Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

madini yanayotoroshwa, tembo wanaokufa, unga unaoharibu nguvu kazi, bora ufe ufe!
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Stupid,,,, yani nilitamani kupita kimya kimya ila uzalendo umenishinda. Kauze maandazi achana na siasa
 
Watu kama hawa niwakupuuza tu,kama maisha magumu tembea uchi utapata msaada wa Nguo na utajulikana sana..
Anaewatuma keshaomba msamaha na sasa ni mwanachama kama wengine kama ulitegemea akupe promo kajipange upya...

jamaa anajaribu kupima upepo.
 
Dr.W.Slaa,

Tumsamehe bure,anavurugwa na mengi sana,akifikiria namna ambavyo ameisalit kazi ya mungu kwa maslahi ya kazi za dunia,kisha mungu akamuadhibu kwa kumnyima hiyo kazi ya dunia anachanganyikwa sana,

YAANI KWA UFUPI,SLAA AMEKOSA KOTE KOTE,DUNIAN NA AKHERA,SLAA IS JUST A LOOSER...

Magamba aka chama cha panya, ukweli Dr. Slaa Amewashika pabaya sana hata Hata Mkiwa na wake zenu chumbani himpati hamu stress zitawaua wengi kabla ya 2015...
 
Last edited by a moderator:
Hajakumbatiwa anatafuta atoke vipi,watu wanatafuta umaarufu kupitia chadema,hawezi kuhamia ccm mpaka apate umaarufu wa kijinga kama huu...

Keshashtukiwa huyu..Hata CCM haiwezi kumchukua mtu mwenye mbinu za kishamba hivi..

Masalia asiye na aibu.
 
Wenzako wanakula kiende tumboni wewe unakula kiende kichwani utasubiri sana na utakufa miguu juu kwa kutumia akili za Panya...
 
Dr.Mo ,

Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!

Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute

Hapo ndipo huwa nakukubali,jeshi la mtu mmoja,umeweza kuwasambaratisha masalia kwa umoja wao,buku 7 fc wanaitana wote kukushambulia bt wanabaki uchi,sasa ni zamu ya kubwa lao,cku 9 c nyingi.ONYO:Mwombe sana Mungu wako,usiache kuombea pia panya waishio nyumbani kwako!
 
Last edited by a moderator:
Attention seeker.....!

Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.

Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua

Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara

Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade

Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa

Grow up!

bahati yake simfahamu! Nashindwa kuelewa kwanini mnachelewa kuwachukulia hatua wapu..bavu kama huyu bweg.
 
Et kweli anataka kuwa chadema kwa watu jamii ya Nyakarungu? Mtu kama wewe nani anakujua katika Chadema, mimi nimekujua juzi au jana ulipotoa tangazo lako. Chadema sasa mnatakiwa mjue ai wadudu kama wewe, ina watu wasomi, maskini na tajiri, watu maarufu na wasiojulikana wote au ni wale wenye uchungu na nchi yao na sio wachumia tumbo mnaolamba miguu ya Nchemba na Nape na muuaji wa tembo zetu.
Kwani wewe umewekeza nini chadema na husiweze kuondoka kwa amani mpaka sijui utafutwe kuuawa? Nani anakujua mpaka akuue. Viongozi wa Chadema wako sasa wanafikiria jinsi ya kuimarisha chama siyo kuwaza mtu kama Nyakarugu[

QUOTE=Ulukolokwitanga;7951691]Katika vitu vinavyomuaibisha Zitto Ni pamoja na kushirikiana na vitoto kama hivi. Halafu mtu aliyekosa upeo wa kujua hivi vitoto havijabalehe anataka kuwa mwenyekiti wa CDM. Kweli majanga, najiuliza Zitto akikaa Meza moja na hivi vitoto wanaongea nini? Au ndio Muua Panya baada ya kutengwa kila upande kwa usaliti anaona heri ajifariji kwa uswahiba na hivi vitoto. Aibu kweli kwa Zitto.[/QUOTE]
 
Keshashtukiwa huyu..Hata CCM haiwezi kumchukua mtu mwenye mbinu za kishamba hivi..

Masalia asiye na aibu.
Akawaulize Shoza na Mwampamba hata ujumbe wa mtaa hawajapata zaidi ya ukapuya,tena lile moja dobi la Mwigulu...
 
Hivi watu kama hawa CHADEMA mmewakumbatia wa kazi kazi!!? mbona vyama vipo vingi sana! mwanasiasa ambae kashindwa kuheshimu itifaki ya chama chake tu akikabidhiwa uongozi wa umma si itakuwa vurugu!?? Fukuza takataka zote hizi bakiza wapiganaji hata kama ni wachache but waliokuwa dedicated ktoka moyoni.

Asante kwa ushauri makini Comrade..!!
 
1476323_507404189357984_1960299843_n.jpg
 
Huyu mnafiki alikuwa anafanya siasa zake za kitapeli kwa kauli mbiu ya kihuni..Eti Washa Taa mchana!!

CHADEMA kinapinga matumizi mabaya ya fedha za umma kupitia kisingizio cha mbio za Mwenge,Yeye anawasha taa ya kandili mchana.Kuiga falsafa za wanafalsafa wa Ugiriki bila substance ni tatizo
 
Acheni kumshambulia mwenzenu kwa kumtukana wakati nyie wenyewe ni vibaraka tu na hamna mbele wala nyuma

Nyie vibaraka wenye njaa za kipimbi ni lazima tuwachane ukweli hadi akili ziwarudie, bosi wenu Zitto yupo analialia na kutoa kamasi ili chama kimsamehe lakin nyie vijibwa na vikaragosi vyake ndo mnajifanya mnajua kwa siasa zenu za kinyang'au.
 
mdudu anaye itwa majungu anakitafuna chadema tara tiibu,
 
Alivyokutwa na Mwigulu New Africa Hotel analeta visingizio kwa kuwa unafiki wake umeshakua exposed

Usishangae kukuta huko polisi kaitwa kwa kesi nyingine akaamua kujificha hapo kwa uongo kama bosi wao

Mwigulu mwenyewe alishakiri hili bt akayeyusha kuwa huombwa msaada wa ushauri na vijana wengi tu!
 
Hapo ndipo huwa nakukubali,jeshi la mtu mmoja,umeweza kuwasambaratisha masalia kwa umoja wao,buku 7 fc wanaitana wote kukushambulia bt wanabaki uchi,sasa ni zamu ya kubwa lao,cku 9 c nyingi.ONYO:Mwombe sana Mungu wako,usiache kuombea pia panya waishio nyumbani kwako!
Magwangala,

Shukrani sana sana.Namtanguliza Mwenyezi Mungu.Tuko pamoja Kamanda!Tutashinda.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom