Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Miezi 5 tangu nianze kufanya hivyo, Mimi nimzuri kwenye kukatisha tamaa ila hapa nimetumia njia zote zimegoma, wasiwasi wangu kuharibu huku nilikoanza kutengeneza.
duuhh
huyo mtihani
Miezi 5 tangu nianze kufanya hivyo, Mimi nimzuri kwenye kukatisha tamaa ila hapa nimetumia njia zote zimegoma, wasiwasi wangu kuharibu huku nilikoanza kutengeneza.
Si alikuwa TAABANI KIUCHUMI! breaking up with millions needs balls! And he had none! Angempenda mkewe angetulia sio kubembeleza chiu masaa ishirini na nne kama chiu wa mkewe una funye funye vile! Hahahahahaaaa! Lets be honest MKE KAPATA HASARAAAAA. mKE ANA CHIU AFU MUME ANAENDA KUPIGIA MAGOTI CHIU NJE! Wallah naenda kuoga maji ya bahari, tena kwa kuyapigia mbizi niondoe gundu.:lol:
Aisee kweli kuna wadada mnafanya haya madudu kabisa, basi endelea nae tu sasa kama alikueleza ana mchumba na ukaamua kuumpa mavitu ina maana uliamua kumnogesha ili uolewe wewe haya ndo uendelee nae, pia subiri na wewe siku utakapofanyiwa kama hivyo, bila kujali itakua mara ya ngapi kufanyiwa.
mafanikio mema, sikushauri uombe tena ushauri hapa.
Hahahahah angelita wewe ni mtoto?!
Usijidanganywe mwaya, huyo jamaa is just taking advantage of you. Hakuna cha kuwa taaban wala nini. I mean think about it, mmekutana akiwa na mchumba, mkawa pamoja na akakolea kweli kweli lakini recently ameamua kumuoa huyo aliyekuwa anajuta kuna na commitment nae?! We unaona nini hapo?!
Kama angekuwa hoi,taaban or whatever he tells you aingemuoa huyo aliyemuoa bali angekuoa wewe. Sababu ya kumuoa aliyemuoa ni kwamba ANAOGOPA KUMPOTEZA ila wewe hana wasiwasi na wewe hata kidogo. Na ndio maana wewe unajua kuhusu mwenzio na anakutumia apendavyo bila kuwa na future na wewe wakati mwenzio ana-treat-iwa delicately.
Fungua macho uone kisha utafute maisha yako mwenyewe. Huyo mwanaume anakuona wewe ni ----- na anajua huna ujanja juu yake. Wewe ndo uko taaban, amka mama utafute na wewe wa kukufia mpaka atake kuji-commit kwako na sio kwa mwenzio.
Nimejaribu njia zote zimegonga mwamba, imefika kipindi namtishia ntamwambia huyo mkewe na picha kumtumia wapi, nia yangu sio kumbomoa ni kumjenga binafsi simuitaji.
Ndio nyinyi mnafeli mtihani kwa genye zenu zakuharakia kujibu bila kusoma vizuri.
Soma bandiko vizuri uelewe, aliyekwambia nilitaka anioe nani, huna ushauri pita mbali nilishatoa onyo mwisho wa bandiko.
I like your comments....
Hadi nimekuja hapa ujue yamenishinda, nimetumia mbinu zote mwisho wa siku naona ntaumia Mimi nakupoteza nilichonacho.
lara 1 dont you think that will be going a little overboard? If I figure you correctly naamini you are thinking of more than one gain in this scheme.Well ana weza kuusaidia mchepuko utulie tuliiiiiiiiiiiiiii kama majiya mtungi. And i was thinking of EXTORTION and BLACK MAIL, he will be too broke and afraid to sleep arround. It is bloody difficult but it can be done!
Mwambie una ngoma...
haitasaidia,