Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Kwani wapi nimesema Tz mbongo umesema imani ndio njia ya uhakika?

Unaweza ukanipa nukuu hiyo kutoka kwenye post yangu?

Mimi imejenga hoja kulingana na fallacy uliyoiweka, unaogopa kusema unauthibitisho kwasababu ya kukwepa maswali magumu

Kusema kwamba huna uthibitisho wa mungu yupo halafu ukaja kusema una hakika kua mungu yupo kwa imani hiyo pia ni logical fallacy. Na nilichokiandika hapo ni challenge ya hiyo dhana potofu uliyoijenga
Toka nianze kujadili hizi mada za uwepo wa Mungu humu Jf ni miaka kadhaa sasa na sijawahi kusema nina uthibitisho,sasa wewe leo unakuja unaniambia et naogopa kusema nina uthibitisho et naogopa maswali magumu wewe una maswali magumu gani ya kuniuliza mimi? Kunielewa tu humu shida ndio utaweza kuniuliza mie maswali magumu? yani wewe mfuata mkumbo tu uniulize mimi maswali magumu?

Nimekwambia hali ya mtu kuwa na uhakika katika jambo haina maana hilo jambo ni la kweli au la uongo,sasa wewe dogo unataka niseme kwamba naamini Mungu yupo ila nina mashaka na uwepo wake,sasa hapo nina haja gani ya kuamini na sijui hata kama unaelewa kuamini ni nini.
 
Nani mfuata mkumbo kati ya mimi na wewe?

Mimi nimezaliwa atheist umri ulipoanza kusonga wazazi wakanilazimisha niwafate mkumbo kwa imani yao, lakini nilipofikia age fulani nikaanza kufanya utafiti wa kwenye huu mkumbo ambao wazazi wangu walinilazimisha niufate. Baada ya kugundua huo mkumbo umejaa dhana ya uongo nikairudia asili yangu (atheist)

Sasa we umefuata mkumbo wa wazazi wako mpaka leo na kuiacha asili yako uliyozaliwa nayo (atheist) halafu unakuja kuniita mimi mfata mkumbo, hivi utakua unaakili kweli?
 
Watu tunzaliwa asili yetu tukiwa uchi,hatuna elimu na mambo mfano wa hayo ila wazazi ndio walituvisha nguo na kutupa elimu na kutufunza mambo mengi tu kutoka kwa wazizi na jamii kwa ujumla,je unataka haya yote yaache na kurudi kwenye asili yetu ambayo hatukuwa hata na nguo za kuvaa?

Ulipozaliwa wewe haukuwa ukikataa kuwa hakuna Mungu bali ulikuwa huna uelewa,sasa hebu watizame hawa atheists(na wewe ukiwemo) na misimamo yao ndio useme walikuwa hivyo toka walipozaliwa?

Wewe kuwa atheist ni sawa tu na mtu aliyechagua kuacha ukristo na kuwa muislamu au mtu kuacha dini na kuchagua kutokuwa na dini ila anaamini Mungu tu,huo utafiti uliyokuwa unafanya ndio umekupa matokeo ya kwamba atheism ndio njia sahihi au ulikosa majibu kwenye utafiti wako ndio ukaona bora tu uchague kuungana na atheists?
 
Unaitwa mchungaji nani? Nimeyapenda mahubiri yako

Ukiachana na hayo mahubiri unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Soma kwa makini maana amekuthibitishia kwa kauli hii Anayetakiwa kutupa evidence ya uwepo wa Creator ni Creation, wewe ni evidence tosha kabisa .
 
Sasa Kama hujafunga naye ndoa kanisani atakuwaje mkeo huyo?
 
Watu tunzaliwa asili yetu tukiwa uchi,hatuna elimu na mambo mfano wa hayo ila wazazi ndio walituvisha nguo na kutupa elimu na kutufunza mambo mengi tu kutoka kwa wazizi na jamii kwa ujumla,je unataka haya yote yaache na kurudi kwenye asili yetu ambayo hatukuwa hata na nguo za kuvaa?
Hizi ndio akili za faithfoolers, so unataka kujenga hoja kua asiyekua uchi ndio atheist? So kwa mantiki hiyo hata wewe kumbe ni atheist

atheism haifungamanj na habari za kua uchi au kuvaa nguo. Atheism ni lack of belief usikatae asili yako
Ulipozaliwa wewe haukuwa ukikataa kuwa hakuna Mungu
Nani kasema atheism ni kukataa hakuna mungu? Who the hell told you that shit?
bali ulikuwa huna uelewa
That's how we call it lack of beliefs
,sasa hebu watizame hawa atheists(na wewe ukiwemo) na misimamo yao ndio useme walikuwa hivyo toka walipozaliwa?
Utofauti ni umri tu lakini bado tuko vile vile tuna lack of belief. Lakini wewe unautofauti mkubwa maana umeisaliti asili yako kwa kufata mkumbo kwa wazazi wako
Wewe kuwa atheist ni sawa tu na mtu aliyechagua kuacha ukristo na kuwa muislamu au mtu kuacha dini na kuchagua kutokuwa na dini ila anaamini Mungu tu
Aliyeanzisha hizi dini unahabari kua naye alizaliwa akiwa atheist?

Uislam na ukristo ni mfumo wa kisaliti ulioanzishwa kuwafanya watu waisaliti asili yao (atheism)

,huo utafiti uliyokuwa unafanya ndio umekupa matokeo ya kwamba atheism ndio njia sahihi au ulikosa majibu kwenye utafiti wako ndio ukaona bora tu uchague kuungana na atheists?
Mi sijaungana na atheists bali nimeirudia asili yangu, aliyeungana na theists ni wewe baada ya kufata mkumbo kwa wazazi kwa kuisaliti asili yako (atheism) uliyozaliwa nayo
 
Soma kwa makini maana amekuthibitishia kwa kauli hii Anayetakiwa kutupa evidence ya uwepo wa Creator ni Creation, wewe ni evidence tosha kabisa .
Hayo ni mahubiri na hapa sio madhabahuni, hajathibitisha mungu yupo anaanza kurukia habari nyingine ambazo hawezi kuzithibitisha.

Mimi nimezaliwa na wazazi wangu sasa kuniambia huo upupu kua creation ndio ya mimi ndio uthibitisho kua mungu yupo hiyo ni fallacy

Otherwise mungu hapo wawe wazazi wangu, kama we unaweza kumsaidia kuthibitisha tafadhali nipe huo uthibitisho
 
Hizi ndio akili za faithfoolers, so unataka kujenga hoja kua asiyekua uchi ndio atheist? So kwa mantiki hiyo hata wewe kumbe ni atheist

atheism haifungamanj na habari za kua uchi au kuvaa nguo. Atheism ni lack of belief usikatae asili yako

Nani kasema atheism ni kukataa hakuna mungu? Who the hell told you that shit?

That's how we call it lack of beliefs

Utofauti ni umri tu lakini bado tuko vile vile tuna lack of belief. Lakini wewe unautofauti mkubwa maana umeisaliti asili yako kwa kufata mkumbo kwa wazazi wako

Aliyeanzisha hizi dini unahabari kua naye alizaliwa akiwa atheist?

Uislam na ukristo ni mfumo wa kisaliti ulioanzishwa kuwafanya watu waisaliti asili yao (atheism)

Mi sijaungana na atheists bali nimeirudia asili yangu, aliyeungana na theists ni wewe baada ya kufata mkumbo kwa wazazi kwa kuisaliti asili yako (atheism) uliyozaliwa nayo
Dogo kuelewa kwako ni kugumu sana.

Narudia tena kuwa ulipokuwa mdogo haukuwa na uelewa na na ndio maana mtoto hawajibiki kwa lolote,sasa kama ile hali ya kutokuwa na uelewa unaita ndio asili basi kwanini umeamua kuchagua hilo jambo moja tu la lack of belief?

Mfano watoto wote wanazaliwa uchi hiyo ndio asili ila wewe unavaa nguo haupo uchi,sasa kwanini hukuchagua kurudia asili yako hiyo ya kuwa uchi?
 
Ukishakua na uelewa utakua bado na lack of beliefs?
Mfano watoto wote wanazaliwa uchi hiyo ndio asili ila wewe unavaa nguo haupo uchi,sasa kwanini hukuchagua kurudia asili yako hiyo ya kuwa uchi?
Kwani mtoto kuzaliwa akiwa na lack of belief sio asili?
 
Ndio unijibu sasa kwanini hukai uchi kama asili yako?
Hakuna asili ya kukaa uchi, ila kuna asili ya mtu kuzaliwa akiwa uchi.

