Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Jeshi hua ndicho chombo kinachoinusuru nchi isiingie kwenye machafuko ya kisiasa ,kijamii na hata kiuchumi.

Vita vya kikabila ,kidini na kisiasa hua zinasababishwa na serikali kupitia vyombo vya dola.

Mafano : Kongo wakati wa mabutu Jeshi lilikua na nafasi nzuri ya kumtoa Mabutu na kunusuru nchi na wengi wakapona kuliko kumlinda mtu mmoja .
Mnaweza mkaacha mtu mmoja mkidhani ni kiongozi kumbe ameshachanganyikiwa au amepaniki kutkana na akili yake kufubaa. Watawala Wengene wanatumia sana vilevi na kuingia ofisni wakiwa na hang over.

Wengine wa hasira ya kukosolewa sio hasira ya kupambana na ufisadi kama tuliye naye Tanzania.Sasa watu kama hao ni rahisi kutoa mwanya kwa wapambe wake kutumia risasi kuwaua wanaompinga ili kumfurahisha matokeo yake damu zinaibua hasira za watu kidogo kidogo.
Jeshi likiwahi linaokoa hali ya mkwamo wa kisiasa na kunusuru nchi kuingia kwenye machafuko.

Mfano tu Tanzania kwa sasa ni wazi kabisa kuwa Samia anatumia nguvu kubwa sana kuutaka urais na hatuekewi anataka kulinda maslahi ya nani hasa maana maslahi ya nchi hayalindi ,usalama wa watu halindi yeye zaidi watu wanapotezwa na watu ambao hata yeye hawajui ikiwa na maana ameshindwa kutoa maelekezo ya kukomesha mauaji na utekaji .

Lakini pia ni wazi kuwa Samia anaona wazi kuwa kuna mpasuko unajitokeza wa kidini lakini yeye kama vile anauchochea ili kupandisha hasira upande mmoja na kufurahisha upande wa pili .
Yaani ni kama vile anaandaa upande mmoja wa dini kupambana na upande ule unaompinga .
Yaani kwa hali ya kisiasa ilivyokaa ni kichekesho na kucheza na amani ya nchi kwa Rais kuita viongozi wote wa dini moja nchi nzima na kutumia jukwaa hilo kutoa matamko ya kulaani dini nyingine au kutumia jukwaa hilo kujibu matamko ya kisiasa.
Yaani Samia alitakiwa kama mkuu wa nchi ajitenge kabisa na masuala ya kidini kwa kuitisha kama Rais .
Ndio maana ukifuatilia mitandaoni utagundua kuwa kuna dini moja inajiandaa kumlinda rais kuliko hata vyombo vya dola .
Sasa hii ni hatari sana.
Mfano Makanisa yamefungwa na mapadri wanapigwa na wachungaji wanatekwa lakini hayafungwi kwa sababu ya kuukashifu au kuutukana Uislam bali kwa sababu ya kukeme utekaji na mauaji yanahusishwa na siasa . Sasa cha ajabu wanaojitokeza kuwatukana kwa wazi na kuwatisha hao viongozi wa makanisa ni Mashehe na baadhi ya waumini wa Kiislam. Tena kwa hisia kkoli kuwa amani itapotea mkiendelea kukosoa na kukemea wizi wa kura,ufisadi na mauaji . Na Sasa kwa hali hiyo unaona wazi kuwa nyuma yao kuna watu wakubwa inawatumia kujinufaisha.
Haki haina dini wala kabila lakini kwa sasa haki imekua ni jambo la kidini kwa babu tu serikali haitaki litumike wakati huu wa uchaguzi cha ajabu kuna dini inaunga mkono kuwa haki iwepo na doni nyingine kupinga suala la haki kwa sababu tu ya kuwa tayari kupambana na yeyote asiyemuunga mkono rais.
Sasa kwa hali kama hiyo bila Jeshi kuingilia kati na kushika dola kwa Muda nchi itaingia kwenye machafuko au mauaji makubwa yanayofanywa na dola ikishirikiana na wapambe ,machawa na wale wanaofadhiliwa kupambania serikali ndani ya dini.

Kule zimbabwe Mugabe alipumzishwa kwa manufaa ya nchi maana alikua hajui hata anachofanya .

Kusubiri eti uchaguzi ufanyike ni kuliangamiza taifa. Uchaguzi gani wa rushwa , uongo , lakni ukiojaa hisia za kidini tena kwa wazi kabisa .
Mkuu as I Say unafafanua vyema lakini ni jeshi lipi la kufanya hayo ?
 
