Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,708
- 3,026
Imani yako hiyo.Hapo unapo jiuiluza aliumbwa na nani ndio anapo kushinda uelewa anabaki kua Mungu
Kwa ufupi hauna jibu.
Imani yako hiyo.Hapo unapo jiuiluza aliumbwa na nani ndio anapo kushinda uelewa anabaki kua Mungu
Unachokieleza hakiingii akilini kwa sababu kama hakuna kisicho na chanzo au mwanzo basi isingewezekana kupatikana chochote.Huna majibu.
Acha ubishi...
Ni haki yako kuamini uwepo wa Mungu.
Hii mada ni pana sana, na mwisho wake huwa hakuna mshindi.
Kama kweli kila kitu kina mwanzo wake, haina ubishi kwamba 'mungu tunayemzunguzia ana mwanzo pia.
Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.
Kama hakuna aliyeviunda, je..? Hivyo vitu vimetoka wapi.
Tunarudi
Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.
Hiyo ndio chain halisi, hakuna majibu.
Kila mtu aendelee kuamini anacho kiamini.
Sijasema una imani katika dini ila una amini Mungu yupoMimi sio mkristo wala muislam, vitabu vyao naona ni fabrication tupu zilizotumika ku control watu
Tufanye kua jukumu letu ni kujua tuliumbwa na Mungu issue ya yeye aliumbwa na nani inamhusu yeye .Huna majibu.
Acha ubishi...
Ni haki yako kuamini uwepo wa Mungu.
Hii mada ni pana sana, na mwisho wake huwa hakuna mshindi.
Kama kweli kila kitu kina mwanzo wake, haina ubishi kwamba 'mungu tunayemzunguzia ana mwanzo pia.
Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.
Kama hakuna aliyeviunda, je..? Hivyo vitu vimetoka wapi.
Tunarudi
Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.
Hiyo ndio chain halisi, hakuna majibu.
Kila mtu aendelee kuamini anacho kiamini.
binadamu wana miaka 900,000 (laki tisa)Binadamu walitoka wap?
Nimekwambia kwa mtoto mdogo hatuwezi kusema anaamini au haamini,sasa ukisema ana ukosefu wa imani halafu tumuweke kundi moja na wewe ambae umechagua kutokuamini sidhani kama ni sahihi.Kama hana utambuzi utasema ana imani ya uwepo wa mungu?
Imani ya uwepo wa mungu ni mpaka ufundishwe lakini ukosefu wa imani haufundishwi
Atheism ni lack of beliefs so mtoto hana utambuzi hivyo ana lack of belief
Kuna kusema iko njia sahihi ya mfumo wa maisha(dini,) na ipo njia isio sahihi ya mfumo wa maisha(dini).Mfumo wowote wa maisha ndio dini.Yap huo ni mfumo wa maisha na sio dini
Elements za dini unazijua?
Kwa mujibu wa uislam dini ni moja tu uislam je unakubaliana na hoja hiyo?
Kwa mujibu wa uislam wasio na dini wote ni makafir
Duniani kuna maelfu ya dini na maelfu ya miungu, so kwa mujibu wako dini hizo zote zinatambulika kwenye uislam kwasababu?
Hauwezi kusema wewe na nani?Nimekwambia kwa mtoto mdogo hatuwezi kusema anaamini au haamini,sasa ukisema ana ukosefu wa imani halafu tumuweke kundi moja na wewe ambae umechagua kutokuamini sidhani kama ni sahihi.
Hii labda iwe kwa muktadha wa madrasa naweza nisikupinge maana huko hufunza vingi vya kijinga.Kuna kusema iko njia sahihi ya mfumo wa maisha(dini,) na ipo njia isio sahihi ya mfumo wa maisha(dini).Mfumo wowote wa maisha ndio dini.
Wangapi wameacha uislamu,na tunaishi nao,umeona wamepewa adhabu gani?Kuacha uislamu sio lazima utamke nineacha uislamu,ni pale unapokwenda kinyume na mafundisho ya uislamu,kwa mfano uislamu umeamrisha kuswali mara tano kwa siku,halafu yupo ambaye haswali hizo swala tano,na ana jina la kiislamu,huyu sio muislamu,hawa wapo wengi tu,hata huko arabuni wapo,uliona walipewa adhabu gani.Okay Basi tufumbie macho waislam wanayoyafanya huko Uarabuni ya kuua waislam wengine wanaouacha uislam.
Turudi kwenye uislam wenyewe,Kwani uislam unasema adhabu ya mtu anayeacha uislam ni nini?
