Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?
Hakuna wenye hoja Wala mwenye uwezo wa kufanya analysis ya kimkakati.

Analysis zao Huwa wanafanya Kwa ego,chuki,dini,rangi,asili,region ,gender and such other nonsense.

Tuliwaambia leta namba tulinganishe watakimbia.

Ndio hasara Sasa ya kuwa na jamii iliyojaa mbumbumbu wengi.
 
..Salum Mwalimu anamzidi Samia Suluhu.

..Salum anajiamini, ana uelewa mpana, na anaweza kujenga hoja, na kushawishi kuliko Samia Suluhu.

..Samia Suluhu bila mapesa,msaada wa watumishi wa serikali, na matumizi ya vyombo vya dola, ni mwanasiasa mwepesi kupita kiasi.
Angekuwa hajiamini angeongoza vipi Nchi Mzee,au unadhani kujiamini ni kutoa sauti kubwa? 🤣🤣
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?
Mh. Steven Wassira.
 
Rubbish
 
Lucas Mwashambwa
 
Mtu anaye weza kuongoza hii tanzania kumzidi samia wapo wengi sana kwa sababu yeye mwenyew atadumu hapo milele hii siyo serikali inayo ongozwa na mfalme au malkia

Mm nitamchagua lissu kwa sababu zifuatazo .
1.msimamo wa lissu ni dhabiti mfano kweny mambo mengi hapa nchini lissu amepigani kwa nguvu na damu.

2.uwazi kwa wananchi wako kuongozi kama lissu yupo wazi kuelezea mambo kwa wananchi kwa sababu ww ndio mwakilishi wao .

3.mpigania haki za watu wote tuneona viongozi wengi wa sasa wamekuwa wakiona swala la watu ambao hawajulikani wanateka haki ni sawa .na wamekuwa sehemu ya kulibariki hilo jambo kwa kukaa kimya "kusema huo ni muhimili mwingine"

3. Kupata tanganyika yetu. Kwa sasa hatuna serekali ya tanganyika bali tuna zanzibar na tanzania .sasa ile tanganyika iliyo undaa tanzania ipo wap? 1960S

4.mchakato huru na haki wa uchaguzi na katiba kwa ujumla . Kumbuka hiyo sheria ikipitishwa itakuwa inakipa kila chama nafasi ya kushinda na haitakuwa inampa rais mamlaka kweny kila jambo kufanya uwamuzi wa moja kwa moja .

Kwa nin lissu vs rais samia
1.Lissu ana elimu kubwa kuliko rais samia jambo ambalo linampa uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo mengi

2.lissu anauwezo wakujenga hoja kumzidi rais samia .mfano kwa tanzania hap tungekuwa tunamfumo kama ule wawenzetu wa kuaanda midahalo na wagombea urais kuojiwa nadhani uwezo weke ungeonekana

Kama utakuwa na swali hapo utauliza nikujibu.!
 
JESHI LISHIKE DOLA KWA MUDA ILI KULIONOA TAIFA.

Hakuna tena Mwanasiasa wala Mfumo wa kisiasa unaofaa tena kuliweka sawa Taifa hili hasa Tanganyika kwa sababu kuna genge la wahuni lililoshika siasa ,serikali ,bunge na mahakama lakni pia limeshika Uchumi na rasilimali za nchi ziko kwenye mikono yao huku wakitumia baadhi ya taaisisi za kijamii kama dini na michezo kujiimarisha na kuonekana ni watu wema ili kulinda maslahi yao.

Jeshi lishike nchi ili lifute ufisadi wa kakundi kadogo kwa watu kupora mali za umma.
Jeshi lifute utitiri wa vyama vinavyotumia pesa za umma kwa maslahi ya watu wachache.
Jeshi liikarishe Muungano unaotetereka kila siku kwa sababu ya maslahi binafsi ya wanasiasa kujali familia zao . Muungano umekua ni wa familia za watu na wa kidini zaidi kuliko wa kiuchumi na kitaifa .

