No matter how sweet it is......

Uyo naomi ni mfupi 😄 isijekuwa ni yule naomi wangu
 
Sasa huoni hapo yeye ndio alikuwa jini mnyonya maendelea yako ta nyota umemuacha tu na kazi umepata mkuu shukuru Mungu jinamizi lililokupenda limeondoka kwa maisha yako

ah kudadeki
 
Kwa hiyo G ndio sio wa kwangu tena?
Vaa hivyo viatu hafafu machozi yanamdondoka mtu....hiyo picha itakutoka?
Lols G ndo nani tena kaka mzuri?
Ukiangalia machozii utapotea sana....
Kwanza muda huo hupaswi kuangalia machoni. Wewe unaangalia chini tu maana ukimuangalia utaahirisha
 
😅😅😅 Dah nimecheka sana kwenye mauongo ,kukutana na mavimpire unyama unyama kama siyo kukaza wangekutoa roho
 
natamani ningekuwa na Wewe Naomi muda huu nikununulie raba nyeupe na jersey ya Yanga kama nilivokuahidi maana sahivi Mambo yangu yamenyooka .

inapain ila sina jinsi .
Mkuu mnunulie tu umpelekee hata kama siyo manzi wako-anadeserve
 
Uncle kasepa, mwaka ungali mbichi kabisa 😎.
 
Asee haya mambo yapo na yanaumizaa. Ila ukiwa single mda mrefu Kuna time unamiss moments za kutoa chozi tena kwaajili ya mapenzi looh. Huyo nlitoka kwe mbavu zake sjui Yuko api kwani
 
Asee haya mambo yapo na yanaumizaa. Ila ukiwa single mda mrefu Kuna time unamiss moments za kutoa chozi tena kwaajili ya mapenzi looh. Huyo nlitoka kwe mbavu zake sjui Yuko api kwani
Unataka kusemaje binti?
Umemiss nini jamani hebu sema neno😁
 
umekuwa mkweli kwa kukiri uwongo wako.Hii comment imenichekesha hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…