Mkuu as I Say unafafanua vyema lakini ni jeshi lipi la kufanya hayo ?a

JESHI NI HILI HILI .
UNADHANI KWA MFANO MWEZI WA KUMI PAKAITUSHWA MAANDAMANO MAKUBWA YAKWA YANAONGOZWA NA VIONGOZI WA DINI WANAOODHALILISHWA NA WAUMINI WAO KUPOTEZWA HUKU RASILIMALI ZA UMMA ZIKWA ZINAPORWA .Unategemea jeshi la wananchi wanaweza wakawapiga Maaskofu kwa sababu ya kulinda mafisadi.
Kama atauawa basi atakua ni mmoja tu tena mziki wake utakua ni mkubwa sana .
Haiwezekani eti Mtu mmoja ndio anaamua tu kuvunja katiba ya nchi ,ya chama,sheria za fedha na manunuzi ,sheria ya uchaguzi,matumizi ya rushwa kwenye uchaguzi na hata miiko ya uongozi kwa kujipendelea kwenye biashara na tenda za serikali na kuuza rasilimali za umma halafu eti watanzania wote mil.65 waufyate mkia wananchi waumie kwa sababu tu watu wanaogopa Jeshi lao wenyewe linalolipwa kwa kodi za wananchi wote .
 
Perhaps Mkuu but am not sure if they can do it.
 
Katika uchaguzi huru na haki tz mpaka sasa sioni mgombea wa kunishinda ,hapa naongea mimi kama mimi sijataja magwiji wa siasa kama lissu n.k
 
Katika uchaguzi huru na haki tz mpaka sasa sioni mgombea wa kunishinda ,hapa naongea mimi kama mimi sijataja magwiji wa siasa kama lissu n.k
Mkuu inatakiwa useme na sifa zako sio kusema tu Mimi au fulani.

Naomba sifa zako Mkuu kwanini wewe una quality zipi za kuwa president?
 
Perhaps Mkuu but am not sure if they can do it.
Hakuna mwanajeshwi anayeshika bunduki na kuua raia . Haijawahi kutokea katika nchi za kidemokrasia .
Siku ukiona nchi yoyote wanajeshi wanaua raia basi nchi hiyo inagawanyika vipande vipande na haitatawalika tena . Lakini polisi wanapotumiwa na watawala dhalimu kuua raia basi siku zote jeshi huingilia kati na kuzuia mauaji makubwa ya halaiki kwa manufaa ya umma .

Polisi ni wazalendo lakini katika ajira mara nyingi ndani yake panakua na mamluki wa wahalifu ndio maana hata wakati wa magidi waliokua wanasdikiwa kuwa ni waislm wenye itikadi za kuchukia dini nyingine vituo vya polisi vilikua vinavamiwa na wauaji walikua kama wana taarifa za siku hiyo ni nani watakua kwenye zamu . Jambo lililokua linatia mashaka kule Afghanistan kuwa kuna baadhi ya polisi walikua ni maajenti wa ugaidi .

Wakati mwingine hata kuke kenya Wanajeshi walikua wanapigana na polisi kwa kuona kuwa polisi hawatumii akili .

Tanganyika ina askari wengi karibu ¾ ya askari wote wa Tanganyika . Na bahati mbaya Watanganyika tulijengwa katika misingi ya umoja na mshikamano bila kubaguana tofauti na Wazanzibari. Wazanzibari ni wanaguzi wa dini , wabaguzi wa rangi(mwarabu au mwenye asili hiyo anaonekana ni kijukuu cha mtume anathaminiwa zaidi )Wazanzibari ni wabaguzi kwa wageni hasa waafrika kutoka Tanganyika. Cha kwao ni cha kwao wenyewe na cha kwetu ni cha kwao pia .
Kwa hulka ya Wazanzibari wangekua idadi yao inafikia hata milioni 15 Tabzania ingekua ni sahemu hatari ya kuishi kuliko jehanam.

Kuna mzee mmoja aliwahi kusema kwamba katika vitu angetamani kuvifanya kama angekua na uwezo wa kufanya muujiza ni kukisukima kisiwa cha Zanzibar kiwe mbali na Tanganyika .
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?
Anaye mzidi samia ni rostam
 
Tundu Lissu kwa sababu ni mzalendo
Mo Dewji pia, ana akili za biashara na pesa
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?
Kifo ni kifo' tuu
 
Minaona hakuna haja ya kuja na hoja, ila kwakifupu tu hakuna
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?
Ni lissu tu
 
Back
Top Bottom