Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Aliyedhalilishwa ni muhusika, no sijajisifu na wala sioni fahari wala aibu, upendo unaendana na heshima huwezi sema unapendwa wakati hueshimiwi tafakari.
Kafara Hilo,unatolewa eti unajisifu umelala kitanda cha mke wake.we haya.
 
angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
Kwa mwendo huu wa matusi nani atakuweka Kama mke.alafu wanawake bwana,unatolewa kafara halafu unasema unapendwa,tubu tubu tubu.
Umevurugwa si bure, umekurupushwa ulikokuwa umekuja kuhemea hapa, aliyekwambia nataka ndoa nani au wapi umeona pameandikwa nataka kuolewa?????

Stress zako peleka huko, next time usikurupuke Kama umefumaniwa.
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
umevurugwa si bure, umekurupushwa ulikokuwa umekuja kuhemea hapa, aliyekwambia nataka ndoa nani au wapi umeona pameandikwa nataka kuolewa?????

Stress zako peleka huko, next time usikurupuke kama umefumaniwa.
ona sasa unavyotapatapa unakuja kuomba ushauri wa kijinga ,kama wewe mwanamke wa heshima ungekuwa umetulia kwenye nyumba yako .huna amani dhambi lazima ikutese mpaka umrudie mungu,unafikiri mungu anapenda uasherati na uzinzi unaofanya ,hapana hata unitukane mpaka mwisho wa dunia hutakaa upate amani hata siku moja mpaka uache dhambi.
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.

Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda nitamsahau yule aliyekuwa mpenzi wangu, kwa takribani miaka minne sasa nitamsahau na kupata pakuanzia.

Ingawa sikuwa single kwa wakati huo, kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri sana na ni mume wa mtu, nilihitaji mtu wakuwa naye huru na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.

Kadiri siku zilivyosonga niliona mwenzangu anazidi kukolea, ikabidi nikate mawasiliano, mana ilifika kipindi anajutia kuwa kwenye commitment.Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, bado ananiganda anataka tuendelee na mahusiano, binafsi siko tayari kuendelea naye nishatumia njia zote kumkatisha tamaa bado kang'ang'ana.

Tafadhari wale wakurusha mawe pita mbali, hapa ni ushauri jinsi ya kunusuru ndoa ya watu idumu tu.
Mimi wala sikurembi wala sikutetei unajua Kabisa unalofanya ni ushetani mkubwa ila unataka tukuone wewe in cake ,Kwangu mimi ni the Big No.hata Kama ungekuwa mdogo wangu.wewe ni mtu mzima na unajitambua unless otherwise,ACHANA NA MUME WA MTU.
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Umevurugwa si bure, umekurupushwa ulikokuwa umekuja kuhemea hapa, aliyekwambia nataka ndoa nani au wapi umeona pameandikwa nataka kuolewa?????

Stress zako peleka huko, next time usikurupuke Kama umefumaniwa.
Ukweli Unauma.
 
angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
Mimi wala sikurembi wala sikutetei unajua Kabisa unalofanya ni ushetani mkubwa ila unataka tukuone wewe in cake ,Kwangu mimi ni the Big No.hata Kama ungekuwa mdogo wangu.wewe ni mtu mzima na unajitambua unless otherwise,ACHANA NA MUME WA MTU.
Hahahaaaaaaa, nimecheka kwa huruma, ona unavyoropoka ndomana nikakwambia umevurugwa wewe, unatafuta pakuhemea, hahahaaaa kwa baridi hili mbona utatokwa povu Sana.
 
angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
ona sasa unavyotapatapa unakuja kuomba ushauri wa kijinga ,kama wewe mwanamke wa heshima ungekuwa umetulia kwenye nyumba yako .huna amani dhambi lazima ikutese mpaka umrudie mungu,unafikiri mungu anapenda uasherati na uzinzi unaofanya ,hapana hata unitukane mpaka mwisho wa dunia hutakaa upate amani hata siku moja mpaka uache dhambi.
Kajambeee huko, dhambi zako zimekushinda zawrngine zinakutoa povu. Wale ndugu zako wasioolewa wameishia kuzalishwa nyumbani huwaoni ama?????

Embu nitolee giza mtoto mdogo mie hata hiyo 25 naisikia kwa wengine, Tengeneza ww urafiki na Mungu kama unaweza mwisho wa siku kila mtu na msalaba wake, hunijui sikujui huna ushauri pita mbali usinimwagie povu lako hapa.
 
Sina hata wadogo wa kike.utasumbuka sana na kutapatapa MUME WA MTU SIO MCHEZO,MKEWE ANA MAMLAKA NA AKIKUSEMEA NENO MOJA TU LATOSHA.OHHH HAHAAAAA.WAACHE WALALE WENZIO KHAAAA.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,336
2,000
Generalization is WRONG. Hata kama wewe na jamaa zako wote unaowajua wana michepuko bado haina maana kwamba WANAUME wote wana michepuko.
Sawa, keep on dreaming. The moment you realize that your "only" one has more than you...
 
TGInnocent

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
1,090
1,500
ana mtu mwingine wa umri wake..but huyo jamaa aliyeoa yupo matured anajua namna ya kucheza na moyo wa binti mdogo ka yeye..hapo ndo shida inapokuja...hapo mpaka jamaa aamue
Anachezaje na moyo wa mtu mwingine? The fact is that, this man is already in the heart of Angelita and binti will not be free from him unless she erases him from her heart.
 
Mmanu

JF-Expert Member
Feb 11, 2015
1,368
1,500
Khee michepuko itaisha kweli...maana nmeona msululu wa michepuko
 
TGInnocent

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
1,090
1,500
Hayo yote nimefanya, nilikata mawasiliano kabisa Jamaa aninifata hadi kazini nyumbani, kifupi yamenifika shingoni navozidi kuwa mkali ndio Kama nampa nguvu mpya.
Ina maana hutaki hata kusalimiana naye, kwa nini moyo wako unahangaika mkikutana? Take him as a normal best friend na jiepushe na offer zake. Ila kama ndio bado unampenda uwe wazi ili utafutiwe mfuto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom