Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Ningekuwa sina mtu isingekuwa shida, kuondoka kagoma namtishia kumlipua kwa mkewe wala hatishiki ila akinilipua mm ndo basi nawaza kujilipua kabla hajanilipua ila sijui Kama ntaeleweka, yamenifika haswa.
noooo usijilipue kwa mtu wako shostii
huyo ashavurugwa anataka akuharibie tu
onyesha msimamo thabiti
SIKUTAKI SIKUTAKI LEA MKEO
asije kukuharibia michongo yako