Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

1)Kwa nini binadamu akiumwa homa anajiskia baridi ila ukimgusa mwilini ni wa moto inasababishwa na nini..??

2)Kwa nini virusi vya ukimwi vikingia kwnye mwili wa binadamu vinaenda moja kwa moja kukaa kwnye DNA.??

3) Kwa nini inakuwa vigumu kuviuwa virusi vya ukimwi vikiwa kwnye DNA.??

4)Kwa nini Binadamu akienda chooni kujisaidia haja kubwa lazima haja ndogo itoke kwa nini.??

5)Kwa nini binadamu akila chakula lazima abeuwe kubeuwa inasababishwa na nini..??

6)Kwa nini magroup ya damu yametofautiana...??

NB:nimekuliza maswali marahisi sana nataka nijue je ww kweli ni mtu wa medicine afu ndo tuje sasa kwnye maswali ya kibabe ya medicine..
Bado 5 na 6 hujajibu mkuu
Ila unawakilisha vizur sanaa
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
1.Chemikali ambazo zinatolewa na bacteria waliopo mwili ambao wamesababisha homa zinafanya hypothalamus (ambayo ni kama thermostat kwenye mwili ihisi kwamba mwili unasikia baridi) kumbe wakati huo mwili upo na joto la kawaida kabisa au limezidi,so kinachofanyika ni mwili kujaribu kutafuta njia za kuongeza joto mwilini kama kutetemeka,kukaa juani au kuota moto kitu ambacho kitaongeza joto zaidi.
In short ni kwamba mtu anasikia baridi ambayo haipo.

Sent from my Huawei mate 9
Duuh are you sure ?? Kutetemeka ni means ya mwili Ku produce heat as a way of killing pathogens inside the blood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..
What will happen when hepatic vein is obstructed??
Why left testicular artery drains into left renal artery not IVC?
Why testes discend into pelvic region?


Sent using Jamii Forums mobile app

2.Kwanza nikiriri kwamba katika maswali ambayo yamenifanya nikumbuke Embryology nikiwa first year ni hili swali lako.

During embryogenesis
bilateral supracardinal veins ambazo ni origin of right and left inferior vena cava pamoja na the subcardinal sinus ambazo nazo ni origin of left and right gonadal veins zinadevelop kwa pamoja. Lakini mwisho wa siku right supracardinal veins itaendelea kukua na left supracardinal vein itapotea hivyo itapelekea left gonadal vein idrain kwenye left Renal vein badala ya left inferior vena cava.
 
Nyuzi km izi nimara chache kuwapata waschana wahumu JF !!.


BTW namm,,nipite tu kwakuuliza haya ...

Kwann wakati wa baridi MTU anapauka ngozi ??

Kwann ukiwa namafua hata radha ya chakula huipati ???.


...siku ya kwanza kuona Cadaver ,ulijisikiaje ????
Mafua yanazuia cell amabzo zinasaidia tuweze kupata sense of smell katila vitu tunavyokula zisifanye kazi yake vizuri ( sawa na kuvaa miwani ya mbao machoni=huwezi kuona[emoji16])...fact ni kwamba smell and taste are linked hivyo ukipoteza smell ya chakula hata ladha yake pia itapotea kidogo.

Sent from my Huawei mate 9
 
Mafua yanazuia cell amabzo zinasaidia tuweze kupata sense of smell katila vitu tunavyokula zisifanye kazi yake vizuri ( sawa na kuvaa miwani ya mbao machoni=hiwezi kuona)...fact ni kwamba smell and taste are linked hivyo ukipoteza smell ya chakula hata ladha yake pia itapotea kidogo.

Sent from my Huawei mate 9
MD.
 
kwann baadhi ya wanaume wana korodani moja?
Jibu rahisi ni kwamba inaweza kuwa congenital anaomaly or failure of testicular decent during embryogenesis.

Sent from my Huawei mate 9
 
Back
Top Bottom