Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Vipi Mkuu tupe.mrejesho...ulimwambiaje mlokole wako kuwa huamini katika Mungu?
 
Usijushughulishe na jambo lolote linalohusu dini , jitahidi kuwafundisha watoto wako maadili mema na sio mambo ya kilokole. Kama ana akili ya kutosha atakuelewa. Marafiki zako zingatia kuwaeleza ndoa nzuri ni ya serikali.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom