Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

You are such a coward......! Sijui unafanya nini kwenye siasa
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe!! Kama Mimi mtanzania mchovu kabisa sikufahamu zaidi ya kukusoma huku JF kuwa Ni kijana usiye na wazazi unayeishi mjini kiujanja ujanja kwenye siasa za kuhongwa vihela vya Kula, Dr Slaa atakufahamia wapi wewe sisimizi. Unatafuta attention baada ya kugundua tamko lako la kipuuzi hakuna aliyelitilia maanani. Kama wewe ni mfuasi wa mtu nani atajihusisha na wewe mbwa wakati mwenye mbwa kapewa siku 14
 
Unatafuta umaarufu kaka,unaweza kututhibitishia vp kuwa slaa kaagiza ushughulikiwe? Wewe ni mchumia tumbo kupitia mradi wa ZITTO na WASSIRA
 
Attention seeker.....!

Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.

Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua

Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara

Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade

Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa

Grow up!
Ben mbona umehamaki ulikuwa miongoni nini.
 
hii sasa imekua ni deal....ni njia rahisi ya kutafuta popularity....mnafanya muonekane kama VICHAA sasa hata kama mlikua na point....this is too much sasa...hata zito mnamfanya aonkane alikua akishirikiana na watu HAMNAZO(if at all alikua anashirikiana na vilaza kama wewe)......its too much

Dr.Mo ,

Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!

Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute
 
Last edited by a moderator:
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Wewe ni sawa na matapishi, uliletwa CDM kwa kazi maalum. Umeona jinsi walivyomuumbua Zitto na Katila, ushajua siku zako zinahesabika. Big chicken n no body has time for your BS
 
Attention seeker.....!

Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.

Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua

Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara

Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade

Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa

Grow up!

Hata wewe mtembea na sumu si tunawajua mabosi wako pia.
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety
Kinga ni bora kuliko tiba umefanya sahihi mtu akifa harudi tena karipoti mpaka usalama wa taifa wajue kuwa slaa kaagiza vijana wake wakushughulikie.
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Pole sana mkuu japokuwa uhai wako pia wa kisiasa upo hatarini.
 
Wewe ni sawa na matapishi, uliletwa CDM kwa kazi maalum. Umeona jinsi walivyomuumbua Zitto na Katila, ushajua siku zako zinahesabika. Big chicken n no body has time for your BS

Alivyokutwa na Mwigulu New Africa Hotel analeta visingizio kwa kuwa unafiki wake umeshakua exposed

Usishangae kukuta huko polisi kaitwa kwa kesi nyingine akaamua kujificha hapo kwa uongo kama bosi wao
 
MTOA MADA UMEISHIA LA NGAPI? Hata nafasi ya MEMKWA ina maana ulikosa?
 
G. Nyakarungu = NJAA KALI hivi unajua unadhihaki jeshi kujiita Brigedia umepewa u brigedia na nani?
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

police ili iweje mungu anamipangio yake siku ikfiika mungu akikupenda huna jinsi lazima akuchukue hofu ya nini nyerere alifia uingereza penye kila aina ya utaalam.....
labda kama una pesa za kuchezea
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Mkuu mbona kama vile wang'oa meno nilisikia walitajwa na gazeti moja lililofungiwa, au kuna wengine?
 
Back
Top Bottom