Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Juzi kuna mdau alileta thread ya Pi Coin kwa sasa ni bure kabisa. Ina zero value at the market ipo katika phase ya pili ya development. Unachotakiwa ni kuanza kumine mpaka itakapo ingia phase ya tatu ndio watasimamisha mining na kua na value. Ila watu watapotezea 5-10 years later tutaishia kusema ni utapeli tu kumbe wenzako waliinunua wakati ikiwa haina thamani.
 
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.

Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.

Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.

Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.

View attachment 1652679

Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?

Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..

Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.
Huo Uzi wa Bitcoin upo wap
 
They are billionaires, unafikiri wanacheza na speculations tu bila kuichungulia system..

Mbona hata Pablo na El Chapo walikuwa successful kwenye biashara zao ingawa si halali na hatarishi?

Mekuu ebu tukutane pale Hugo's tupate mbuzi choma na glass ya JD..
Walikuwa wanaichungulia system gani?

Unajua mkuu hapa duniani usiwe sana unafuata herd behavior.. Mungu amekupa akili chunguza mambo, tena yanaweza kukusaidia.. financial market sio kama unavoifijiria.

Kwa kukusaidia.. tafuta kitabu kimeandikwa na mtu anaitwa Michael Steinhardt kinaitwa.. No Bull: my life in and out of markets.. utaelewa vizuri hawa watu wanakuwaje billionaires kwenye stock markets.. BTW Steinhardt ni billionaire pia.

Nisingependelea sana tunavobishana hivi mkuu.

Hata hivo nashukuru kwa offer yako.. nipp arusha sasahiv nikiibuka moshi tutachekiana hapo Hugos
 
Wakumbushe mkuu maisha haya kuna watanzania wengi bado tuko nyuma na hizi financial markets ilihali wenzetu wanatusua huko kupitia hii kitu
Mentality ya watu tayar ipo corrupted.. yaani kuleta tu uzi wa aina hii.. kuna tayar wanadhani eti nataka kuwatapeli akati sijawaomba hata kumi..

Yaani watu hawaangalii upande wa elimu wanaangalia pesa na kutapeliwa.. ni mentality za kimaskini
 
Juzi kuna mdau alileta thread ya Pi Coin kwa sasa ni bure kabisa. Ina zero value at the market ipo katika phase ya pili ya development. Unachotakiwa ni kuanza kumine mpaka itakapo ingia phase ya tatu ndio watasimamisha mining na kua na value. Ila watu watapotezea 5-10 years later tutaishia kusema ni utapeli tu kumbe wenzako waliinunua wakati ikiwa haina thamani.
Kuna cryptos sahiv zinafika zaidi ya 10,000 sio guarantee kuirukia yoyote.. hapo pia kuna akili lazima utumie mkuu.. ndo financial markets zilivo
 
Fanyia kazi mkuu.. financial markets inaweza kukupa pesa .. juzi tu january hisa za CRDB zilikuwa zinauzwa sh 90 leo hii zipo kwenye 190 hapo ni faida mara mbili ya ulichowekeza, kuna utapeli hapo?

Inategemea tu mtizamo wa mtu unavochukulia taarifa fulani
Unajua kinachotia hofu ni serikali yenyewe maana ishaona watu wamehamishia mizigo huko hiyo mzunguko ma bank hakuna na wao kama serikali hawapati faida yao
 
Back
Top Bottom