Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Kwa hiyo ile hoja yako ya mwanzo kua asili ya watu ni kukaa uchi unaikataa?

Halafu haiwezekani mtu aliyezaliwa akazaliwa tena, kwasababu haiwezekani kuirudia hiyo hali.
Kama unaona a lack of belief ni asili yetu binaadamu na ndio maana wewe umerudi kwenye hiyo asili basi pia na kukaa uchi ni asili yetu pia.
 
Hao unaosema sio wafuasi wa dini husika ndio hao wakati mwengine hutubu dhambi zao,sasa kama walikuwa wanafanya hayo makosa yenye adhabu za kwenda motoni kwa sababu sio waumini wa hizo dini iweje tena watubu makosa yao na kutaka kusamehewa? tena hufanya hivyo katika misingi ya dini husika.

Hata hizi sheria zetu za duniani ndio maana zina adhabu mbalimbali kwa mtu ambaye atafanya kinyume na sheria,hizo adhabu ndio hukufanya wewe uogope kufanya makosa kama ingekuwa hakuna adhabu basi watu wasingeogopa kufanya makosa.

Sasa unachochanganya wewe ni kusema kuwa et watu wanaamini kwa sababu ya hofu,hilo sio kweli ndio maana nimekupa mfano wa watu wa dini wanaamini kabisa ukifanya jambo fulani adhabu yake ni motoni ila bado wanafanya hilo jambo.
wengine hutubu kwa sababu mchungaji/mtumishi/ au sheikh somo alilotoa lime m touch hivyo hujikuta wakijutia makosa yao ila wakirudi nyumbani wanaendeleza mambo yao
wengine wanaamua kutubu baada ya kuona madhambi walotenda mengi mno wanaamua kupunguza mzigo wengine wanatubu baada ya kuona maji ya shingo yamewafika sasa hofu huwakamata ya huko waendako

ko unakubali unaogopa kufanya makosa kwa sababu baba mkali [atakupiga au kukufokea] sio kwa sababu una muheshimu na kumpenda?
 
kwamba kuna dhambi wanaweza fanya sababu wanaiona ni ndogo. halafu swala la kuzini kwa mwanadamu ni gumu sana kuliepuka ukilinganisha nahilo la kubadili dini
Katika madhambi makubwa miongoni mwao ni ushirikina na uzinifu na nimekwambia kwenye uzinifu kuna adhabu hadi ya kupigwa mawe hadi kufa,sasa kama watu wanaogopa kubadili dini kwa sababu ya adhabu ya kifo basi pia wangeogopa na kuzini.
 
wengine hutubu kwa sababu mchungaji/mtumishi/ au sheikh somo alilotoa lime m touch hivyo hujikuta wakijutia makosa yao ila wakirudi nyumbani wanaendeleza mambo yao
wengine wanaamua kutubu baada ya kuona madhambi walotenda mengi mno wanaamua kupunguza mzigo wengine wanatubu baada ya kuona maji ya shingo yamewafika sasa hofu huwakamata ya huko waendako

ko unakubali unaogopa kufanya makosa kwa sababu baba mkali [atakupiga au kukufokea] sio kwa sababu una muheshimu na kumpenda?
Mpaka hapo ile hoja yako ya kwamba hao wanaofanya makosa sio waumini wa dini husika naona haina mashiko tena,kitendo cha kutubu huonesha wewe ni muumini wa hiyo imani husika hata kama baadaye utarudia makosa.

Mimi nazungumzia ule uhalisia vile binaadamu alivyo, hivyo hiyo hofu lazima iwepo.
 
inaonekana we ni mbishi asilia

tufunge mjadal MSINGI WA DINI NI HOFU.
 
dini zimeletwa na watu sio MUNGU
mimi naamini MUNGU alimuumba mwanadamu akampa AKILI kitendo cha kumpa AKILI alihitimisha kazi yake
Kazi ilio baki ni sisi kutumia akili tu sio kutumia sheria zilizo wekwa na musa na wenzake sheria zinazomzuia mwanadamu asitumie akili alopewa na MUNGU wake kwa kisingizio cha kukufuru
Ni kweli tuna akil ila kila mtu anatumia akili kivyake hatufanani lakini pia kuwa na akili tu haitoshi.

Hebu niambie umejuaje kuwa kuna Mungu kwa kutumia akili?
Hebu niambie kwa kutumia akili Mungu ni mmoja au wako wengi?
Kwa kutumia akili umejuaje kuwa Mungu ndio katuumba?
 
Mkuu labda kwa sababu unaishi Tanzania bara, ambayo mostly ni nchi inayofuata secularism

Kwa hiyo ni uongo Zanzibar hawakamatwi wakifungua restaurants kipindi Cha Ramadhani?

Nchi za Saudia, Iran, Misri, Qatar n.k hawakati watu kwa kunywa pombe sababu ni kinyume na Uislam?

Hakuna adhabu ya kifo kwa wanaoacha Uislam?View attachment 1666281
Hii ni hoja dhaifu sana, hayo yote yanahusiana na mambo ya mila, silka, na desturi ya jamii flani.

