Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,349
Hahaaa,umejibu vzr sanaAtheist miyeyusho. Atheist gani unafunga ndoa kanisani?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahaaa,umejibu vzr sanaAtheist miyeyusho. Atheist gani unafunga ndoa kanisani?
Mazoea. Imani ya kikristo ni rohoni sana kuliko akili za kawaida. Ukikuta mtu hawezi kupractise imani yake hawezi ona matunda au matokeo ya imani yake na hapo ndipo haoni haja kwann aendelee kuiishi.Hivi kwanini atheists wengi wana asili ya Ukristo?
Sio mke tu, kwenye ujumbe kasema mpaka familia yake ni walokole hapo utabeba bila kuoa kanisani??Hakuna ndoa na mke unayemuita mlokole itafungwa nje ya utaratibu wa kanisa, kama unajua 'mke' ni nani!
Ila ukristo halisi sio dini, japo kuna dini ya kikristo.Watu wengi wanashindwa kuelewa naana ya neno dini,neno hili asili yake ni kiarabu,likiwa na maana ya "mfumo wa maisha",mfumo wowote utakaofuata,ima uwe sahihi au sio sahihi,ndio dini yako hiyo.
Kwani ukienda kanisani kwa ajili yake unapungukiwa na nini? Its just a sacrifice for the one you love, nenda then uendelee na huo atheist wako.Wakuu habari,
Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.
Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine
Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.
Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.
Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.
Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Wakuu habari,
Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.
Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine
Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.
Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.
Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.
Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Hii haraka ya mabinti kuolewa ni hatari, mpaka unakuta anaolewa na mtu aliye nje ya utaratibu wake wa maisha.Kwani ukienda kanisani kwa ajili yake unapungukiwa na nini? Its just a sacrifice for the one you love, nenda then uendelee na huo atheist wako.
Kwenda sio kuamini
Hii haraka ya mabinti kuolewa ni hatari, mpaka unakuta anaolewa na mtu aliye nje ya utaratibu wake wa maisha.
Yaani binti mwenyewe alishindwa chunguza jambo dogo kama hili na kulifahamu, Sasa hata yeye ni mwenda kanisani aonekane ni Mkristo wa kutimiza ratiba tu.
dini kitu kidogo sana kwenye maisha, mnaweza kuwa na dini tofauti ila mkawa na underststanding nzuri tu, wapo walio na dini sawa ila ni vita kila kukichaHii haraka ya mabinti kuolewa ni hatari, mpaka unakuta anaolewa na mtu aliye nje ya utaratibu wake wa maisha.
Yaani binti mwenyewe alishindwa chunguza jambo dogo kama hili na kulifahamu, Sasa hata yeye ni mwenda kanisani aonekane ni Mkristo wa kutimiza ratiba tu.
[emoji3][emoji3]wasomi uchwaraVijitu vingi JF vinajitangaza kuwa atheist au ndo wanajifanya wameshiba sayansi
Leo nimeelewa maana ya DNA asante sana! Nilikua nshindwaga kuelewa kabisa hasa ukizingatia hata hao wataalam wengi hawawez kuelezeakwenye science kuna concept ya evolution (evolusheni)
kila kiumbe kina maelekezo yanayoitwa DNA;
DNA, ni mpangilio maalumu wa vipande vidogo vya chemicali maalumu
kuna vipande vya aina nne T, A, G, na C
mlolongo wa vipande hivi (mfano TAGCG, au CGTA) utoa maelekezo kwa chembe chembe za mwili, aina gani ya nyama (protein) kuzalisha
kwa mfano; GGTA inaweza kutoa maelekezo ya jujenga kucha, wakati TAGC iantoa maelekezo ya kujenga ngozi
maelekezo haya, ama DNA, yana uwezo wa kubadilika; YANI CGTA inaweza ika CGT (A ikiondolewa)
