Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,352
- 5,250
Hii inaweza kuanza kuuzwa lini mkuu? kuna chanzo chochote unaweza ku share nasi tukasoma kwa undani zaidi. AhsanteSijakaa nakubaliana na wewe, but concern yangu, kwa maisha yetu wa Tz tulio wengi, its hard ku afford kununua 1 bit coin for 23k, instead we can focus on buying m
New Usd coin, ambayo itaanza at very reasonable price na kuna possibility kubwa ya ku mature na ku gain wealthy