Nani ulimuona kauliwa kwa kuachs uislamu.katika uislamu ukiacha kuswali swala tano,sio muislamu tena,na wapo wengi tu hawaswali swala tano,na wanatoka katika familia za kiislamu,hata huko arabuni,hapa Afrika,uliona nani kapewa adhabu.lakini ukibadili dini tunakuua..Religion of peace but if you dont convert we kill you
Dah! Wanawake tunaolewaga kwa kumwamini mwanaume kwelikweli. Hapo hata ukimwambia hatakubaliana na wewe sababu tayari alishakuamini..... zaidi zaidi msuguano wa kukulazimisha kwenda kanisani utaongezeka na msipokua makini ndoa itavunjikaWakuu habari,
Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.
Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine
Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.
Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.
Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.
Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Hujanielewa.kama hakuna shida ya ushahidi, basi mi ninaweza kusema kwamba mungu hayupo ua mungu ni mchaga na nikawa sahihi
kwani una ushahidi gani mi sipo sahihi?
bila kuwepo na kipimo chochote inafanya kila kinachosewa kuwa sahihi
Huko kusema Mungu hayupo,ndio ushahidi wa uwepo wa Mungu,kwasababu huwezi kusema hakuna ,ila ni kuweko kwake,ndio kukawa hakuna,kama hayupo ,kusingekuwako na hayupo,il yupo,ndio ikawepo hayupo.kama hakuna shida ya ushahidi, basi mi ninaweza kusema kwamba mungu hayupo ua mungu ni mchaga na nikawa sahihi
kwani una ushahidi gani mi sipo sahihi?
bila kuwepo na kipimo chochote inafanya kila kinachosewa kuwa sahihi
Ndoa imefungwa bila kuhusika imani na huyo mwanamke akaona ni sawa hakuna shida(sijajua mafundisho ya imani ya huyo mwanamke inazungumziaje suala hili) sasa iweje tena ndoa ivunjike kisa imani hali ya kuwa hazikuhusika katika kuwaonganisha wao wawili na kuwa wanandoa?Dah! Wanawake tunaolewaga kwa kumwamini mwanaume kwelikweli. Hapo hata ukimwambia hatakubaliana na wewe sababu tayari alishakuamini..... zaidi zaidi msuguano wa kukulazimisha kwenda kanisani utaongezeka na msipokua makini ndoa itavunjika
Ila ili uwe huru, tafuta wakati mzuri, kaa na mke wako, mwambie kila kitu na ukubaliane nae kwamba ataendelea kwenda kanisani na watoto.
Na kama ningekua mimi ndio mke wako ningekubaliana na wewe na baada ya hapo ningekuombea kwa sala na kufunga, kwa malimbuko, zaka na sadaka hadi ingefika siku ungeniambia tuanze kwenda wote kanisani
we jamaa unachukulia JF imejaa vichwa panzi eti?Kama ni ivo Basi hakuna muislam duniani maana mtu akinywa pombe ameacha uislam,akizini ameacha uislam,akiiba ameacha uislam asiposwali asubuhi ameacha uislam.Wangapi wameacha uislamu,na tunaishi nao,umeona wamepewa adhabu gani?Kuacha uislamu sio lazima utamke nineacha uislamu,ni pale unapokwenda kinyume na mafundisho ya uislamu,kwa mfano uislamu umeamrisha kuswali mara tano kwa siku,halafu yupo ambaye haswali hizo swala tano,na ana jina la kiislamu,huyu sio muislamu,hawa wapo wengi tu,hata huko arabuni wapo,uliona walipewa adhabu gani.
inategemea na madai ya mwenye diniHujanielewa.
Nachouliza ni kwamba una idea ya jinsi gani ulivyo huo ushahidi unaotaka? Ushahidi wa kuwepo Mungu unafananaje au unatakiwa uweje? Mfano labda mie nikitaka mtu anipe ushahidi kuwa kweli ameoa basi kwa haraka lazima nitegemee hata kuona cheti cha ndoa,sasa mimi sijajua mfano wewe unapotaka ushahidi wa uwepo wa Mungu ni kipi ambacho unakitegemea kukipata?
Kwanza unajitengenezea Sheria then unaniulizia nani aliyeivunja akaadhibiwa.Nani ulimuona kauliwa kwa kuachs uislamu.katika uislamu ukiacha kuswali swala tano,sio muislamu tena,na wapo wengi tu hawaswali swala tano,na wanatoka katika familia za kiislamu,hata huko arabuni,hapa Afrika,uliona nani kapewa adhabu.