Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Kaundime2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
1,085
1,500
Mkuu angelita mwenye tatizo hapo utakuwa ni wewe. Kwanza huenda wewe mwenyewe huna ubavu wa kumuacha! Lkn nnachotaka kukushauri hapa,we endelea nae wala usiwe na hofu,we ukipata wa kukuoa na yeye mwambie umepata na hata baada ya ndoa mnaweza kuendelea tu.

Mapenzi hayana formula,ukiolewa hujui nini kitatokea kwa mumeo,hapa ndo kwenye faraja yako usithubutu kumwaga mtu ambae umemzoea! Mnaweza kupunguza tu muda wa kukutana lkn si kuachana!
khaaa!
ivi kweli kuchepuka kutaisha kweli looo
 

Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,338
2,000
Hahahahaaaaaa! Reality is always stranger than fiction
People just tend to be satisfied with their own illusions. Wachache sana humu wanaongea au kutoa ushauri ulio practial. Truth is, hakuna mwanaume aliyeoa au ambaye hajaoa aliye na mwanamke mmoja. That is a fact of life. Watu wana michepuko nje ya michepuko

This is indeed funny, jamaa yangu mmoja ana michepuko miwili kwa sasa, na michepuko yote (haijuani, ila mmoja nao umeolewa kwa ndoa ya kanisani) inampiga mikwara asiwe na michepuko mingine zaidi ya mchepuko husika, ila yote inakubaliana na fact kuwa kwa vile ameoa inaridhika kuwa side kick kwa wife wake ila sio tena arukeruke kuongeza michepuko mingine!

Let's just live the life as it is.
 

Mshikemshike

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
417
250
Achana nae uyo hakupendi anakutumia tu tafuta wa kwako wa maisha. Mwambie unataka kuolewa asikusumbue.
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
22,557
2,000
We mdada utatupeperushia michepuko yetu jamani khaaaa!!!

mjasiria acha tabia mbaya. Kaa ukijua mkeo nae ana mchepuko ambao una girlfriend ambae nae ana mchepuko na kuendelea. EPUKA UKIMWI in my sons voice...TULIZANENI.
 
Last edited by a moderator:

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
22,557
2,000
People just tend to be satisfied with their own illusions. Wachache sana humu wanaongea au kutoa ushauri ulio practial. Truth is, hakuna mwanaume aliyeoa au ambaye hajaoa aliye na mwanamke mmoja. That is a fact of life. Watu wana michepuko nje ya michepuko

This is indeed funny, jamaa yangu mmoja ana michepuko miwili kwa sasa, na michepuko yote (haijuani, ila mmoja nao umeolewa kwa ndoa ya kanisani) inampiga mikwara asiwe na michepuko mingine zaidi ya mchepuko husika, ila yote inakubaliana na fact kuwa kwa vile ameoa inaridhika kuwa side kick kwa wife wake ila sio tena arukeruke kuongeza michepuko mingine!

Let's just live the life as it is.
Generalization is WRONG. Hata kama wewe na jamaa zako wote unaowajua wana michepuko bado haina maana kwamba WANAUME wote wana michepuko.
 

Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
1,214
1,250
Tangu mwanzo nilitambua hilo, na makubaliano yetu hayakuwa mapenzi, alikuwa na mtu na mimi mapenzi hayakuwepo, imekuwa kinyume, moyo wangu ushafunguka sehemu, kwa hizi fujo zake nikiendelea kujifanya mbabe ntaumia Mimi.
Huyo Mbaba unamuendekeza!
Kuwa muwazi kwa mpenzi wako mpya na halafu mpe jukumu la kuongea na huyo jamaa yako wa zamani na Kama akiendelea mfahamishe mkewe na muweke mtego na mkewe aje aone fumanizi na jamaa yako mpya akiwepo.Hapo itakuwa mwisho wa kiranga!
 

Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
20,965
2,000
Girl, I can feel u. Yani nahisi Kabisa ujanja wako wote kushney. And its good coz umeamua utulie na a man who is committed to u only, and not the man who is also committed to another woman.

Single girl, sometimes you may think that he loves u enough to leave his wife, but the bitter truth is that, he will return to his wife after everything, and he will work out things with his wife. If he cheated on her , then what makes u think that he wouldn't cheat on you too?. How are u sure that he is going to treat u differently from the way he is treating his wife now?

Even if he is not happy with his marriage, trust me, he is getting something positive from his marriage and that's why he can't leave his marriage.

