Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

...acheni kudanganya wu wasio na uwezo wa ufikiri,kwamba eti kwa kuchagua CDM chama cha maungu na fitna maisha yatakuwa rahsi?
Kwa hiyo unatushauri nini dada, turidhike na hali iliyopo?
 
naona tuishie hapa mkuu, naisi umenielewa vizuri tuu, ukabila na ukanda hakuna bali ni mbinu tu za kurudisha nyuma harakati za chadema, but tunataka chama ndio kiseme sio mtu kama ilivyokuwa nyuma.... ZZK anamakosa mengi tu ilabinadamu kukubali makosa ni tabu sanaaaa

kutumiwa anatumiwa na ushaidi hupo, tamaa anayo sana n.k .. akitulia ni kiongozi mzuri sana, mbowe na slaa pia wanamakosa mengi tu

asante piga kazi sasa
quote_icon.png
By frema120
una miaka mingapi? Jaribu kutanzama familia yako utaifanyia nini then taifa, slaa na mbowe wamewekeza kwa muda sana ta wewe uanaharakati wako ujaanza alaf unaleta utani watakupoteza na hakuna atakaye kusaidia.


usikimbie kivuli cha post yako mkuu!

kupotezana huku unakozungumzia ni kama kule kuliko mpata mkuu C . W?!nakubal ''uwekezaji'' wa mbowe na slaa kwa hayo yote..(japo naamini sio wao pekee wanaowekeza!,kina ''nyakarungu'' milioni nyingi tu tanzania hii wamewekeza chadema!
kinachoanza onekana kwenye hizi sarakasi mlizoanza juzi ni ''kubaguana kwa wazi'' na ''kuzibana midomo'' kwa nguvu,bila kuzingatia uhuru na utofauti wa mitazamo,hisia na mawazo ya kila ili kufikia malengo ya chama!
ni kama kuna ''wenye haki zaidid kuliko wengine'' miongoni mwenu!

sasa sisi wa msimamo wa kati ambao tulianza kuvutiwa na nyie tunaona hizi filamu na hatuishi kujiuliza maswali magumu......kwa mfano; ''hivi ni kweli kuna hoja ya ukabila na ''ukanda' nini!??''.au ''hivi ni kweli tunalazimika,na huku pia,kuamini na kutekeleza tu tunayoshushiwa bila kuyahoji!?......vitu kama hivyo mkuu,wala havihitaji jazba na ushabiki!


WAPI NIMEKOSEA
kwenye
​
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety
Hizi comment ni adimu sana ....tuwe tunazikumbuka
 
Mabavicha yanatenguana viuno kitambo tu aisee.
 
Back
Top Bottom