Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Alivyokutwa na Mwigulu New Africa Hotel analeta visingizio kwa kuwa unafiki wake umeshakua exposed

Usishangae kukuta huko polisi kaitwa kwa kesi nyingine akaamua kujificha hapo kwa uongo kama bosi wao

Bosi wao Zitto?
 
Last edited by a moderator:
Huyu polisi wasipomhoji kuhusu Ubrigedia wake ,,,,nitawashangaa sana maana ametangaza za kuwa yeye ndio mkuu wa jeshi la waasi.....Polisi wanatakiwa kujiridhisha kuhusiana na kikosi hicho cha waasi ndani ya Taifa letu.na kinakataza wapi silaha na hayo mafunzo kayapata wapi mpaka level ya Brigedia ...
 
Machadema wakati mwingine mnakera sana! Sasa kama ametishiwa kweli kuuliwa, mnataka asiripoti polisi ili amalizwe kirahisi?

'Muungwani haumwi na nyoka kwenye shimo moja mara mbili'
 
Kuna mijitu mijinga Duniani? Kwa taarifa yako ningekujua kwako moro ningekuja nikutukane tu lofa wewe
 
nyie vilaza tu mnakesha mitandaoni kuwapumbaza mabwana zenu wajione wanapendwa kumbe munawapeleka kuzimu.wala hamna habari ya kinachoendelea mikoani.ninyi kwenu tanzania ni arusha tu,endeleeni kujipumbaza mwishowe mutathibitisha ujinga wenu.

Unachekesha kuita wengine vilaza wakati matumizi ya herufi kubwa na ndogo katika uandishi wako kwenye sentensi chache tu za kiswahili huwezi.Hebu tupishe maana huwezi kujadiliana kwa maandishi
 
Rupia in action tutasikia mengi kutoka kwa njaa kali na ukifuatilia utakuta wameingiziwa tujihela kwa account zao kuleta sintofahamu, good thing hawawajui wanaowatumikia na kama unabisha muulize Tambwe Hizza na yule Ibrahimu Msabaha wako wapi?
 
Hivi watu kama hawa CHADEMA mmewakumbatia wa kazi kazi!!? mbona vyama vipo vingi sana! mwanasiasa ambae kashindwa kuheshimu itifaki ya chama chake tu akikabidhiwa uongozi wa umma si itakuwa vurugu!?? Fukuza takataka zote hizi bakiza wapiganaji hata kama ni wachache but waliokuwa dedicated ktoka moyoni.
 
Dr Slaa ni janga la taifa.

Hata Idd Amin alianza hivi hivi....

Nadhani wewe ni mshabiki wa hisia tu! Janga wanalolipata Chadema ni kuwashabikia vijana ambao bado kukomaa katika fikira na maadili. Wamepata bahati mbaya ya kupendwa na vijana ambao are easily infatuated with what is happening around them, making them believe that they can free the poor man from the chains and pawns of the monster (the ruling party). The only problem that CDM faces now is to contain this irate youths who the CCM have already identified and enticed-and as usual they are now being infatuated with what CCM appears to give! Woe to those of your like who do not wish to see the problem and address the problem, for by being blind to what is happening with these youths (include Kabwe if you wish- for he is still like a teenage - all the time wanting to be this and that- and do not get shocked if Kabwe should one of these days crave for being a Sheikh or a Priest- whatever that comes to his dreams!) and the aftermaths of this beautiful country! Woe to you! Chris- what do you see out of these? Health politics! Health Economy? Do you in these squabbles a pinch of the political debates of the country in which you have spent so many of your years? And you wish to see us doomed while you are peacefully basking yourself in the backyards shackles of your British Masters Home! Aibu Kwako.

Sitegemei mtu uliyewahi kuonja raha za siasa pevu za nchi kama Uingereza uwe na ushabiki wa kitoto namna hii. Nakulaani tena!
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Nani ahangaike na wewe mt u mdogo kama wewe kwenye Chama??? ZITTO mwenyewe na mamluki wake walianza kuharibu Chama kwa muda mrefu na hakuna aliyehangaika naye alikuwa anategeshewa haswa!!! Sasa wewe hata cheo huna unalialia kitu gani?? Wanakutumia hamia huko kabisa!!! Wachumia tumbo utawaona mchana kweupe!! Tangu utoe hiyo press release ya kinyigu ni nani amekuuliza!!! Mtatapatapa wengi sana!!! Ondokeni misaliti yote ndani ya chama muone kama CDM itakufa!!! CDM si mtu au watu!!! CDM ni watanzania wenye mapenzi mema na hii nchi!!!! Take it easy!!!
 
Nyakarungu to be honest,nani anakujua wewe? Nakiri kusema wazi mimi ndio nimekusikia juzi tu! Sasa sidhani hata unajulikana kihivyo hebu tafuta shamba ukalime!
 
Usije ukanitapikia bure kwa hamaki zako na mapovu yako ben. Hajawahi kuwa hai au ni hai hilo halinihusu kinachonifanya niguswe ni usalama wake kuwa hatarini. Mwigamba si mlimpiga matofali sasa mtashindwaje kwahuyu? Sumu, mawe,risasi, kuwategeshea wenzenu ajali za barabarani n.k. Hayo mmeyafanya nyie ebo! Nyie mmeishiwa na utu kabisa.

Tulia dogo. Huu ni muda wa safisha virusi cdm. Hatucheki na nyani. Mwambie akafungue RB hata 200 lakini katika hili hatoki! Tunafukuza tu
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Brigedia acha uoga
 
Mkuu hata wao wanajua na ndio maana kwenye mipango nyeti PM-7 walikua hawashirikishwi sana na hata hapa kwenye waraka mwingine kumekua na MM,M1,M2 na M3 tu.Ila wanaweza kuwatumia kwenye mipango haramu kama hii tu

Ubinafsi ndo sera yenu ya ndani na ndio muisimamiayo,

Kwakuwa ni dhambi ya kula nyama ya mtu hamuweziiacha ninyi chandema,

Watanzania hawatairudia tena dhambi na imani ya kukuaminini.
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Polisi sasa imefika wakati watumie busara. Itafika mahali, wenye shida za kweli watakosa nafasi za kupata huduma toka kwa jeshi la polisi kama wataendekeza kufungua mpaka kesi za machizi!
 
Huyu polisi wasipomhoji kuhusu Ubrigedia wake ,,,,nitawashangaa sana maana ametangaza za kuwa yeye ndio mkuu wa jeshi la waasi.....Polisi wanatakiwa kujiridhisha kuhusiana na kikosi hicho cha waasi ndani ya Taifa letu.na kinakataza wapi silaha na hayo mafunzo kayapata wapi mpaka level ya Brigedia ...

Polisi wangekua na weledi wa kutosha wangehoji hili
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Nyakarungu jinsia yako ni IPI mbona unabana pua kama siyo riziki???
 
mbona watu mnatafuta umaarufu kwa nguvu, jamani njaa ni kitu kibaya ....!!!!
 
Machadema wakati mwingine mnakera sana! Sasa kama ametishiwa kweli kuuliwa, mnataka asiripoti polisi ili amalizwe kirahisi?

'Muungwani haumwi na nyoka kwenye shimo moja mara mbili'

Tigo Yale inawasha
 
So far nawapongeza Moderators na wachangiaji wa uzi huu kwa kuendelea kuachia uzi huu tumuonyeshe cha mtemakuni huyu mnafiki ili tukomeshe kabisa siasa za vijana wanaopenda kutumika ovyo!
 
Back
Top Bottom