Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Hao wote wana matatizo ya akili, kama wanakubali simu imetengenezwa na kuwa hivi ilivyo, vipi Dunia na vinginevyo visiwe na muumbaji ? Hizi akili wanazitumia vibaya sana, ila bishara mbaya kwao.
Kuumba na kutengeneza ni maana mbili tofauti. Mfano; "Chungu kimeumbwa kwa udongo bali kimefinyangwa (kutengenezwa) na mfinyanzi"
 
Nimelopoka tu,sasa unaonaje sasa wewe ukathibitisha kinyume na nilicholopoka?
As long as umekiri kua umelopoka na kulopoka ni maneno ambayo haya make sense, sasa naanzaje kutumia fact kwenye utopolo kama huo?
 
Kuumba na kutengeneza ni maana mbili tofauti. Mfano; "Chungu kimeumbwa kwa udongo bali kimefinyangwa (kutengenezwa) na mfinyanzi"
Nani amesema ni maana sawa ? Msingi wa hoja yangu, ni kuwa hakuna kilichojiumba chenyewe wala kujitengeneza.

Hoja yako ni ipi, iliyo kupelekea "quote" maana hata kwa namna nilivyo yatumia maneno hayo nimeyatofautisha au hujaona hilo ?
 
Wakuu habari,

Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.

Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine

Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.

Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.

Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.

Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Atheist ni dini kama dini zingine, Dini ni vifungo vya imani. Napenda sana mtu anaye challenge dini but in one direction only, which is going toward Truth. When you find the Truth you stop believing cause then You know.

Sio kuchallange ubora wa imani ya dini fulani ikilinganishwa na ya kwako au kuhamia dini nyingine. To me its like your in the same prison, but resides in different Cells. The only thing will set you free is by finding the Truth, instead of believing in God, seek to know God, by pursuing knowledge of God and its creation, lead the path of Spirituality.

Badala ya kuwa Believer elevate yourself to high lebel, be a Seeker. Believer will die blind while seeker may die of light.

As for you brother, just be open to tell your wife that you two are of two different belief hence are living in different cells of the same level.
 
Screen shot ya Google? Google ni search engine sio source,weka reliable source inayoonyesha official kutoka kwenye hizo nchi,Google hata wewe unaweza ukaandika chochote na kupost.
Kama hujui kuna nchi ambazo zinatoa adhabu ya kifo kwa makosa ya kubadili Dini, Wala Sina haha ya kubishana na wewe, kajisomee Kwanza vizuri ndio uje
 
Askofu wa Atheists Ni nani, katiba yenu ipi?
Je mnaamini kuwa Mungu wa manabii yupo?
Swali la 2 muhimu sana. Kama hamuamini ninyi ni wapagani au watu wa fikra fulani.
Ni Kama wapagani, hatupo kwenye hizi dini kuu
 
Hujathibitisha mungu yupo
Swala la dini ni swala la kundi fulani lilioamua kuabudu KWA namna fulani,kwenye dini kuna viongozi
Aidha,utamkuta padri,mchungaji au shehe, hao ndo walimu wako wa dini,Ukiwa kwenye dini una haki ya kumdai kiongozi wako wa kiroho akupe uthibitisho kuwa Mungu yupo.

Lakini swala la kiroho (spiritualism) ni swala lako binafsi, halihusiani na dini, atayetakiwa kutafuta uthibitisho kuwa Mungu wako yupo ni wewe, kutaka watu wakutafutie Mungu wako wakuthibitishie hapo unakuwa unafeli na unaangukia kwenye category ya mtu confused asiyeweze kutofautisha Kati ya Kuwa RELIGIOUS na KUWA SPIRITUAL,

Ukiwa RELIGOUS unakuwa na mipaka ya kuhoji mambo ya kiroho ,huwezi kustep nje ya mafundisho,Ukiwa SPIRITUAL uwanja wako wa exploration ni mpana zaidi

SPIRITUALISM ni ongoing process ,kutafuta ukweli ,na unatafuta ukweli ukiexperience personally, ili uexperience lazima upractice,ujiexpose kwenye mazingira yatakayoenhance spiritual experience,

Anayetakiwa kutupa evidence ya uwepo wa Creator ni Creation, wewe ni evidence tosha kabisa

Bado nakazia swala la Kuthibisha kuwa Mungu wako yuko ni swala lako binafsi , si swala la kuwaambia watu wakuthibitishie,

Ukifika kwenye DENIAL Kuwa hayupo ina maana umedraw conclusion umeacha kutafuta, ni ya heri ukiulizwa useme SIJUI bado natafuta
 
As long as umekiri kua umelopoka na kulopoka ni maneno ambayo haya make sense, sasa naanzaje kutumia fact kwenye utopolo kama huo?
Poa haina shida acha ibaki hivyo kwa hicho nilicholopoka maadamu umeshindwa kuthibitisha kuwa nilicholopoka si cha kweli.
 
Hiyo ni fallacy of BANDWAGON APPROACH Watu kusema wanaamini mungu kwa hoja yoyote ile hakuthibitishi kwamba ni halali au imani hiyo ni ya kweli

Imani ingekua njia sahihi ya kuaminika kujua ukweli wa jambo basi kusingekua na imani zenye kutofuatiana kati ya dini na dini.