Umewaona wale waliowapiga marufuku watu wasivae hijaab wakienda mashuleni na mahospitalini???
 
Waarabu waongo wanakuingiza chaka nawe unawakubalia?

Wao wenyewe wanakuambia duniani kuna dini moja tu uislamu na wanakuambia ukristo sio dini maana hata kitabu chao chenyewe cha biblia ndani yake hakuna maelezo yakitaja dini ya ukristo

Sasa kama kila mtu ana dini kwanini ukristo mnasema sio dini?

Waarabu wanavi conspiracy vya kitoto sana na dhana yao moja ya kijinga and laughable ni pale wanapoutetea uislamu kua ulikuwepo kabla ya ukristo kwa kigezo kua neno uislamu ni kunyenyekea mbele za mungu so watu waliokua wananyenyekea kabla ya dini hiyo wote ni waislam

Hao ni wahuni tu wasikuchanganye
Haya ndio mnayodanganyana na kupotezana.

Uislam unatambua kwamba zipo dini (mifumo ya maisha) nyengine huko. Kuwa sahihi na kutokuwa sahihi kwa mifumo hiyo mtajua wenyewe.

Qur an 109:6
 
Ha haaaa ..
Wafia dini wanakuwa hawajitambui.
Mimi si muumini wa dini karibu mwaka wa 5 huu.

Naamini uwepo wa Mungu muumbaji lakini sikubaliani na mashariti ya ajabu na hadithi nyingi za kwenye dini na vitabu vya hizo dini.

I don't go to the church anymore, nishafuatwa na ndugu wazee, watu wa jumuiya nimewapiga kiswahili tu nitakuja siku sababu zangu za kuto shiriki shughuli za dini zikiisha. Nimewaheshimu tu hao wadau wasijisikie vibaya niliona nikiwapa challenge kuhusu imani yao ya kidini nitawachanganya sana au wataniona nawadharau.

Ndugu nimeshawaambia nikifa wanizike namna watakavyo au hata wakinichoma moto sawa tu.

Mtu akifa ameshakufa ni biomass tu hafufuki wala hasikii kitu au kuona chochote. Hakuna hukumu wala nini.

Nitaamini hivi until further proof of resurrection is presented to me, and with reasonable arguments.
Presented to you?? Find it yourself man!
 
Hii ni hoja dhaifu sana, hayo yote yanahusiana na mambo ya mila, silka, na desturi ya jamii flani.

Umewaona wale waliowapiga marufuku watu wasivae hijaab wakienda mashuleni na mahospitalini???
kupigwa marufuku kuvaa hijab ni kutokana na sababu za kiusalama, sababu hao wavaa hijab weshalipua na kuua watu
Ila raia wanaruhusiwa kubadili dini yoyote
Hii ni hoja dhaifu sana, hayo yote yanahusiana na mambo ya mila, silka, na desturi ya jamii flani.

Umewaona wale waliowapiga marufuku watu wasivae hijaab wakienda mashuleni na mahospitalini???
 
Mbona waislamu wanazini na wakati sharia inasema wapigwe viboko au kupigwa mawe hadi kufa? unataka kusema waislamu hawaogopi sharia inasemaje kuhusu kuzini ila wanaogopa sharia kwenye kubadili dini tu?
Unaweza zini kwa kujificha, yaani zinnah haifanyiki hadharani labda bahati mbaya mkamatwe.

Lakini ukimkana Allah na mtume Mohammad (s.a.w) huwezi jificha utajulikana tu.
 
Wakuu habari,

Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.

Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine

Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.

Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.

Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.

Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?

Mwambie tu ukweli ili uwe huru uache kudanganya
 
Ila kwenye suala la imani yako umenifanya nijiulize maswali kadhaa...kama utaniruhusu naomba nikuulize pia wewe
 
Kama unaona a lack of belief ni asili yetu binaadamu na ndio maana wewe umerudi kwenye hiyo asili basi pia na kukaa uchi ni asili yetu pia.
Nimekuambia hakuna asiyekaa uchi
 
Kwa kushirikiana na akili nikaitumia vizuri akili yangu kufikiri ndipo nikajua ni kitabu chake na wala sio project za kutungwa.
Kwahiyo mtu akisema aada ya kushirikiana na akili yake vizuri amejua kuran ni kitabu cha uongo na sio cha mungu utakubaliana naye kwasababu kashirikiana na akili yake kutafuta ukweli?
 
Nimekuambia hakuna asiyekaa uchi
Wewe unazungumzia kukaa uchibkwa kuvua nguo kwa sababu maalumu kama wakati wa kuoga au kujamiana ila mie nakusudia kukaa uchi kama ambavyo walivyo wanyama kwamba muda wote tuwe uchi tusiwe na nguo kabisa.
 
Kwani mtu yuko kwenye specie ya mdudu?

Mi sijakuambia habari za kuvua nguo, nimekuambia kukaa uchi. Na hakuna asiyekaa uchi
 
Back
Top Bottom