ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
- Thread starter
- #121
Anajua kila homa ni Malariabacteria wa malaria mhhhhhhhh mkuu sahihisha hapo
Anajua kila homa ni Malariabacteria wa malaria mhhhhhhhh mkuu sahihisha hapo
Nafrahi sana kwa elimu hii..Mbona nimekujibu vizuri tu mkuu.
Ishu iko hivi ukishika moto ubongo unakuambia umeshika moto,ukishika barafu vivyo hivyo...hayo yote yanatokea sababu ubongo umepelekewa taarifa kutoka hiyo sehemu yenye moto au barafu.
Kinachotokea kwa mtu mwenye homa ni kwamba zile taarifa zinazopelekwa kwenye ubongo zinatafsiriwa kama "Mwili una baridi" kumbe uhalisia ni mwili una joto.
Na ukumbuke kwamba ubongo utakavyo tafsiri hisia yoyote hata kama ni uongo ndivyo jinsi mwili mzima utakavyoielewa.
Ndiyo maana unaweza kukuta mtu amekatwa mkono kwenye kiwiko halafu akaja akakwambia vidole vya ule mkono vinauma wakati hata vidole vyenyewe havipo.
Mkuu bakteria gan huyo anasababisha malaria? Usitudanganye tafazar mkuu, hata pale kidato cha cha kwanza sijaona kama malaria hisababishwa na bakteria..Kwa kuongezea bacteria wa malaria wana shambuli maji mwilini lazima yapungue. Kadri mashambulizi yanavyo kuwa makubwa.mwili lazima uta heat.nisawa na rejeta yaw gari maji yakipungua gari lazima ichemshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile chemikali inayotolewa na wale wadudu ndiyo inafanya ubongo utafsiri tofauti.Nafrahi sana kwa elimu hii..
Nini kinasababisha ubongo utafri uongo? Kwa uelewa wangu, pale form 3 tuliambiwa kwenye hipothalamus kuna sehem inahusika na joto na nyinginge barid... Dam inapopita bas hupitia ktk sehem hizo!
Nakbaliana nawew..
Je, kwa nn ubongo utafrisi vibaya kipindi cha ugonjwa tu?? Mm naona kuna sabab nyingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Mkuu bakteria gan huyo anasababisha malaria? Usitudanganye tafazar mkuu, hata pale kidato cha cha kwanza sijaona kama malaria hisababishwa na bakteria..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hili utakuwa umejifunza tuition kuwa bacteria anasababisha malariaKwa kuongezea bacteria wa malaria wana shambuli maji mwilini lazima yapungue. Kadri mashambulizi yanavyo kuwa makubwa.mwili lazima uta heat.nisawa na rejeta yaw gari maji yakipungua gari lazima ichemshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliyekatwa mkono je inakuwaje??Ile chemikali inayotolewa na wale wadudu ndiyo inafanya ubongo utafsiri tofauti.
huku kwenye mifugo hawezi chomoa huku tupo wenyew manguli tunaoweza vunja anatomy ya wanyama zaid ya 7Cow tena mkuu.
Nitakujibu hayo mengine.
Sent from my Huawei mate 9
Huko mimi nilikimbia nikaona isiwe tabuhuku kwenye mifugo hawezi chomoa huku tupo wenyew manguli tunaoweza vunja anatomy ya wanyama zaid ya 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo wanaita phantom pain
huku hakutaki mawazo wala kuotea kaka n kula vichwa 2 kila semister, mkimaliza mnaagana kbsa hakuna uwakika wakuonana tena maeneo yale shikamoo VMHuko mimi nilikimbia nikaona isiwe tabu
Nadhani utakua unamkumbuka mama pereka...prof asey...kipanyula hahahahaahuku hakutaki mawazo wala kuotea kaka n kula vichwa 2 kila semister, mkimaliza mnaagana kbsa hakuna uwakika wakuonana tena maeneo yale shikamoo VM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuuhuku hakutaki mawazo wala kuotea kaka n kula vichwa 2 kila semister, mkimaliza mnaagana kbsa hakuna uwakika wakuonana tena maeneo yale shikamoo VM
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu,watu kama hao lazima watakuwepo kila sehemu ndiyo maana umeona hata sijahangaika hata kuwajibu.Asante sana nimesoma Uzi wote, ninejifunza kitu, ila ifike kipindi baadhi ya watu wabadilike kuna watu kazi yao ni kuponda tuu liwe jema ama baya young blood endelea kutupa maujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera na ww pia kuna kitu kikubwa sana kwenye kichwa chako watanzania tujifunze kutumia vyetu jitaidi kuwaelimisha usikate tamaa watakuelewa 2 ndugu yanguHongera sana mkuu
Sawa ndugu yangu tuko pamojahongera na ww pia kuna kitu kikubwa sana kwenye kichwa chako watanzania tujifunze kutumia vyetu jitaidi kuwaelimisha usikate tamaa watakuelewa 2 ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app