Wafuasi wa Upinzani kuna ujumbe wenu hapa muhimu sana

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
WATU WACHACHE WANATAFUNA RASILIMALI ZA CHADEMA.

1. Lazima tukubali kuwa Wapinzani kuongea kuipinga Serikali ni jukumu lao la Msingi. Ndio maana nilipinga kabisa Maridhiano kwa kuwa yalikuwa yanaenda kugawana madaraka na CCM. Huwezi kwenda kwenye maridhiano mpo watu wawili halafu maridhiano yaishe utoke patupu. Nilikuwa nimeshaanza kupiga hesabu za Maridhiano kuipatia CDM angalau Majimbo kuanzia 50 Kwenda juu.

2. Njia waliopo sasa ndio angalau njia ambayo CCM huwa kwenye comfort zone nyakati zote toka 1995. JK Mwishoni alianza kuleta mambo za Maridhiano na kuanza kunywa Chai na wapinzani Ikulu na Juice ile hali ilitupatia wakati mgumu sana 2015 CDM walipata kura nyingi sana wakichagizwa na CCM kupasuka kwa Lowassa kuhamia Upinzani.

3. Hili la Bandari ni kwamba Rasmi sasa hoja mbili ambazo zilikuwa mezani kwenye File la Maridhiano zinakufa. Moja Uwezekano wa kwenda kwenye uchaguzi 2025 na katiba mpya lakini la Pili ni uwezekano wa kupata tume wanayosema ni huru ya Uchaguzi 2025 nalo linakufa. CCM ni mabingwa wa visasi na Visa kwenye viunga vya Sayansi ya Siasa hali iliyopo inawanufaisha zaidi CCM na hata wabunge wake walianza kununa kuhusu Maridhiano kwa kuwa yalikuwa ni sawa na Mtoto wa kambo kuletwa nyumbani, lazima mgawane Mali na aliowakuta.

4. Kitakuwa ni kituko Cha Mwaka kama CCM na Serikali watajifungia ndani kusikiliza Lisu ameongea nini huko Kanda ya Ziwa ndio watafute cha Kufanya. Lisu ataendelea kubakia yule yule hata CCM na Serikali wangempa asali na Maziwa Mezani bado angewatukana na kuwapinga. Uimara wa Serikali na CCM utaonekana kama wataendelea na mipango yao kama ilivyo. Serikali au CCM ikiacha kufanya hivyo tumewapa Ushindi wapinzani. Ni wakati wa kuamua kwa haraka jambo la Bandari na kuufunga Mjadala.

5. CCM imefanya jukumu lake la Msingi kabisa, watu walilalamika kuhusu Mkataba, CCM ikatoka kusikiliza na Kujibu. Hata Hivyo CCM iliridhia kama kuna maoni yatapokelewa na kuangalia namna ya kuyatumia kama yanafaa. Kisiasa ni kuwa CCM imetimiza wajibu kusikiliza haikudharau imesikiliza na kutoa ufafanuzi. Hatua ya Pili inayofuata ni kuchukua maoni na kuyachambua kama yana nia njema na uwezekano wa kuyaingiza kwenye mkataba yalete tija, hatua ya Tatu Kuamua kumalizana na Mwekezaji. Hatua ya kwanza imekamili, hatua ya Pili kwa sasa wataalamu wanachambua maoni hatua ya Tatu ni kuamua.

6. Lisu amefanikiwa kwenye jambo moja kati ya Mawili aliyokuwa amepanga kichwani kwake. Kafanikiwa Kumchomoa Mbowe kwenye maridhiano ili aweze kutukana. Kutukana kwake kutampatia jambo la Pili ambalo ni kuanza kukimbizana na Vyombo vya Dola. Akianza kukimbizana na Vyombo vya Dola atafanikiwa Sana kuichafua Tanzania na Rais kwa Ujumla kimataifa. Atafanikiwa kukimbilia Ubalozini na kurudi Belgium kuitukana nchi na Kuibagaza kama kipindi cha Magufuli. Serikali isiingie kwenye mtego huu wa pili wa Kumtafuta au Kumfungulia Kesi yoyote. Serikali ikamilishe ilani yake kwa wananchi inatosha.

7. Chadema ili ijiendeshe inahitaji vyanzo viwili vya Fedha. Moja ni Ruzuku toka Serikalini lakini cha Pili ni fedha za wahisani toka nje ya Nchi. Chadema kwa Mwezi Ruzuku wanayoipata ni milioni 110 hii ni kwa Mujibu wa walichokipata kwenye Uchaguzi mkuu 2020. Ili kilipe mishahara kwa Mfano umlipe Mwenyekiti Posho, ulipe wakurugenzi wote waliopo makao makuu Mishahara/Posho, ulipe wenyeviti wa jumuiya zote Posho hapa hukosi kuacha Milioni 50 kwenye ile 110 zinabakia 60.

Uje ulipe tuseme kwa mfano unalipa laki tano tu Makatibu wa Mikoa yote 30 mishahara utalazimika kutumia milioni 150 umalizane na makatibu wa Mkoa ukiweka hapo makatibu wa wilaya, makatibu wa kanda nk utatafuna karibu milioni 150. Pale kwenye Milioni 60 zilizokuwa zimebaki umetumia zote na sasa unadaiwa milioni 70 ulizokopa.

Njoo chukua makatibu wa wilaya, chukua Kodi za Pango, chukua Mafuta ya Magari, chukua kodi za Ofisi mbalimbali, chukua na matumizi mengine kiuhalisia mambo hayawezi kwenda kwa milioni 110. Hapo wenyeviti wa Mikoa, Kanda na Wilaya usiwape hata Mia maana hutoweza….

Chadema kwa sasa wanatumia Chopa kuruka nchi nzima kwa lisaa limoja tu hewani mafuta pekee ya hiyo chopa haitapungua ni Milion 4 Chopa ya Chadema inashinda angani ni mtaa kwa mtaa kwa kile wanachodai wanafanya operation ya Okoa Bandari, ni Operation ambayo haikuwa kwenye ratiba ya Chama.

Tafsiri yake ni kwamba hapa kuna watu wachache waliopo kwenye level ya Siasa za kina Lisu wakifaidi mapato yote ya chama huku Watendaji wa Chini wakiambulia kuambiwa wakusanye watu kwenye mikutano, ni dhahiri kabisa kuwa Chadema haijiendeshi na Ruzuku maana haitoweza hivyo kuna Fungu lingine linatoka kwa Wahisani hapa hatujui ni kina nani na ni Shilingi ngapi inapokelewa.Watendaji wa Chadema huku chini wanaambiwa wajitoleee huku wengine wakitafuna pesa.

8. Ili wapinzani wafanye Vizuri wanatakiwa waungane, Kwenye Sakata la Bandari vyama vyote vya Upinzani wanasema Uwekezaji ni Mzuri na hakuna Shida kwenye vipengele vya Mkataba. Hivi vyama ni vidogo sana ila vina umuhimu mkubwa sana kwenye Siasa za vyama vingi, hivi ndio huwa vinatumika kusaini karatasi zote za uchaguzi na kutoa tamko kuwa uchaguzi ulikuwa ni huru na Haki. Kwa bahati mbaya Sana Chadema imekuwa ikijiona peke yake inaweza kufika Ikulu ni kujidanganya, Hata Chauma kina mchango mkubwa sana kwenye Siasa za nchi hii.

9. CCM pamoja na mambo Mengine inahitaji kuvilea vyama vidogo vya Siasa, sio mbaya ikavivyuta wakawa nao pamoja, hakuna Dhambi vyama vya upinzani vidogo kuunda Ushirika na CCM. Win win Situation ni jambo la muhimu mno kwa sasa kuelekea 2025.

10. CCM imemaliza Ziara sasa itaishauri Serikali nini Cha kufanya.

#NASIMAMA NA PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN.
1692109617732.jpg
 
View attachment 2718228
labda ccm italea makuwadi ya dpworld na vyama vya kina lipumba lakin 2025 ndio mwisho wenu na mamayenu huko lumumba.
 
Wasted Manii
 
Back
Top Bottom