Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,321
- 7,392
Nimefuatilia comment za wenzangu nimegundua huyu jamaa ni bonge la mshamba Ngoja nitimke
Koplo wapi,uyo alikuwa private anatumwa vitumbua,chapati uku suruali limepauka,viatu vinasoli tatu tofauti...Una matatizo sana Chris Lukosi, samahani ulipokuwa PoliCCM uliondoka ukiwa kwenye Rank gani? usikute ulikuwa Koplo. Jamani wadau tunabishana na Koplo humu! aliyekuwa analinda viongozi!
Yaani waliyompa LIKE ndiyo walewale
FaizaFoxy, makusanya, THE BIG SHOW and 4 others like this.
MSALANI, god with us, Pompiduu Sengiyumva, rosat
Mbio za sakafuni hizi! ule waraka si ulituambi wazi wazi kwamba chama kina matumizi mabaya ya fedha! babu anachukua tu kwenda kulipia mahari mta weza kukosoa vipi huku nje wakate ya kwenu yamewashindaCHADEMA kinapinga matumizi mabaya ya fedha za umma kupitia kisingizio cha mbio za Mwenge,Yeye anawasha taa ya kandili mchana.Kuiga falsafa za wanafalsafa wa Ugiriki bila substance ni tatizo
CCM hawapati usingizi kwa CDM
Huyu mnafiki alikuwa anafanya siasa zake za kitapeli kwa kauli mbiu ya kihuni..Eti Washa Taa mchana!!
Aende ufukweni akaone bahari inavyotema taka ndio ajue chadema haifugi mizoga...jamaa anajaribu kupima upepo.
Nyakarungu amekosa njia ya kujulikana anaona hii ndio njia sahihi naamini kwa jina la Mungu aliye hai alfa na omega utashindwa mchana kweupe na zitto atawaacha njia panda aither naye baada ya ku-fail km njia ni haram au kurudi kundini kama njia anayotumia ni halali
Mbowe atazaa na wengi ! tena ulivo mkali hivi, kama avtar yako ndio halisi, kati ya mbowe au babu wata maliza biashara !Box la Pandora limefungulia hatimaye kila mpuuzi kwenye hii timu ya usaliti anatoka kwa namna yake naamini kila moja atajiainisha kwa namna yake na madudu yake damu ya wote waliopotea kwenye mapambano inawaandama sasa wanakurupuka tu. Hii ni laana
Aende ufukweni akaone bahari inavyotema taka ndio ajue chadema haifugi mizoga...
Washaa taa ndiyo nimeisikia Leo strategy zingine ni utumboutumbo tu sababu ya bange... hatajina Nyakarungu kwetu linamaana ya Ugoro au kwa kikerewe INA maana ya makalio ya mbwa jike.
Mtu mzima kama wewe unapowaandama wanasiasa individuals daily badala ya kuandama chama chao ................. ptuuuuuuuuuuuuuuu!
JF balaa unaezaingia umenuna ukatoka unacheka.... hatajina Nyakarungu kwetu linamaana ya Ugoro au kwa kikerewe INA maana ya makalio ya mbwa jike.
mdudu anaye itwa majungu anakitafuna chadema tara tiibu,
Ahsante Kamanda kwa kutoa doze ka hawa wahafidhina.
Dr Slaa na Mbowe mnapaswa kujua kanuni hii ya tatu ya mwendo isemayo "kila katika kitendo kuna sawa yake na kinyume chake" yote mnayoyatenda maovu dhidi ya binadamu wenzenu hamtokufa ila mpaka na nyinyi mpitie machungu kama hayo. Na ikiwa hayatokupateni nyinyi tambueni mna watoto akina Linus, Junior n.k. Fuatilieni historia ya duniani ya visasi ndio mtaelewa nasema nini.