Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Mbowe atazaa na wengi ! tena ulivo mkali hivi, kama avtar yako ndio halisi, kati ya mbowe au babu wata maliza biashara !
Mbona unahamanika mtoto....haujiamini?
Mbowe atazaa na wengi ! tena ulivo mkali hivi, kama avtar yako ndio halisi, kati ya mbowe au babu wata maliza biashara !
Attention seeker.....!
Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.
Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua
Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara
Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade
Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa
Grow up!
Mbio za sakafuni hizi! ule waraka si ulituambi wazi wazi kwamba chama kina matumizi mabaya ya fedha! babu anachukua tu kwenda kulipia mahari mta weza kukosoa vipi huku nje wakate ya kwenu yamewashinda
Iyo condom itakuwa Shoza,mwampamba na Lumumba buku7 FC.,.Umepotea sana kamanda wangu. Please usikubali kuwa condom ndugu ni aibu na utaidhalilisha elimu yako bure.
Naomba nijue details zako kamili halafu ndio tubishaneUna matatizo sana Chris Lukosi, samahani ulipokuwa PoliCCM uliondoka ukiwa kwenye Rank gani? usikute ulikuwa Koplo. Jamani wadau tunabishana na Koplo humu! aliyekuwa analinda viongozi!
Anatafuta bwana uyo mkatie visa amfate Kapuya akamkapuye...Mbona unahamanika mtoto....haujiamini?
Mbowe atazaa na wengi ! tena ulivo mkali hivi, kama avtar yako ndio halisi, kati ya mbowe au babu wata maliza biashara !
Sema kingine, HIVI UMESOMA ULE UPUUZI WA NYAKARUNGU ALIOULETA HUMU JANA ? HATA KILE CHAMA KIBOVU KABISA ( AMBACHO KILA MJUMBE WA NEC ANA PRICE TAG MGONGONI ) CCM, HAKIWEZI KUVUMILIA UJINGA KAMA HUO , NEXT TIME HOJA ZA SISIMIZI KAMA HUYO USIWAHUSISHE MBOWE NA SLAA , HAO NI WATU WAKUBWA MNO.
Anatafuta bwana uyo mkatie visa amfate Kapuya akamkapuye...
Unatafuta mwanachama teh teh teh,hakuna alie na tabia kama zako,usijetuletea kesi humu we ni chizi...Naomba nijue details zako kamili halafu ndio tubishane
Kweli mpuuzi ni mpuuzi tuThis is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
You are such an asssDr Slaa ni janga la taifa.
Hata Idd Amin alianza hivi hivi....
Pole sana maana huyo dada amekuumiza vibaya kwa hoja,Jadili kama msomi
Iyo condom itakuwa Shoza,mwampamba na Lumumba buku7 FC.,.
Kiongozi wa juu wa chama yupo too local(waraka). Slaa anatumia pesa za ruzuku ya chama kuspendi na demu wake josephine(waraka).