Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Kumzidi kwa lipi?

Kama ni ukuu wa nchi ya Tanzania, hakuna anaemzidi.
Ni kweli hakuna anayemzidi. Wa kwanza kupata kura nyingi, wa kwanza kuaminiwa na wakopeshaji wa Kimataifa imf na wb kukopeshwa hela nyingi zaidi ya wenzake kw muda mfupi, ongezea mengine!
 
Back
Top Bottom