mabadiliko yanaweza kusukumwa na mazingira, kuzaliana, au bila mpangilio
yakibadilika, basi aina ya nyama au protein itakayozalishwa itakuwa tofauti
binadamu wanatokana na mabailiko haya:
kiumbe cha kwanza kilikuwa na maelekezo machache kwani kiliishi baharini hakikua na mahitaji mengi
lakini kutokana na matakwa ya mazingira, baada na miaka ya mabillioni, kilifanya madiliko katika maelekezo yake (au DNA)
fikilia hili, ukiwa na viumbe billioni, na viumbe millioni moja wana uwezo wa kula viumbe wenzao ili kupata ngufu na kuishi; basi hawo viumbe watakuwa wengi kuliko wasiokuwa na uwezo huo
hivyo basi baada ya mda mrefu, wasikuwa na maelekezo hayo wakufa, na wale wenye hayo maelekezo watazaliana na kufanya kizazi kijacho kiwe na uwezo wa kula viumbwe wenzao
Ushahidi mzuri wa uwezo wa DNA (maelekezo) kuweza kubadilika ni kansa
kansa ni chembe chembe za ngozi kuweza kuzaliana bila kikomo
hili mara nyingi usabwabishwa na mionzi au kemikali inayoharibu maelekezo yanoiambia chembe chembe ife
Nimeelewa vizuri ndo maana hata mafuvu ya kwanza ya binadam ni makuuubwaa...binadamu wana miaka 900,000 (laki tisa)
dinia ina miaka biilion 4.543billion
viumbe vya duniani vina miaka 4.5
binadamu ni aina ya kiumbe kilichotokana na mabadiliko ya viumbe duniani tangia miaka 4.5 iliyopita
binadamu wametokana na evolution
ushahidi: ukichunguza DNA ya binadamu, kalibia asilimia 90% inafanana na viumbe vingine
Na kabla ujauliza kwanini hatuoni mabadiliko hayo sasa hivi: pointi mbili zingatia
1. mabadiliko makubwa yanachukua mabillioni ya miaka
2. ushawahi kujiuliza nyanya, ndizi, au mbwa wanatokea wapi; mbona polini hivi vitu havionekani
nyanya ni matunda poli yaliochaguliwa na binadamu, yakapandwa, mbegu zilichambuliwa na kuzalishwa kiasi kwamba mpaka leo, nyanya za kisasa hazifanani tena na nyanya asilia. Hili pia ni kwa mbwa na ndizi.
hili linadhihilisha kwamba ukiruhusu kitu kubadilika ndani ya miaka mingi, mbeleni hakitafanana na zamani
lieWatu wengi wanashindwa kuelewa naana ya neno dini,neno hili asili yake ni kiarabu,likiwa na maana ya "mfumo wa maisha",mfumo wowote utakaofuata,ima uwe sahihi au sio sahihi,ndio dini yako hiyo.
Sasa ulitaka wayahudi wathibitishe, mbona wewe unakataa kuwa hakuna Mungu, wakati upo hai, unakataa kutambua chanzo cha uhai wako, basi hata miungu wengine yaani Baba yako na Mama yako nao hawa kukuzaa kwa tendo la ndoa pia?Hizo habari za yesu ni myths tu, wayahudi wenyewe wanazikataa
"Spiritual" ni dhana ya kufikirika inatumika kama kinga pale hoja za mantiki zinaposhindwa kusimama kama uthibitisho
Nani kasema atheism ni kukataa hakuna mungu? Who the hell told you that shit?
Mkuu...wewe unaimani kama mm...ni kweli kabisa Mungu yupo.... lakini hizi dini ni kama zimekuja kutugawa tu....dini za zenyewe nyingi zililetwa na wakoloni.... Africa tulikuwa na imani zetu za asili... wazee wetu walizitumia kuomba vitu kama mvua....mambo yalienda vizuri tuNna kesi kama yako mkuu,
Ila naamini mungu yupo lkn siamini dhehebu lolote lile wala kitabu cha dini chochote hapa duniani...
Nna kesi kubwa sana na mke wangu ya kukataa kubatiza watoto, sijui tunaimalizaje naoana wakwe nao wanaleta habari zisizoeleweka.
Sasa ndio umeandika nini?Kwa hiyo wewe umeamua kukubali allah alikuumba kwa manii na sio tone la damu iliyo ganda?
Koran
96:2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu
15:26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura
19:67. Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?
16:4. Amemuumba mtu kwa tone la manii. Naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.