Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

kuachana na huyo ni ww mwenyewe nafsi iamue si kushauriwa huku una penda bado.njia rahisi ni pale utakapo pata mtu mwingine itakuwa rahisi lkn kama upo single na hamjagombana ni ngumu kumeza
 
Pole sana na mungu akusaidie akupe hekima na busara coz it seems una mtihani mgumu sana aiseeh!!!
 
Mkuu angelita mwenye tatizo hapo utakuwa ni wewe. Kwanza huenda wewe mwenyewe huna ubavu wa kumuacha! Lkn nnachotaka kukushauri hapa,we endelea nae wala usiwe na hofu,we ukipata wa kukuoa na yeye mwambie umepata na hata baada ya ndoa mnaweza kuendelea tu.

Mapenzi hayana formula,ukiolewa hujui nini kitatokea kwa mumeo,hapa ndo kwenye faraja yako usithubutu kumwaga mtu ambae umemzoea! Mnaweza kupunguza tu muda wa kukutana lkn si kuachana!

lahaula!
 
Hayo yote nimefanya, nilikata mawasiliano kabisa Jamaa aninifata hadi kazini nyumbani, kifupi yamenifika shingoni navozidi kuwa mkali ndio Kama nampa nguvu mpya.

Siku moja akija mtambulishe mpenzio mpya. Au tafuta jamaa ajifanye jamaa yako halafu mtambulishe kiroho safi tu.
 
NO MAN WILL LEAVE HIS WIFE FOR A MISTRESS weka hilo akilini

Hahahahaaaaaaaaaaa! MBONA WENGI SANA JAMANI! Tueanze na MACHACHE, LUCA, MAWAZIRI 80% WAKO NDOA ZA PILI,WELL KWENYE UKOO WAKO NDO USISEME. Misemo mingine IMEPITWA NA WAKATI.
 
Hee simamia msimamo wako kwamba humtaki....jinsi ilivyo ni wewe haupo tayari kuachia ngazi maana mapenzi hayalazimishwi
 
Cha msingi sitiaha huduma ulizokua unampa, kama alikua anakukula tg, usimpe tena, au mpe kwa manyanyaso na chini ya kiwango, km kuna mautundu ya kimalavidavi ulikua unamfanyia, "stop" them mara1.

naamini amedata na jinsi unavom"dudua" kwa manjojo labda na mambo izo anakosa kwa mkewe

SITISHA HUDUMA NZURI ZOOOOOOOOOOOOTE af pita ivi na mambo zako.
 
Wewe ndio unatakiwa ujisaidie jinsi ya kumuacha maana huna jinsi...yeye angekuwa..hawezi kukuacha ange kuoa!
 
Nimejaribu njia zote zimegonga mwamba, imefika kipindi namtishia ntamwambia huyo mkewe na picha kumtumia wapi, nia yangu sio kumbomoa ni kumjenga binafsi simuitaji.

Una uhakika umejaribu njia zote?

Umejaribu kumwacha na bado akalazimisha muendelee na uhusiano wenu?

Inavyoonekana wewe ndo 'nataka sitaki'.

Mwenzio keshaoa. Wewe kinachokushinda kuendelea na maisha yako ni nini?

Huna ubavu wa kufanya maamuzi?
 
Wanawake bwana....hivi hamjui jinsi wanaume tunavyo-pretend? wewe yaelekea hujui mapenzi vizuri....na tatizo ni kuwa ulishamvulia nguo lakini usingemvulia nguo pengine angekuoa wewe na kumuacha huyo wake, ila ile hamu na shauku ya kuishi na wewe ndo hakuwa nayo lakini shauku ya kuendelea kukugegeda ndiyo anayo...na lengo lake sasa ni kukupa ujauzito...believe in me, utakuja kutuambia hapa..........leo ni tarehe 20/03/2015

Hahahahaaa! SASA ALIE OLEWA KAPATA NINI KAMA BADO MUME ANAPIGIA MAGOTI NYUCHI HUKU NJE? Manake naona ndo kala hasara zaidi. Atazaa mitoto haramu mpaka basiii.
 
Mkuu utakuwa spare tyre mpaka lini?..... Mkuu angelita huyo jamaa anakupenda lakn sio kwaajili ya kuwa mke.... Kuna wanawake wanamvuto na kila kitu lakn hawana sifa ya kuwa mke........