Kukaa uchi sio asili maana hata wewe huwezi ikapita siku bila kukaa uchi eidha kwa kuoga au kulala au sex nk, kwa hiyo mpaka hapo hoja yako ni invalid
 
Mkuu achana na huo u-atheists ,Soma biblia Kama Una mlengo wa ukristo ina nguvu Sana , ila pia dini ya mkeo na yenyewe miyeyusho Tu , ulokole hamna kitu , watakukomba hela yote af utakuwa kama kondooo
Hapa sasa ndiyo shida. Tatizo hata nyie wenyewe watu dini hamkubaliani.
 
uislamu unazitambua dini zingine, ambazo zimejumuishwa na kuitwa "dini za kinasara".. kwa mujibu wa uislamu ni kua " uislamu ni dini ya kweli" na dini ya haki kuliko zote zingine.
Kwa mujibu wa Nick girland dunia iliumbwa na nick girland ndani ya siku saba.
 
Tembelea channel ya Davistar Mata
Youtube uone mikasa ya watu hasa ya kichawi na jinsi walivyookolewa labda utaamini uwepo wa Mungu na Mungu ana nguvu kiasi gani.

Ukweli ni kwamba Mungu yupo na shetani yupo pia.Sisi wanadamu ndio uwanja wa mapambano baina ya hizi nguvu mbili. Mawazo uliyonayo kuwa hakuna dini(Mungu) si yako bali ni ufahamu wa kipepo ndo umekufunga. Usichukulie poa
Hizo story za you tube umezithibitisha kuwa ni kweli zilitokea na wala siyo hadithi za kutunga?
 
Hakuna asili ya kukaa uchi, ila kuna asili ya mtu kuzaliwa akiwa uchi.

Kukaa uchi sio asili maana hata wewe huwezi ikapita siku bila kukaa uchi eidha kwa kuoga au kulala au sex nk, kwa hiyo mpaka hapo hoja yako ni invalid
Sizungumzii kuvua nguo na kuwa uchi kwa sababu maalumu kama hiyo kuoga au kusex bali nazungumzia kuwa uchi kwa kuachana na kuvaa nguo kabisa,kama ambavyo ulizaliwa uchi bila nguo na wazazi ndio waliyokuwa wakikuvalisha nguo sasa ndio nauliza kwanini usirudie asili yako ya kuwa uchi kuwa bila nguo kama ulivyorudia asili yako ya kuwa na lack of belief?
 
Hayo ni mahubiri na hapa sio madhabahuni, hajathibitisha mungu yupo anaanza kurukia habari nyingine ambazo hawezi kuzithibitisha.

Mimi nimezaliwa na wazazi wangu sasa kuniambia huo upupu kua creation ndio ya mimi ndio uthibitisho kua mungu yupo hiyo ni fallacy

Otherwise mungu hapo wawe wazazi wangu, kama we unaweza kumsaidia kuthibitisha tafadhali nipe huo uthibitisho
😂😂😂😂😂
Ipo nguvu ya KIMUNGU katika Viumbe, nguvu hiyo inazungumza Kama nafsi mbili zenye kukinzana katika kunena.

Hiyo nguvu huzungumza katika kauli za kiumbe hai huyo.

Kwa kuwa nguvu hiyo huwa Kama nafsi mbili.
I/ Nafsi ya kwanza Ni dhaifu na huwa na shauri jema la mazungumzo.
II/Nafsi ya pili Ni Imara sana, ina nguvu na Haina shauri jema.

Baadhi yetu huita Nafsi.
Wahaya huita SHANGAZI MTIMA.

Kiukweli Hakuna kiungo Cha binadamu kinachoweza kuzalisha maneno tofauti na ULIMI

Sasa Nini huwa kinazingumza ndani ya mwili wa binadamu wakati huo huo binadamu huyo anazungumza na binadamu mwingine?

Na nini kinazungumza wakati binadamu anapoota usiku?
Ikiwa ndoto hubashiri hali fulani za binadamu huyo.

Ushahidi huu huonesha kuwa Mazungumzo ya binadamu huanzia sehemu ya ndani ya mwili zaidi na sio mdomoni pekee.

Ushahidi mwingine Ni kuwepo kwa matukio ambayo binadamu Hana uwezo kuyajua juu ya uwepo wake, utendaji Wala mwisho wake.

✓Uwepo wa Sayari na nyota.
✓Uwepo wa muda uliopo mbele au nyuma ya Dunia ya kawaida (Time travelling)
✓Ni Kweli Sayari huzunguka lakini nini husababisha mzunguko huo na utakoma lini.
✓Kifo Ni nini na ipi asili yake, kwa nini Kila kitu kinakufa (Hata hii smartphone yangu), upi utendaji wake, upi mwisho wa kifo.
✓Hivi unafahamu kitovu Cha ngozi ya binadamu na mfumo tendaji wa ukuaji wake. Na unafahamu kuwa ukuaji wa ngozi haufanani katika mwili wa Binadamu.

Mambo Ni mengi Sana.
 
Back
Top Bottom