Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Kwani mtu yuko kwenye specie ya mdudu?

Mi sijakuambia habari za kuvua nguo, nimekuambia kukaa uchi. Na hakuna asiyekaa uchi
Ni wapi huko ambako watu wamekaa uchi? nitajie nikawaone.
 
Kwahiyo mtu akisema aada ya kushirikiana na akili yake vizuri amejua kuran ni kitabu cha uongo na sio cha mungu utakubaliana naye kwasababu kashirikiana na akili yake kutafuta ukweli?
Kila mtu ana namna yake ya kuwaza hatuwazi sawa.

Kwa hivyo ushasema ameshirikiana na akili yake vizuri sio kashirikiana na akili yangu.

Hiyo itabaki akili yake siwezi kukubaliana nayo.
 
Ni wapi huko ambako watu wamekaa uchi? nitajie nikawaone.
Wapi kwa minajili ipi?

Nimekuambia hakuna asiyekaa uchi hata babako anakaa uchi, sa ukitaka kufanya investigation anzia hapo
 
Wapi kwa minajili ipi?

Nimekuambia hakuna asiyekaa uchi hata babako anakaa uchi, sa ukitaka kufanya investigation anzia hapo
Hapa nilipo sasa hivi kila mtu kavaa nguo hakuna aliye uchi ndio maana nakuuliza ni wapi huko ambako watu wako uchi?
 
Kila mtu ana namna yake ya kuwaza hatuwazi sawa.

Kwa hivyo ushasema ameshirikiana na akili yake vizuri sio kashirikiana na akili yangu.

Hiyo itabaki akili yake siwezi kukubaliana nayo.
Kwa maana hiyo kushirikiana na akili yako hakumaanishi kwamba jibu utalopata ni sahihi?

Maana mchizi kafikia hitimisho kua kuran ni kitabu cha uongo ila huonekani kukubaliana na perception yake japo kua katumia mbinu kama yako

Mpaka hapa tushajua kwamba kanuni ya kushirikiana na akili yako ina weakness haiwezi ikatoa majibu sahihi na sio kigezo cha kuufikia ukweli

Sasa unahakika gani kwamba hata huo mtazamo wako ulioupata baada ya kushirikiana na akili yako sio dhana potofu tu ambayo wewe unaiona ni kweli?
 
Hapa nilipo sasa hivi kila mtu kavaa nguo hakuna aliye uchi ndio maana nakuuliza ni wapi huko ambako watu wako uchi?
Kwa hiyo ulitaka wakae uchi mbele yako?

Kama ndio hivyo endelea kuwafata hadi wakienda kuoga
 
Nenda Afghanistan kawaambie hivyo Taliban kama hujarudishwa hapa ukiwa mzoga.
Mbona Sisi watu hatujitambui?? Si amesema hapa hapa bongo kwamba hakuna kulazimishana katika dini, mbona hajawa mzoga???
Afghanistan ndio nini sasa katika uislam?? Hao Taliban ndio nani??? Acheni kulishwa matango pori kuhusu Islam
 
Mkuu mbona unalazimisha ligi tu, ni kitu chepesi kwa ufupi utaacha kufuata yale mafundisho na maelekezo yote ya dini, na hili huwezi fanya kwa kificho kama zinnah (zinaa)
Ndio tunarudi kulekule mkuu kwamba hata ambao bado ni waumini huacha hayo mafundisho maana sio kwamba waislamu wote hufuata mafundisho kwa ukamilifu pamoja na kwamba hawajabadili dini,wapo watu baada ya kutajirika wameacha kufuata mafundisho ya dini yao pamoja na kuwa bado ni waumini wa hiyo dini.

Ila tuishie hapo mkuu maana ushaanza kuniona mie mbishi,haya nimekubali wewe upo sahihi.
 
Atheist miyeyusho. Atheist gani unafunga ndoa kanisani?
Ni mbinu mkuu, alivutiwa na mzigo akaamua ku pretend. UKWELI NI MCHUNGU JIRANI NA NYUMBANI KWETU KUNA KISANGA KAMA HIKI KIMEJITOKEZA. Jamaa alikuwa mkatoriki lakini sijawahi muona akienda kanisani ila watoto wake ambao ni wakubwa wanaendaga. Alimu approach demu muislamu akajaa mazima akaenda kubadili dini akaoa after ndoa jamaa hakuwa muislamu tena. MWANAMKE ANAULIZA MBONA HATA KWENDA MSIKITINI HAUTAKI AKASEMA MIMI SIO MUISLAMU, KILIITISHWA MPAKA KIKAO LAKINI WAPI
 
Naamini Allah yupo..Kaumba mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo.. Kaniumba Mimi kutoka kwenye tone la manii

Kasimamisha mbingu bila nguzo.. jua linawaka na usiku Kuna mwezi...hizo zote Ni DALILI KWA WENYE KUTAFAKARI
Kwa hiyo wewe umeamua kukubali allah alikuumba kwa manii na sio tone la damu iliyo ganda?
Koran
96:2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu
15:26.
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura
19:67. Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?
16:4. Amemuumba mtu kwa tone la manii. Naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.
 
Usidanganye watu,katika uiskamu hakuna kulazimishana chochote,kila kitu ni hiyari,ukiingia katika uislamu.
Ni kweli ata allah amethibitisha hilo
Koran
9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
 
Unaona sasa dogo unarudi kulekule kwenye kuvua nguo.
Who cares?

Point ni kukaa uchi (na hiyo ndio tamanio lako) haijalishi ni kwa njia gani imetumika kukaa uchi, as long as yuko uchi basi anakua kakaa uchi
 
Who cares?

Point ni kukaa uchi (na hiyo ndio tamanio lako) haijalishi ni kwa njia gani imetumika kukaa uchi, as long as yuko uchi basi anakua kakaa uchi
Hapana hiyo sio point yangu,nilishakwambia kuwa sizungumzii kuwa uchi kwa kuvua nguo kwa sababu maalumu kama kuoga hata kujamiana.
 
Hapana hiyo sio point yangu,nilishakwambia kuwa sizungumzii kuwa uchi kwa kuvua nguo kwa sababu maalumu kama kuoga hata kujamiana.
Who cares?

Point ni kukaa uchi, sio namna gani ya kukaa uchi. Unataka kusema kuna aina fulani ya ukaaji uchi ambayo mtu akikaa anakua hajakaa uchi?
 
Back
Top Bottom