Jeshi lishike nchi kwa muda ili kuimarisha amani kutokana na ukweli kwamba ndani ya CCM kwa sasa kuna magaidi na mawakala wa kupokea pesa za magaidi kutoka nje hasa Uarabuni na kwa Wasomali.

Jeshi lishike nchi kwa Muda kwa sababu ndani ya CCM na serikali yake kuna wageni wengi wanaotumia siasa kujitajirisha na kuwa ni mawakala na vibaraka wa nchi wanakotoka na wengi ni majasiri kuliko wazawa jambo linalopoteza uzalendo.

Jeshi lishike nchi kwa Muda ili kurejesha uzalendo wa kweli wa kulinda rasilimali za watu .

JESHI lishike nchi ili kuleta usawa katika mgawanyo wa rasilmali za nchi . Jeshi lishike nchi ili kuondoa mfumo wa polisi na baadhi ya vyombo vingine kama mahakama na Bunge kuwa ni nyenzo ya wanasiasa kupata umaarufu kwa kuwaumiza wananchi kwa maslahi ya mafisadi .

Jeshi lishike nchi kwa miaka hata mitano mpaka 2030 ili fedha nyingi zinazotukiwa na wanasiasa na watwala wa kiraia wenye uroho ,hofu na ubinafsi zitumike kuleta maendeleo kwa haraka .

JESHI Lishike nchi kwa muda ili kuondoa kabisa mizizi ya udini unaotokana na nguvu mamlaka ya rais kuweza kutumia dini kama nyenzo ya kuficha maovu yake na udhaifu wake kwa kutumia kodi za watanzania huku akiligawa taifa . Nchi ikivurugika hawa mawakala wa udini na wanasiasa raia watakimbilia nje kuishi huko kwa sababu wanaiba na kuficha mali zao nje na kutumia dini kama vichaka vya kujionyesha ni watu wema huku wakishindwa kusimamia katiba na hata maadili ya dini zao wenyewe . Kwa maana kwamba wanaendeshwa na kuendesha nchi kwa matamanio yao wenyewe.

Jeshi lishike nchi ili kujenga uwajibikaji kwa watanzania ambao wanaishi kisanii sanii wakati nchi ina rasilimali nyingi .

JESHI LISHIKE NCHI ILI KUWABAINI MAJIZI YALIYOJIFICHA KWENYE VYAMA VYA SIASA NA SERIKALI.

Jeshi lishike nchi ili kuondoa viashiria vyote vya ukabila na migogoro ya ardhi na uhalifu,uporaji ,mauaji ,utekaji nchi iwe salama salmini .
 
Wanaofaa wapo wengi... Ila kwa wote wanaogombea mwaka huu hakuna anayefaa!
Sema wahuni wanataka madhaifu wao SSH ili wapore kirahisi!
Kwa mfano nani wewe binafsi unaona anafaa kuwa Rais Mkuu haijalishi chama ila unaona anasifa zote za kuwa Rais nani?
 
Huu ulipaswa kuwa Uzi unaojutegemea
 
Mkuu unaamini jeshi likishika nchi mambo yatakuwa mazuri zaidi hapa sio?

Umefafanua vizuri Mkuu Ok General gani wakijeshi au jeshi lipi sasa la kushika nchi na kufanya hayo uliyo yafafanua?
 
Huu ulipaswa kuwa Uzi unaojutegemea
Mkuu unaamini jeshi likishika nchi mambo yatakuwa mazuri zaidi hapa sio?

Of course jamaa kafafanua vizuri Ok General gani wakijeshi au jeshi lipi sasa la kushika nchi na kufanya hayo aliyo yafafanua Mkuu?
 
Kwa maana hiyo Mkuu wananchi msilalamike basi kama mnapenda yeyote yule awe Rais hata kama hana sifa za kuwa Rais.
Mimi nalalamika na kulaumu mifumo inayoweka watu wasio na sifa Wala uwezo mfano huyo Samia sijui alitokea wapi yule mama mpaka kuwa rais,je hatukuwa na watu walioandaliwa Ili ikitokea kama ilivyotokea basi tujue kimekufa chuma kinawekwa chuma
 
Back
Top Bottom