Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377
Ukiuliza swali la kijinga utapata jibu la kijinga pia. Unauliza swali kama unatumia akili mnemba unategemea nini?mnaonijibu hivi mkiendelea muda si mrefu nawashushia matusi!, maswali makini mnajibu kijinga sana!.
Haya tulia sasa. Breath!
Uliza swali lako sasa bila mihemko!
Tungejuaje kuna giza kama kusingekuwa na mwanga? 😃