Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

It begins with you....

Sidhani kama unaweza kuusaidia mchepuko utulie kwenye ndoa yake. Na hilo halikuhusu. Ila, ninaamini unaweza kusitisha mahusiano yako naye in the blink of an eye!! I really thought women are good at this kind of shit.

Its either huna msimamo thabiti au msimamo wako unayumbishwa na hisia za kimapenzi...typical of women.

Katika hali kama hii...tumia kichwa na logic tu!
 
hebu jikague binti



kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri Sana na ni mume wa mtu, niliitaji mtu wakuwa naye huru. Na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, .

Hawa wanaume watakutumia tu.... haswa huyo anayekung'ang'ania, kama alikuwa na nia ya dhati asingeoa, angevunja huo uchumba akuoe wewe....

wanaume kiasili wanapenda kumiliki, ukija shtuka jua limezama jitathmini anyway, kama humtaki kwa dhati si unamwambia na kumpiga marufuku kuwasiliana na wewe?

Ikiwemo kumblock kila kona? na hata akija kwako si haumfungulii tu? kiufupi fukuzia mbali, atakasirika ila miezi 2 au 3 atasonga mbele
 
Jaribu hiv,mmbock kwenye sim kila inadara kianzia whatsap,call na txt alafu mwambie una mtu hutaki mawasiliano tena!wala akipiga usimpokelee hata mara moja wala kujibu sms zake....mkwepe na kumwogopa kama ukoma..
 
kaa cku mbili bila kuoga alafu umpe papuchi ikiwa na uvundo uone atakavyotoka nduki
 
Hahahahah angelita wewe ni mtoto?!

Usijidanganywe mwaya, huyo jamaa is just taking advantage of you. Hakuna cha kuwa taaban wala nini. I mean think about it, mmekutana akiwa na mchumba, mkawa pamoja na akakolea kweli kweli lakini recently ameamua kumuoa huyo aliyekuwa anajuta kuna na commitment nae?! We unaona nini hapo?!

Kama angekuwa hoi,taaban or whatever he tells you aingemuoa huyo aliyemuoa bali angekuoa wewe. Sababu ya kumuoa aliyemuoa ni kwamba ANAOGOPA KUMPOTEZA ila wewe hana wasiwasi na wewe hata kidogo. Na ndio maana wewe unajua kuhusu mwenzio na anakutumia apendavyo bila kuwa na future na wewe wakati mwenzio ana-treat-iwa delicately.

Fungua macho uone kisha utafute maisha yako mwenyewe. Huyo mwanaume anakuona wewe ni ----- na anajua huna ujanja juu yake. Wewe ndo uko taaban, amka mama utafute na wewe wa kukufia mpaka atake kuji-commit kwako na sio kwa mwenzio.
We mdada utatupeperushia michepuko yetu jamani khaaaa!!!
 
Usimwonee huruma punguza mawasiliano. Ikitokea umekutana nae usiwe soft kwake na wakati mwingine mwambie unamtu wako so akuheshimu kwa kuachana na wewe.

Hayo yote nimefanya, nilikata mawasiliano kabisa Jamaa aninifata hadi kazini nyumbani, kifupi yamenifika shingoni navozidi kuwa mkali ndio Kama nampa nguvu mpya.
 
My dear cha msingi kama humtaki kweli ukiamua utaweza tu though ni ngumu sana, ila wanaume wajanja sana, hawawezi kuishi bila michepuko, usikubali akutumie, anafanya maendeleo na mkewe kwako anakuja kukumwagia tu, hiyo noooo..labda kama anakusuppoort kimaendeleo unaweza kum-consider if not atakuzibia ridhiki tu, we msahau tu, hayo ni sehemu ya maisha tu
 
kwa sababu hata huyo single unayemtafuta utulie nae hujampata na kwa sababu nawe wataka wa kukupa penzi, trust me ukiachana na huyo mme wa mtu utakuja kumuhtaji tena. Masingle nao hawapatikani kirahsi siku hizi

Hahahahaaaaaa! Reality is always stranger than fiction
 
You can't be serious!

I say that because, if you really want to, breaking things off ain't that hard.

In the same breath, if you've already caught (some) feelings for him, I can understand the dithery.

But, if you are really through with him, then what's so hard about making it plain (to him)?

Just tell him that you don't want him no more and that's it.

Nimejaribu njia zote zimegonga mwamba, imefika kipindi namtishia ntamwambia huyo mkewe na picha kumtumia wapi, nia yangu sio kumbomoa ni kumjenga binafsi simuitaji.
 
Mkuu angelita mwenye tatizo hapo utakuwa ni wewe. Kwanza huenda wewe mwenyewe huna ubavu wa kumuacha! Lkn nnachotaka kukushauri hapa,we endelea nae wala usiwe na hofu,we ukipata wa kukuoa na yeye mwambie umepata na hata baada ya ndoa mnaweza kuendelea tu.

Mapenzi hayana formula,ukiolewa hujui nini kitatokea kwa mumeo,hapa ndo kwenye faraja yako usithubutu kumwaga mtu ambae umemzoea! Mnaweza kupunguza tu muda wa kukutana lkn si kuachana!

Kuendelea nae hapana, nilikata mawasiliano tangu mchakato wa kuoa uanze ila kaniganda kote, nimetumia nguvu naona hakuna kitu naitaji njia nzuri yakumuondoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom