heti brigedia! Tatizo vijana wana ndoto za haraka sana wakati uwezo zero, huyu nae anatafuta umaharufu mpaka anajipeleka polisi, Brigedia?
Dr Slaa ni janga la taifa.
Hata Idd Amin alianza hivi hivi....
Hajakumbatiwa anatafuta atoke vipi,watu wanatafuta umaarufu kupitia chadema,hawezi kuhamia ccm mpaka apate umaarufu wa kijinga kama huu...Hivi watu kama hawa CHADEMA mmewakumbatia wa kazi kazi!!? mbona vyama vipo vingi sana! mwanasiasa ambae kashindwa kuheshimu itifaki ya chama chake tu akikabidhiwa uongozi wa umma si itakuwa vurugu!?? Fukuza takataka zote hizi bakiza wapiganaji hata kama ni wachache but waliokuwa dedicated ktoka moyoni.
Attention seeker.....!
Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.
Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua
Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara
Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade
Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa
Grow up!
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Kufuatilia habari za watu kama hizi hapa? Maana wakati anadanganya kwenye stori hii nilikua nae pale Rombo Green View Hotel ambako waandishi wa habari hii walikuja pale tukakaa siku 3 kabla ya story hii haijachongwa.Sasa aje hapa awaeleze watu kama kweli yeye ni daktari.Soma hapa Sababu ya kutokuendelea : Daktari atishiwa kuuawa - wavuti.com
Daktari aliyeandika ripoti ya mauaji yaliyotokea Tarime, atishiwa kuuawa
Daktari aliyesimamia uchunguzi wa miili ya watu wanne kati ya watano waliouawa na Polisi Mei 16, mwaka huu akiziwakilisha familia za wafiwa amedai kwamba ametumiwa ujumbe wa maandishi kwa simu kwamba atauawa.
Daktari huyo, Grayson Nyakarungu wa Mwanza alisimamia uchunguzi wa miili ya Chacha Ngoka, Emmanuel Magige, Bhoke Chawali na Mwikwabe Mwita katyika uchunguzi uliofanyika Mei 23, mwaka huu.
Alisema kwamba alipokea ujumbe wa simu mara mbili kwa nyakati tofauti Mei 26, mwaka huu akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam uliojaa vitisho.
Alidai kwamba moja wa ujumbe huo unaosomeka, Hizo ripoti siyo za kisiasa, acha kujiingiza kichwa kichwa utajutia, Tundu Lissu ndiye anakutumia ili yeye apate umaarufu, usipokoma kwa onyo hili, tutakushughulikia, subiri mahakamani ukatoe ushahidi, usidanganywe...
Dk. Nyakarungu alisema mara baada ya kupokea ujumbe huo, alipiga simu katika namba hiyo na kupokewa na mwanamke aliyedai kuwa yuko Mwanza ambaye hakutaka kujitambulisha. Alidai kwamba mara baada ya kukata simu hiyo, alipokea ujumbe mwingine uliosema:
Hata ukitutambua utafanya nini, narudia mara ya mwisho, hizo ripoti haziwahusu wanahabari, funga domo lako.
Dk Nyakarungu alisema kwamba ametoa taarifa juu ya matukio hayo katika Kituo cha Polisi, Oystebay, Dar es Salaam na kufunguliwa jalada namba OB/RB/9214/11.
Hata hivyo, alisema licha ya vitisho hivyo hataogopa kwa kuwa alitumwa na familia na amelazimika kuwapa taarifa zote zilizojitokeza. Alisema inaelekea kuwa aliyetuma ujumbe huo amekuwa akimfuatilia kwa kuwa ametuma ujumbe huo katika namba zake mbili tofauti za simu.
Attention seeker.....!
Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.
Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua
Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara
Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade
Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa
Grow up!
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Watu kama hawa mkuu vitasa kila siku kutoka kwa mkewe,zuzu,ndondocha ndani ya familia inaelekea anaishi kwa bahati mbaya...Unafikiri utumbo unaandika utumbo ndiyo maana hata mkeo anakudharau......
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,
Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.
only for my safety
Lini unakutana na waandishi wa habari ujulikane zaidi...This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Pengine anahisi kuwa baada ya Zitto biashara yake imekwisha na matumaini hana tena.Analia km lonely dog pengine CCM wamuone ana kitu cha kusema na kumchukua ili wamtembeze njiani km yule wa acid na vilema wa kifikra km mwampamba
Hutu Nyakarungu ni ---- tu, ni mtu mwenye njaa kali sana ni hybreed ya fake pastors.
Ni mmoja wa waliokuwa wakilipwa an Zitto ili kuvuruga chama. Njaa ni mbaya sana.