Hii ni kutokana na kutojitambua, kujirahisi, kutokuwa na mipango yenye future nzuri.

Na hayo hutokea kipind mnakuwa pamoja na pale mnapohijiana pindi muwapo faraga......
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwa mke wake kisha jitambulishe kuwa wewe ni mchepuko. Then tukutane hapa hapa kwa ajiri ya mrejesho!
 
Mwanamke ni sawa na nguo iliyo sokon,, sasa ili iuzike ni lazma iwe ktk hali ya mvuto.... Ukijiruhusu kila mteja ajipime utachakaa.... Hebu jiweke ktk hali nzuri, jiweke kama nguo iliyo ndan ya nailon sild mnunuzi anaangalia namba na kuichukua. Lakn ukijweka kama mtumba kuwa kila mteja ajipime kwa kuvaa baadae utajikuta unachakaa na wateja watazi kujipima na kuacha......

Jitambue, jithamin, jiheshimu na uheshimu viungo vyako...
Sory kama ntakuwa nmetumia kauli mbaya lakn lengo ni kufikisha kile kinachotakiwa kiwe
 
Both!

He could be telling the truth. Cut the dude some slack, People get engaged for a lot of reasons love being amomng but not limited to those reasons. Besides maybe our Angie is more beautiful than the fiancee (For the record i know both parties involved and fact is Angie is more cuter and younger, the other is old as shit, ugly, mean and filthy rich.)

He couldnt marry he because IT WAS TOO LATE not to mention little Angie here is a MINOR. But that doesnt mean the guy didnt love her. He did. Atleast i like to tell my self that (we go back to the lies we tell our selves! LOL!) He chose to SETTLE with that fat rich loser! He is too damn scared of life so he decided to marry his ass off to a rich snob from abroad and it broke Angies heart. So his heart is with Angie but life creeps the hell out of him. I guess he was trapped.

Angie is not a fool, whatever she lacks in age she compensates in character. To prove she is not a fool SHE HAS TO GET HIM BACK! (That is not all kabla hamjavimba!) MAKE HIM AND THAT LOSER WIFE OF HIS PAY FOR WHAT THEY DID TO HER! He took advantage of her, he figured out she is young easy to prey, why not? And why not will cost him dearly, and since he has showed weakness Angie is going to use that weakness to make them ALL pay. Consider it tying loose ends!
angelita huo udhaifu wake ndo uutumie TO GET EVEN! Not revange just EVEN! Dont be a coward and forgive nor forget shit.
You are damn right! I wish people could understand you Lara1. Umevaa kiatu cha mwanaume sawia hongera
 
Uamuzi ni wako, umuache au uendelee nae...

Lakini ujue kuwa ANAKUDANGANYA!!
Wanaume wengi ndivyo tulivyo....
Na kuna uwezekano wa kumpata asiyemdanganya....????
 
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.

Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda nitamsahau yule aliyekuwa mpenzi wangu, kwa takribani miaka minne sasa nitamsahau na kupata pakuanzia.

Ingawa sikuwa single kwa wakati huo, kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri sana na ni mume wa mtu, nilihitaji mtu wakuwa naye huru na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.

Kadiri siku zilivyosonga niliona mwenzangu anazidi kukolea, ikabidi nikate mawasiliano, mana ilifika kipindi anajutia kuwa kwenye commitment.Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, bado ananiganda anataka tuendelee na mahusiano, binafsi siko tayari kuendelea naye nishatumia njia zote kumkatisha tamaa bado kang'ang'ana.

Tafadhari wale wakurusha mawe pita mbali, hapa ni ushauri jinsi ya kunusuru ndoa ya watu idumu tu.

kama unataka kuendelea kutumiwa na kuchakazwa endelea kujilegeza, mwambie akome angekuwa amekolea kweli angekuwa amekuoa wewe. alijifanya amekolea ili na wewe uendelee kumuachia huku yeye akifaidi zaidi maana anatembea na wote bila masharti yoyote magumu.
ukiona unakuwa unafuatwa na wachumba wa watu au waume za watu shituka uanze maombi, ni laana za kiukoo hizo; wewe una tatizo gani usiwe na wa kwako mammy.
 
Lizzy umeongea point! umejuaje au we ni mwanaume?!

Nimemshangaa huyu mwanzisha mada kwa kujiona anapedwa. Stuka utaliwa tgo ivi ivi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom