mbele ya haki. Basi subiri na wewe mwenyezi Mungu akikuchukua uende ukampe hizo lawama zako huenda atakupa majibu huko. Ingekuwa jambo la msingi mijadala uielekeze kwa hawa wanaoongoza leo kwa sababu wapo majibu wataweza kutoa. Mjibu kwa marehemu huwezi kuyapata because dead men don't talk.
 
Back
Top Bottom