Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Wekeni mazingira sawa ya uchaguzi mtapata majibu nani anafaa.

Acheni kuteka na kupoteza wapinzani, acheni kuwabambikia kesi wapinzani wa kweli, acheni kuiba kura mtapata majibu sahihi.

Hapa ni kama mshichana wa rika balehe unajichekeshachekesha ili hali mnajua uhuni mnaofanya.
Unaenda Mbali Sana Mkuu.

Swali ni nani unaona anafaa kuwa Rais wa JMT na kwanini yeye?
 
Akitaka ule utabiri wa Sheikh yahya utimie basi amwachie Lissu kisha aweke tume huru aone watu wakichukua nchi asubuhi na mapema.
Kwahiyo Mkuu wewe unaona Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT? kwanini ana Quality zipi?
 
Well hivyo unaamini hata akiwa Rais ataendelea kuwa hivyo hivyo au Kuna sifa zingine anazo haujazisema Mkuu?

Cuz me binafsi naona hiyo sifa moja uliyo isema bado hajatimiza zile Quality za kuwa president.
ni bora x40 ya huyu wa sass
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Ki busara ccm yote kwa ujumla ilipaswa kupumzika.
 
Ashuke tumwage oil.

Kuuziana mbuzi kwa gunia amna.


HATOGOMBEA
 
Hakuna zaidi ya samia kwa sasa.Toka kachukua nchi mambo yameenda na maisha yameenda.Maisha yetu ni muhimu sana kuliko vyeo vya watu ambao hatuwajui vizuri.Haitakiwi ifike mahali tuanze kusema bora angekua fulani kwasababu ya siasa za ovyo za vyama.
 
Soma ulichokiandika kama kuna sehemu umesema kwa walio ccm tu
"Kwani samia alikuwa na sifa zipi kabla ya kuwa rais zaidi ya kuwa mwana ccm"

👆 Umeona hoja yako ndiyo Mimi nakuuliza kama Samia alikuwa hana sifa zaidi ya kuwa mwana CCM. Je TAL ana sifa zipi za kuwa Rais au nayeye hana sifa bali anahitajika tu kuwa Mwana CCM ili awe Rais kama Samia?

Naomba hoja kwanini awe Lissu na sio mwingine?
 
Hakuna zaidi ya samia kwa sasa.Toka kachukua nchi mambo yameenda na maisha yameenda.Maisha yetu ni muhimu sana kuliko vyeo vya watu ambao hatuwajui vizuri.Haitakiwi ifike mahali tuanze kusema bora angekua fulani kwasababu ya siasa za ovyo za vyama.
Well Kwa maana hiyo Watanzania wapunguze/waache kelele.
 
And then what next Mkuu.

Tupe hoja baada ya hapo nani atafaa kuwa Rais wa JMT na kwanini yeye?
Utajuaje nani anafaa wakati hapajawa na room iliyo sahihi isiyo na mawaa ya kuwafanya wananchi tuwaone wanaofaa kuwania nafasi ya urais
 
Back
Top Bottom