Back to angelita, nafikiri ukisema umwambie mkewe, then get prepared coz he is going to destroy you. Jaribu kuongea na mpenzi wako wa sasa, mpe ukweli wote ikiwezekana na tafuta hata rafiki wa karibu ambaye utakuwa naye muda mwingine, ili hata Huyo MBA akikufata anakukuta upo na company nyingine. Na umwambie Kabisa Kuwa humpendi n its over between you and him. Washindwe Hao waume za watu
 
Last edited by a moderator:

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Anakutumia tu kumaliza shida zake ,kama alikuwa anakupenda angekuoa.ukifikiria hilo una uwezo wa kumwacha.
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
hayo yote nimefanya, nilikata mawasiliano kabisa jamaa aninifata hadi kazini nyumbani, kifupi yamenifika shingoni navozidi kuwa mkali ndio kama nampa nguvu mpya.
halafu jiangalie kwanza na jichunguze uhusiano wako na mungu wako unayemwabudu,unazidi kuwa rafiki na dhambi .mrudie mungu ndiye pekee atakeyekutoa huko kwenye shimo.
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
acha kujidanganya. Uchumba ni rahis kuvunjika kuliko ndoa. Angekuwa taaban asingeoa. Ila anampenda mkewe na keshajua ww ni mteremko tu......w kupumnzikia. Wake up girl....
angelita soma hapa,mi najiuliza kwanini hakukuoa ,kwanini unakuwa michepuko tu embu jikague ,halafu leta jibu hapa.
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
kumpenda mtu nipamoja na kumheshimu, angempenda angemheshimu asingeniganda wala nisingelazwa kwenye kitanda anacholala na mkewe na nisingekuwa wa kwanza kuzindua nyumba anayoishi sasa kabla ya muhusika.

Kupenda nizaidi ya ufikiriavyo ila sio lililonileta hapa, sijivunii naumia nataka niutue mzigo nilioubeba mwenyewe bila kudhurika.
wewewewew wala sio kupendwa huko,eti amekulaza kwenye kitanda ndio kupendwa the big no hakuna mapenzi hapo ni uzinzi na uchafu.kumbuka aziniye na mwanamke ni mpumbavu kabisa.so my dear wal usijisifu kwani ni aibu umedhalilishwaa.
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,246
2,000
una uhakika umejaribu njia zote?

Umejaribu kumwacha na bado akalazimisha muendelee na uhusiano wenu?

Inavyoonekana wewe ndo 'nataka sitaki'.

Mwenzio keshaoa. Wewe kinachokushinda kuendelea na maisha yako ni nini?

Huna ubavu wa kufanya maamuzi?
ukweli mtupu
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.

Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda nitamsahau yule aliyekuwa mpenzi wangu, kwa takribani miaka minne sasa nitamsahau na kupata pakuanzia.

Ingawa sikuwa single kwa wakati huo, kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri sana na ni mume wa mtu, nilihitaji mtu wakuwa naye huru na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.

Kadiri siku zilivyosonga niliona mwenzangu anazidi kukolea, ikabidi nikate mawasiliano, mana ilifika kipindi anajutia kuwa kwenye commitment.Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, bado ananiganda anataka tuendelee na mahusiano, binafsi siko tayari kuendelea naye nishatumia njia zote kumkatisha tamaa bado kang'ang'ana.

Tafadhari wale wakurusha mawe pita mbali, hapa ni ushauri jinsi ya kunusuru ndoa ya watu idumu tu.
yote yana mwisho,jitayarishe kulipa gharama.
 

angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
wewewewew wala sio kupendwa huko,eti amekulaza kwenye kitanda ndio kupendwa the big no hakuna mapenzi hapo ni uzinzi na uchafu.kumbuka aziniye na mwanamke ni mpumbavu kabisa.so my dear wal usijisifu kwani ni aibu umedhalilishwaa.
Aliyedhalilishwa ni muhusika, no sijajisifu na wala sioni fahari wala aibu, upendo unaendana na heshima huwezi sema unapendwa wakati hueshimiwi tafakari.
 

angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
angelita soma hapa,mi najiuliza kwanini hakukuoa ,kwanini unakuwa michepuko tu embu jikague ,halafu leta jibu hapa.
Nadhani mumenukuu vibaya, hakukuwa na malengo so kila mtu alijua itafika kipindi kila mtu achukue ustaarabu wake, soma bandiko vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom