Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Binadamu alitoka wapi?
kwenye science kuna concept ya evolution (evolusheni)

kila kiumbe kina maelekezo yanayoitwa DNA;
DNA, ni mpangilio maalumu wa vipande vidogo vya chemicali maalumu
kuna vipande vya aina nne T, A, G, na C
mlolongo wa vipande hivi (mfano TAGCG, au CGTA) utoa maelekezo kwa chembe chembe za mwili, aina gani ya nyama (protein) kuzalisha
kwa mfano; GGTA inaweza kutoa maelekezo ya jujenga kucha, wakati TAGC iantoa maelekezo ya kujenga ngozi

maelekezo haya, ama DNA, yana uwezo wa kubadilika; YANI CGTA inaweza ika CGT (A ikiondolewa)
mabadiliko yanaweza kusukumwa na mazingira, kuzaliana, au bila mpangilio
yakibadilika, basi aina ya nyama au protein itakayozalishwa itakuwa tofauti

binadamu wanatokana na mabailiko haya:
kiumbe cha kwanza kilikuwa na maelekezo machache kwani kiliishi baharini hakikua na mahitaji mengi
lakini kutokana na matakwa ya mazingira, baada na miaka ya mabillioni, kilifanya madiliko katika maelekezo yake (au DNA)

fikilia hili, ukiwa na viumbe billioni, na viumbe millioni moja wana uwezo wa kula viumbe wenzao ili kupata ngufu na kuishi; basi hawo viumbe watakuwa wengi kuliko wasiokuwa na uwezo huo
hivyo basi baada ya mda mrefu, wasikuwa na maelekezo hayo wakufa, na wale wenye hayo maelekezo watazaliana na kufanya kizazi kijacho kiwe na uwezo wa kula viumbwe wenzao

Ushahidi mzuri wa uwezo wa DNA (maelekezo) kuweza kubadilika ni kansa
kansa ni chembe chembe za ngozi kuweza kuzaliana bila kikomo
hili mara nyingi usabwabishwa na mionzi au kemikali inayoharibu maelekezo yanoiambia chembe chembe ife
 
Nani alichimba wakat hakuna viumbe? Acha uongo bana
wew ujaelewa
binadamu walichimba, wakapima mabaki ya viumbe, wakapima umri, wakakuta umri wa miaka billioni 3.5

ni kama mafuvu, ila ni microbiology
 
Mahali popote penye uhai pana oxygen , kama hakuna itabidi ibebwe kwa kifaa maalumu eg wanaoenda mwezini . Hivyo Mungu anamfuata binadamu popote sio lazima umfuate kanisani. Basi nenda upigwe sadaka
 
Nenda Afghanistan kawaambie hivyo Taliban kama hujarudishwa hapa ukiwa mzoga.
Au aende tu Saudi Arabia huku amevaa rozali huku mkononi amebeba biblia....Wakati polisi wanampeleka Jela awaambie hakuna kulazimishana katika dini kama watamuelewa
 
Hii ni hoja dhaifu sana. Huwezi kufa serikali ikaucha mwili wako uzagae mtaani tu, mamlaka watatafuta namna yoyote ya kukufukia au hata mwili wako utumike kama cadaver.
hivi nyie ambao hamnaga dini mkifaga mnazikwaga wapi?

Maana huwa tunawaona mpo busy kwenye makaburi yetu(wenye dini)
 
Inategemea ni nchi gani
Mkuu mbona kuna watu kibao tu wamebadili dini kutoka uislamu na kuwa wakristo na hawajafanywa kitu wanaishi maisha yao kama kawaida au hujawahi kuona?
 
[emoji23][emoji23]japo nimegoogle kujua maana ya huo msamiati,,,naona kabisa hujui unachokiongea ndg yng.
Kama imekubidi u Google ili kujua maana ya atheist ni nini basi huwezi kuelewa kabisa hii mada
 
Inategemea ni nchi gani
Basi kumbe inatakiwa hili suala lizungumziwe kwa tofauti za sheria za nchi au taratibu za watu kutokana na nchi ila sio kusema dini fulani hakuna uhuru watu wanaogopa kubadili hiyo dini.
 
Nionyeshe kwanza haja ya muumba na yeye kuwa ameumbwa ? Yaani ulazima wa muumba kuwa na yeyw kaumbwa. Nini namaanisha hapa, ni kiwa nikikwambia Mola ameumbwa kuna mawili, ambayo kwayo pia hayawezekani :
1. Utauliza na yeye aliye muumba na yeye kaumbwa na nani ? Hapa kutakuwa na jambo ambalo halithibitishiki na halipo lile watu wa hesabu husema "Infinity Series".

2. Nitakuuliza kwanini Muumbaji unaulizia kaumbwa na nani ? Na huyo aliyemuumba ni nani ?

Kisha hiyo chain, uniambie ukomo wake ni wapi ? Na je kisicho mpaka kipo ukiacha Mola muumba ?
Sasa wewe si ndio uliyeanza hii hoja ya kitu ambacho kipo lazima kiwe kimeumbwa? Kwa logic yako basi hata huyo mungu lazima naye awe ameumbwa, au logic yako inabagua?
 
Sasa wewe si ndio uliyeanza hii hoja ya kitu ambacho kipo lazima kiwe kimeumbwa? Kwa logic yako basi hata huyo mungu lazima naye awe ameumbwa, au logic yako inabagua?
🤣🤣🤣🤣Mkuu nacheka hapa ila sio kama naunga mkono maoni yako, nacheka tu hoja yako kwamba mungu nae kaumbwa
 
Nchi zote zenye Wakristo wengi duniani zina uhuru wowote wa dini yoyote unayoitaka,hiyo ni tofauti na nchi nyingine zenye idadi kubwa ya dini nyingine kubwa zisizo Ukristo.
Basi kumbe inatakiwa hili suala lizungumziwe kwa tofauti za sheria za nchi au taratibu za watu kutokana na nchi ila sio kusema dini fulani hakuna uhuru watu wanaogopa kubadili hiyo dini.
 
Tulifunga ndoa ya kiserikali jwa kuwa kulikuwa na 'benefits' fulani za kiserikali ambazo angezipata endapo tungefunga ndoa, na ndoa ya kanisani mimi sikuwa tayari nayo, so ikabidi akubali
Kama Alikubali ukafunga ya kiserkali na yeue ni Mlokole ..tyari umeshamaliza ..huna haja tena ya kumwambia.
 
Atheist wote hawana imani na uwepo wa Mungu hilo ndo main kundi..
Ndani yake sasa kuna wanaopinga uwepo wake
Kuna ambao hawaelewi/Hawajawahi kusikia habari za Mungu na
Kuna ambao hawaamini yupo lakini pia hawapingi uwepo wake yani simply they dont care awepo asiwepo kwao ni insignificant..
Bado hoja yangu ipo palepale kuwa naona kuna utofauti kati ya mtoto ambaye haelewi na mtu ambaye anauelewa ila amechagua kutokuamini.

Tofauti ya atheist na agnostic ni ipi?
 
Kama imekubidi u Google ili kujua maana ya atheist ni nini basi huwezi kuelewa kabisa hii mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cio mbaya pia ila naielewa kupita maelezo
 
Nionyeshe kwanza haja ya muumba na yeye kuwa ameumbwa ? Yaani ulazima wa muumba kuwa na yeyw kaumbwa. Nini namaanisha hapa, ni kiwa nikikwambia Mola ameumbwa kuna mawili, ambayo kwayo pia hayawezekani :
1. Utauliza na yeye aliye muumba na yeye kaumbwa na nani ? Hapa kutakuwa na jambo ambalo halithibitishiki na halipo lile watu wa hesabu husema "Infinity Series".

2. Nitakuuliza kwanini Muumbaji unaulizia kaumbwa na nani ? Na huyo aliyemuumba ni nani ?

Kisha hiyo chain, uniambie ukomo wake ni wapi ? Na je kisicho mpaka kipo ukiacha Mola muumba ?
Huna majibu.
Acha ubishi...
Ni haki yako kuamini uwepo wa Mungu.

Hii mada ni pana sana, na mwisho wake huwa hakuna mshindi.

Kama kweli kila kitu kina mwanzo wake, haina ubishi kwamba 'mungu tunayemzunguzia ana mwanzo pia.

Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.

Kama hakuna aliyeviunda, je..? Hivyo vitu vimetoka wapi.

Tunarudi

Usione vyaelea, vimeundwa.
Aliyeviunda, na yeye aliundwa.
na
Aliyemuunda aliyeviunda, na yeye aliundwa.

Hiyo ndio chain halisi, hakuna majibu.
Kila mtu aendelee kuamini anacho kiamini.
 
Nchi zote zenye Wakristo wengi duniani zina uhuru wowote wa dini yoyote unayoitaka,hiyo ni tofauti na nchi nyingine zenye idadi kubwa ya dini nyingine kubwa zisizo Ukristo.
Mkuu mbona huko nchi za wazungu ambako ndio kuna wakristo wengi kuna ubaguzi sana tu wa dini au hujawahi kusikia malalamiko? Sasa huo ni uhuru gani?

Hata hivyo bado unazungumzia nchi za kiarabu tu hali ya kuwa waislamu wapo kila pembe ya dunia ambako kuna uhuru wa wao kubadili dini na maisha yakaendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom