Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

You can't be serious!

I say that because, if you really want to, breaking things off ain't that hard.

In the same breath, if you've already caught (some) feelings for him, I can understand the dithery.

But, if you are really through with him, then what's so hard about making it plain (to him)?

Just tell him that you don't want him no more and that's it.
 
Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka Kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.

Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda ntamsahau yule aliyekuwa mpenzi wangu, kwa takribani miaka minne sasa nitamsahau na kupata pakuanzia.

Ingawa sikuwa single kwa wakati huo, kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri Sana na ni mume wa mtu, niliitaji mtu wakuwa naye huru. Na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.

Kadili siku zilivyosonga niliona mwenzangu anazidi kukolea, Ikabidi nikate mawasiliano, mana ilifika kipindi anajutia kuwa kwenye commitment.

Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, bado ananiganda anataka tuendelee na mahusiano, binafsi siko tayari kuendelea naye nishatumia njia zote kumkatisha tamaa bado kang'ang'ana.

Tafadhari wale wakulusha mawe pita mbali, hapa ni ushauri jinsi ya kunusuru Ndoa ya watu idumu tu.

Ila nawe umezidi kila mwanaume unampa kwani hiyo k yako imekuwa uwanja wa mazoezi?
 
Abeee, ushauri tafadhari nimeyakoroga.

Usimwonee huruma punguza mawasiliano. Ikitokea umekutana nae usiwe soft kwake na wakati mwingine mwambie unamtu wako so akuheshimu kwa kuachana na wewe.
 
Mkuu angelita mwenye tatizo hapo utakuwa ni wewe. Kwanza huenda wewe mwenyewe huna ubavu wa kumuacha! Lkn nnachotaka kukushauri hapa,we endelea nae wala usiwe na hofu,we ukipata wa kukuoa na yeye mwambie umepata na hata baada ya ndoa mnaweza kuendelea tu.

Mapenzi hayana formula,ukiolewa hujui nini kitatokea kwa mumeo,hapa ndo kwenye faraja yako usithubutu kumwaga mtu ambae umemzoea! Mnaweza kupunguza tu muda wa kukutana lkn si kuachana!
 
Hahahahah angelita wewe ni mtoto?!

Usijidanganywe mwaya, huyo jamaa is just taking advantage of you. Hakuna cha kuwa taaban wala nini. I mean think about it, mmekutana akiwa na mchumba, mkawa pamoja na akakolea kweli kweli lakini recently ameamua kumuoa huyo aliyekuwa anajuta kuna na commitment nae?! We unaona nini hapo?!

Kama angekuwa hoi,taaban or whatever he tells you aingemuoa huyo aliyemuoa bali angekuoa wewe. Sababu ya kumuoa aliyemuoa ni kwamba ANAOGOPA KUMPOTEZA ila wewe hana wasiwasi na wewe hata kidogo. Na ndio maana wewe unajua kuhusu mwenzio na anakutumia apendavyo bila kuwa na future na wewe wakati mwenzio ana-treat-iwa delicately.

Fungua macho uone kisha utafute maisha yako mwenyewe. Huyo mwanaume anakuona wewe ni ----- na anajua huna ujanja juu yake. Wewe ndo uko taaban, amka mama utafute na wewe wa kukufia mpaka atake kuji-commit kwako na sio kwa mwenzio.

For me, huu ndo ushauri. Zingatia dogo
 
Last edited by a moderator:
mwambie umepata mchumba nawewe so mda simrefu nawewe utaingia ktk maisha ya ndoa, so akuache!
 
mmmhhh!!
kwa sababu una mtu mwingine huyo achana nae!!
tafuta mwingine
 
Shostito, ivi kweli mwanamke wakisawasawa atake lake Ashindwee? Mbona unajidanganya? Kaa chini peke yako ujiulize jee kama ninge kua na thamani au ananipenda kweli kwanini asikuoe? Hongera Una moyo sanaaaa mie na wivu huu ...
 
nikisema kuna waawake mnatmiwa kama tash mnabisha...im saying this coz of experience yaani naweza uwa na mtu huwezi muacha wengine uatumia kama trashy tu..pole sana...jinasue japo ni ngumu
 
kwa nini wakati ana mtu mwingine kimahusiano
si yuko na wawili?
ana mtu mwingine wa umri wake..but huyo jamaa aliyeoa yupo matured anajua namna ya kucheza na moyo wa binti mdogo ka yeye..hapo ndo shida inapokuja...hapo mpaka jamaa aamue
 
Mwambie unasafr alaf ukifka huko unamwambia nipo kwa ba mdogo huwa hapendi kuongea na sim hususan ukiwa nae au usiku na nyumba haina dali so utapunguza mawasiliano zo utakua hujasafr.akipiga unakata unamtumia txt npo na ba mdogo.Week tuuu anasepa huyoooo.....Unabak huruu unatafuta mwingne akizingua nae unaleta maada yake tuijadl.
 
ana mtu mwingine wa umri wake..but huyo jamaa aliyeoa yupo matured anajua namna ya kucheza na moyo wa binti mdogo ka yeye..hapo ndo shida inapokuja...hapo mpaka jamaa aamue

namuonea huruma sana!!
 
Girl don't flatter yourself, the only value you hold as a side kick is sexual.

The only way out for you is to refuse to be used in the name of material gains.

Otherwise gone will be your self esteem and dignity as a woman and believe me ypu wouldnt wanna be just a
woman.

Think about it.
 
kwa sababu hata huyo single unayemtafuta utulie nae hujampata na kwa sababu nawe wataka wa kukupa penzi, trust me ukiachana na huyo mme wa mtu utakuja kumuhtaji tena. Masingle nao hawapatikani kirahsi siku hizi
 
Mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh! Woooo! Woooo! Wooooooooo! Shouldnt you be slowing down a bit?????????? You are not even 23 for crying out loud. Call me OLD SCHOOL but this is serious.

ON SECOND THOUGHTS

IF A MAN HAS 2 WOMEN, THEN HE HAS TO CHOOSE ONE HE SHOULD CHOOSE THE SECOND, BECAUSE IF HE REALLY LOVED THE FIRST HE WOULDN'T GET INVOLVED WITH THE SECOND. - Johnny Deep.

Sikiliza wewe Angelita mume wa mtu ukimpata jivinjari, hana mpango na wewe jivinjariii, anakudanganya wewe jivinjariiiiiiiii. KAMA MUME WA MTU SUMU MBONA PANYA HAIUI?

hahahha kesi ya nyani unampelekea tumbili lol
 
Girl don't flatter yourself, the only value you hold as a side kick is sexual.

The only way out for you is to refuse to be used in the name of material gains.

Otherwise gone will be your self esteem and dignity as a woman and believe me ypu wouldnt wanna be just a
woman.

Think about it.

typical life of young women now days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom