Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Acha blah blah

Fanya kazi kwa mikono,jenga vitu uza...hizi shortcuts za Financial Markets ni kamari kama zilivyo kamari zingine

Forex ndio kabisaaaa

Heri Bitcoin
Yaani inakuwa kamari kwa sababu huifahamu?

Forex hata banks wana trade utasemaje ni kamari? Benki kuu wenyewe wanafanya speculation.. utasemaje ni kamari?

Chief, we simamia upande unaouamini.. hata hivo sio kila mtu lazima awe investor kwenye financial markets.. hii ni league ya wachache..

Kwa faida yako tafuta kitabu cha Micharl Steinhardt kinaitwa No Bull: My life in and out of markets..
 
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.

Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.

Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.

Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.

View attachment 1652679

Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?

Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..

Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.
Bitcoin ni uwekezaji mzuri uwa najuta kwakuwa ni fursa iliyonipita aisee ila nitanunua kadhaa this time around
 
Elimu hailazimishwi kufundishwa mkuu hasa hzi financial education unless otherwise uwe na agenda zengine za kimasrahi binafsi...

Naona kabsa kama unatoa elimu ya uhamasishaji ktu ambacho kinaweza kikamuangamiza mtu/mali zake....

Acha mtu awe na inner force yeye mwenyewe ya kujifunza hayo mambo....
 
Ishu hiz za crypto na forex ni halali kabisa..tatzo linakuja kwa wanaodeal nazo ..weng matapel na wanatamaa...kuanzia madalal.brokers etc..hao ndo wanaopiga watu.wana generate mirad kwa mgongo wa hizi mambo halaf wanasepa na hela
 
Kwanini wanaokataa usiachane nao wewe ukaendelea kupiga hayo mahela?

It is really funny

mtu ashakuambia yeye hataki hizo maneno,cha ajabu unafungua nyuzi zaidi ya maelfu kumng'ang'aniza eti yeye ni fala anaacha kuchukua fursa awe tajiri kama wewe

Kama unapata hela sana,halafu jitu halitaki kuona au kushiriki,achana nalo na uzi usiweke hapa kabisa maana kama hawataki utajiri wewe unawasumbulia nini?

Ujue nyie watu ni very conflicted yaani

Kwanini usiwaache hawa wasiotaka chochote with you?

Achana nao,tena usiweke uzi wa kuwaonesha eti they are losing out wakati hawataki to begin with.

Ulishawaambia,wakakataa,kwanini usiachane nao waje waone tu wewe unakua Bill Gates wakikuuliza uwaambie si niliwaambia JF hamkusikia

Hufanyi hivyo unafurukutwa kila siku kuwaambia wasichotaka,na kama kina faida sana kingejiuza

Nigga,there is something wrong with you Forex people,very very wrong!
Soma uzi wangu uuelewe.. unatoka nje mada mkuu.. rudia maudhui ya uzi.. vinginevyo unajivunjia heshima yako hapa jukwaani..

Jaribu kuwa objective.. maana naona unanilisha mambo ambayo hata sijayazungumza kwenye uzi
 
Elimu hailazimishwi kufundishwa mkuu hasa hzi financial education unless otherwise uwe na agenda zengine za kimasrahi binafsi...

Naona kabsa kama unatoa elimu ya uhamasishaji ktu ambacho kinaweza kikamuangamiza mtu/mali zake....

Acha mtu awe na inner force yeye mwenyewe ya kujifunza hayo mambo....
Wapi nimelazimisha jamani?? Someni uzi muelewe.. kuna mahali nimesema ni lazima???
 
Hapana

Mimi nilifundishwa na wazazi wangu kwamba ukitaka kua tajiri na ukafanikiwa maishani na ukawa na furaha,jenga vitu kwa mikono na ubunifu wako ukatafuta wateja wakawauzia ukapata kipato ukaendesha kampuni yako ikafanikiwa..

Nilipofika shuleni,walimu na maprofessors wangu waliniambia fanya innovation,design,jenga,tafuta wateja uza pata fedha,tumia kwa uangalifu,flip again,maximize tena tena....

Hela za kwenda Bitcoin sizipati hewani,nazipata kwa kuendesha biashara yangu kwanza nipate hela ndio nije huko

Kuja huko bila kua na real business ni wizi,hatuwezi jenga taifa la kuuza bitcoins na forex tu,lazima tuzalishe kwa mikono,tushike tope,tugundue viwanda tutoe bidhaa tuuze kwa wateja,sio hizo blah blah

Na vitabu,siomi vitabu vya motvational speakers...nasoma real people with real experiences na hivi vya eti hatua 5 za kufanikiwa,and other blah blah
Kuna mengi huyafahamu.. Kwani kazi za financial markets ni nini?

Inawezekana hujui connection ya financial markets na hizo unazozisema real business.. tuanzie hapo.. nataka nikupe elimu
 
Unalazimisha

Watu wamekataa,achana nao,wewe kapige hela Uwe Bill Gates uje waambie si niliwaambia!

Wewe hufanyi hivyo,unafungua uzi zaidi ya Elfu Moja kuongea yale yale,shida ni kua unataka Watu for your own benefit kwenye chain za Forex hizo

Watu ndio commodity kwako,wala hakuna lolote hapo eti unawapenda watu sana eti unawapa SIRI,..nothing
Wapi nimetoa Siri, mbona unajishtukia mkuu.. soma uzi wangu vizuri.. tatizo unajua kuandika sana .. ila unaongea pumba sana.
 
Braza

Unasema unapenda sana watu wafanikiwe,wafate unachowaza kichwani mwako wewe

Watu washakataa,kwanini usiachane nao wewe ukaendelea kupiga hizo hela siku tukakuona Forbes ukaja kutuambia niliwaambia guys?

Ila unashindwa unarudi hapa kila siku na uzi mpya kutaka watu..

The fact is,hupendi watu kama unajinasibu hapa eti unasaidia watu wawe matajiri,no,unataka watu ndio mtaji wako waingine kwenye Forex through you au training or some shit like that..

Shida hapa ni watu wanatakiwa na sio eti kwamba unapenda sana wanadamu unataka kuwapa SIRI kubwa sana ya kua matajiri of which binafsi sio tajiri to begin with

Kua tajiri kwanza wewe tukuone,lets say,attach bank statement yako hapa tuione,na tukubaliane,tajiri tuanzie kiwango kama cha 100mil TZS kwenda mbele,chini ya hapo usi-attach

Haya twende kazi!
Wapi nimesema napenda watu wafanikiwe? Usinilishe maneno ambayo sijasema.

Nimekuuliza swali, unajua kazi za financial markets? Usizunguke mbuyu, nijibu nikuelimishe
 
Hapana

Mimi nilifundishwa na wazazi wangu kwamba ukitaka kua tajiri na ukafanikiwa maishani na ukawa na furaha,jenga vitu kwa mikono na ubunifu wako ukatafuta wateja wakawauzia ukapata kipato ukaendesha kampuni yako ikafanikiwa..

Nilipofika shuleni,walimu na maprofessors wangu waliniambia fanya innovation,design,jenga,tafuta wateja uza pata fedha,tumia kwa uangalifu,flip again,maximize tena tena....

Hela za kwenda Bitcoin sizipati hewani,nazipata kwa kuendesha biashara yangu kwanza nipate hela ndio nije huko

Kuja huko bila kua na real business ni wizi,hatuwezi jenga taifa la kuuza bitcoins na forex tu,lazima tuzalishe kwa mikono,tushike tope,tugundue viwanda tutoe bidhaa tuuze kwa wateja,sio hizo blah blah

Na vitabu,siomi vitabu vya motvational speakers...nasoma real people with real experiences na hivi vya eti hatua 5 za kufanikiwa,and other blah blah
Very primitive Ideas..
 
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..

Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi
Tuchukulie mfano kukawa na rush watu wengi wakawekeza huko. Unadhani nini kitatokea mkuu??
 
Back
Top Bottom