Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

KWAHIYO UBRIGEDIA WAKO kumbe ni WA MAGUMASHI? kujipa majina mazito mkijua hamna lolote ! Poor Nyakarungu !
 
Attention seeker.....!

Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.

Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua

Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara

Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade

Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa

Grow up!

Hii mtu ina akili ndogo sana
 
Kaka hakuna kucheka nao make wameonekana siyo watu wakileta ujinga waletee upumbavu kwa nini uhuru wa kuongea ukosekane wewe umetoa tamko kama anaona baya kwa nini asiende kutoa la kwake akipinge kwa hoja kuliko kukutishia maisha.

Walizoea sana kutisha watu lakini kaeni mkijua kizazi cha leo siyo cha kutisha hata kidogo lazima uwazi na ukweli kwenye vyama uwepo wala siyo nguvu tena.

kwa mara ya kwanza nimpependa comment yako.ila sina iwezo wa kukupa like kwa simu hii mchina!
 
mpotezeeni huyu MWe..hu... she/he is too low
 
Ben mwenyewe alitoka kisiasa na kujipatia umaarufu jf' kupitia kuwachafua viongozi wake ila amekuwa salama kwakuwa kamtukana mtu asie na kinyongo ila kwa Slaa na Mbowe hawa wananuka wanadamu za watu.
Nasikia makao makuu pale chadema hana kazi yoyote zaidi ya kufuatilia habari za watu hasa zito bahati nzuri zito kaaga kwao tusingekuwa naye sasa chadema inakufa sijui ataishi vipi huyu kijana kazoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi.
 
duh bado mimi sasa kusema nimechukua RB.nahisi ndio njia nyepes ya kupata umaarufu.poor politics
 
Dr.Mo ,

Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!

Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute
Ni kweli mku ben sanane....inaonekana kama utoto na ujinga...katibu mkuu wa chama hawezi kuacha majukumu yake mazito na kuanza kuhangaika na watu kama hawa...wanatafuta umaarufu kwa njia rahisi...kwa kufanya siasa za kitoto....siasa ni sayansi...watu wengine hufikiri kukaa kuonge jukwani, kutunga uzushi kama huu na kuwa maarufu basi wanaiweza siasa....lakini nashukuru watanzania wamebadilika jamii kubwa ya watu inawaona hawa ni WASALITI wenye njaa ...walioshidwa kuvumilia UMASKINI wetu
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

wewe ni nani CHADEMA. naona unapiga miluzi sana.
 
Katika vitu vinavyomuaibisha Zitto Ni pamoja na kushirikiana na vitoto kama hivi. Halafu mtu aliyekosa upeo wa kujua hivi vitoto havijabalehe anataka kuwa mwenyekiti wa CDM. Kweli majanga, najiuliza Zitto akikaa Meza moja na hivi vitoto wanaongea nini? Au ndio Muua Panya baada ya kutengwa kila upande kwa usaliti anaona heri ajifariji kwa uswahiba na hivi vitoto. Aibu kweli kwa Zitto.
 
KWAHIYO UBRIGEDIA WAKO kumbe ni WA MAGUMASHI? kujipa majina mazito mkijua hamna lolote ! Poor Nyakarungu !
hata mi nimeshangaa kidogo,bregedia kitu angefanya angehakikisha anazo physical address za matoplayer wote wa cdm,hasa wale big 10,nakuhakikisha kuwa hitman anakua standby mda wote kucarryout a mission just in case.
 
great thinkers siku hizi kama mnachezewa huyu nyakarungu ni kati ya wale masalia kwa wasiyomfahamu
 
Alivyokutwa na Mwigulu New Africa Hotel analeta visingizio kwa kuwa unafiki wake umeshakua exposed
Usishangae kukuta huko polisi kaitwa kwa kesi nyingine akaamua kujificha hapo kwa uongo kama bosi wao
I have very good info about Zitto, from my very reliable source. Zitto is double faces, I will never ever like him, namsubiri next time nikionana nae nimpe live.
 
Unamuonea.Yaani anakurupuka na kujipa title tu

Hana tofauti na akina
Idi Amin walijitungia
title kishamba.Eti

"His Excellency,
President for Life, Field
Marshal Al Hadji Doctor Idi
Amin Dada, VC, DSO, MC,
Lord of All the Beasts of the
Earth and Fishes of the Seas
and Conqueror of the British
Empire in Africa in General
and Uganda in Particular"
Kwa kifupi ni kama Dr Slaa tu
 
Nasikia makao makuu pale chadema hana kazi yoyote zaidi ya kufuatilia habari za watu hasa zito bahati nzuri zito kaaga kwao tusingekuwa naye sasa chadema inakufa sijui ataishi vipi huyu kijana kazoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi.

Ben anaweza kuishi maisha yake tatizo ni pale anapokubali kuwa kondomu. Na siasa yetu ya bongo ni kijinga sana kwakuwa ukimtukana mtu mwenye heshima katika jamii ndio mtoko wenyewe huo.
 
Back
Top Bottom