Na kila mungu anayeabudiwa na dini yoyote angekua ni wa kweli as long as wanaomuabudu wanatumia dhana ya "imani"

Imani ingekua njia ya ya uhakika kujua ukweli wa kitu basi leo hii dini ingekua moja yenye kuabudu mungu mmoja maana wote hao wangeweza kujua mungu gani ni sahihi apaswaye kuabudiwa kwasababu ya imani
Hebu nioneshe hapo niliposema imani ndio njia ya uhakika kujua ukweli? au hata niliposema kitu mfano na hicho?

Una kichwa kizito kuelewa,inabidi niwe naeleza kiurahisi zaidi ili hata mtoto mdogo aweze kuelewa maana humu mtu hujui unajadiliana na nani.
 
Poa haina shida acha ibaki hivyo kwa hicho nilicholopoka maadamu umeshindwa kuthibitisha kuwa nilicholopoka si cha kweli.
As long as umekiri mwenyewe kua umelopoka basi case closes
 
Hebu nioneshe hapo niliposema imani ndio njia ya uhakika kujua ukweli? au hata niliposema kitu mfano na hicho?

Una kichwa kizito kuelewa,inabidi niwe naeleza kiurahisi zaidi ili hata mtoto mdogo aweze kuelewa maana humu mtu hujui unajadiliana na nani.
Kwani wapi nimesema Tz mbongo umesema imani ndio njia ya uhakika?

Unaweza ukanipa nukuu hiyo kutoka kwenye post yangu?

Mimi imejenga hoja kulingana na fallacy uliyoiweka, unaogopa kusema unauthibitisho kwasababu ya kukwepa maswali magumu

Kusema kwamba huna uthibitisho wa mungu yupo halafu ukaja kusema una hakika kua mungu yupo kwa imani hiyo pia ni logical fallacy. Na nilichokiandika hapo ni challenge ya hiyo dhana potofu uliyoijenga
 
Swala la dini ni swala la kundi fulani lilioamua kuabudu KWA namna fulani,kwenye dini kuna viongozi
Aidha,utamkuta padri,mchungaji au shehe, hao ndo walimu wako wa dini,Ukiwa kwenye dini una haki ya kumdai kiongozi wako wa kiroho akupe uthibitisho kuwa Mungu yupo.

Lakini swala la kiroho (spiritualism) ni swala lako binafsi, halihusiani na dini, atayetakiwa kutafuta uthibitisho kuwa Mungu wako yupo ni wewe, kutaka watu wakutafutie Mungu wako wakuthibitishie hapo unakuwa unafeli na unaangukia kwenye category ya mtu confused asiyeweze kutofautisha Kati ya Kuwa RELIGIOUS na KUWA SPIRITUAL,

Ukiwa RELIGOUS unakuwa na mipaka ya kuhoji mambo ya kiroho ,huwezi kustep nje ya mafundisho,Ukiwa SPIRITUAL uwanja wako wa exploration ni mpana zaidi

SPIRITUALISM ni ongoing process ,kutafuta ukweli ,na unatafuta ukweli ukiexperience personally, ili uexperience lazima upractice,ujiexpose kwenye mazingira yatakayoenhance spiritual experience,

Anayetakiwa kutupa evidence ya uwepo wa Creator ni Creation, wewe ni evidence tosha kabisa

Bado nakazia swala la Kuthibisha kuwa Mungu wako yuko ni swala lako binafsi , si swala la kuwaambia watu wakuthibitishie,

Ukifika kwenye DENIAL Kuwa hayupo ina maana umedraw conclusion umeacha kutafuta, ni ya heri ukiulizwa useme SIJUI bado natafuta
Unaitwa mchungaji nani? Nimeyapenda mahubiri yako

Ukiachana na hayo mahubiri unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Nikuthibitishie ili iweje,hiyo sio kazi yangu ,hiyo ni kazi yako wewe kujithibitishia na kumtafuta, ukienda laboratory kumtafuta ni juu yako ukirejea philosophy kumtafuta ni juu yako pia ,ukiamua kusubiri uthibitishiwe ni juu yako pia ,sina uchungaji wowote wala uaskofu ,I am as dumb as you .
 
So kiufupi huwezi kuthibitisha mungu yupo?
 
Wakuu habari,

Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.

Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine

Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.

Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.

Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.

Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Kama uliweza kumshawishi hadi akabaki mtupu mkiwa wawili unashindwaje kumwambia hilo ? Mbona unajishushia hadhi kizembe zembe?
 
Unaitwa mchungaji nani? Nimeyapenda mahubiri yako

Ukiachana na hayo mahubiri unaweza kuthibitisha mungu yupo?
@66kv sio mchungaji, mchungaji ni religious yeye anaongelea Spiritual. Religion ina mipaka huruhusiwi kuhoji zaidi ya mipaka ya imani. SCAR Mungu yuko ni wajibu wako kuthibitisha, unaweza kusaidiwa mbinu na kuonyeshwa njia ya kuweza kuthibisha sio kuthibitishiwa. Hata Yesu aliwaonyesha wanafunzi wake njia ya Uzima wa milele hakupaa na wanafunzi wake kuwapeleka mbingini akawathibishie bila shaka kuwa Mungu yupo. Nafsi yako ndio inapaswa kumkiri.
 
Hizo habari za yesu ni myths tu, wayahudi wenyewe wanazikataa

"Spiritual" ni dhana ya kufikirika inatumika kama kinga pale hoja za mantiki zinaposhindwa kusimama kama uthibitisho
 
Back
Top Bottom